Uchaguzi 2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,631
2,000
Je unadhani watu wakiingia mtaani wewe utakuwa salama?
Muwe mnatumia vichwa kufikiri nje ya mnacholishwa Tanzania si mali ya chama fulani
Kwahio ukitoa povu ndo mtapata solution.......wakiingia mtaani na mimi naingia kutoa usalama wao hao walioanzisha ....kwani kazi sana
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,546
2,000
Kwahio ukitoa povu ndo mtapata solution.......wakiingia mtaani na mimi naingia kutoa usalama wao hao walioanzisha ....kwani kazi sana
Hicho ndicho kiwango chako cha kufikiri kilipokomea!? :D :D :D
Ubazazi haujawahi kuwa weledi hata siku moja... nyie ndio mnatukanisha waliokuzaeni na kuwapa majuto
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,870
2,000
Sawa inaonekana una macho makali. Mimi nitakudanganya nikikueleza kuwa nadhibitisha kuwa taarifa unayojitahidi kutuamini ni kweli, Maana huo udhibitisho uliotoa haukidhi vigezo. Hata hivi NEC inasema hivi

Jun 8, 2020
32
95
Siku nyingine ukipaga picha ya uhalifu, show details. Zoom in ili ushahidi uwe wazi. Hata tiki hazionekani kwenye hizo karatasi. How do you make your case, Zitto?
mzee hayo yanafanyika mahakaman.. huku mtu akuletee details zote unamlipa... au unataka utoe hukumu kwa uthibitisho dhaili.. jiongeze mkuu mambo mengine hayaitaji kukurupuka kwa comments
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,179
2,000
Usikurupuke ndugu. Mimi nawaombea mema Lissu na Maalim. Lakini penye ukweli lazima niseme. Wanaoleta hapa habari za uhalifu ni vema ukaonyesha huo uhalifu kweli. Siyo unapiga fungu la makaratasi picha unaweka twitter unasema ni kura zimekamatwa.

sawa mkuu lakin, ata vyo unaweza ukaprint zinatoka flesh tu!! tena itakuwa zoomed utaona kila kitu!!! wwe umeambiwa hzi taarifa haziko official kwa mujibu wa tume... bado unataka ushahidi wa nni. hii sio kesi ni malalamiko... elewa bas mkuu Siasa haitaji elimu ni kipawa tu....tu-support haki kwa p1 tusikimbize upepo kwa manufaa ya bendela!!!👍👍
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,179
2,000
Malalamiko kwenye social media no malalamiko wa umma. Umma nao unahitaji ushahidi. Kama haulalamiki kwa umma kwa nini una-post kwenye social media?
sawa mkuu lakin, ata vyo unaweza ukaprint zinatoka flesh tu!! tena itakuwa zoomed utaona kila kitu!!! wwe umeambiwa hzi taarifa haziko official kwa mujibu wa tume... bado unataka ushahidi wa nni. hii sio kesi ni malalamiko... elewa bas mkuu Siasa haitaji elimu ni kipawa tu....tu-support haki kwa p1 tusikimbize upepo kwa manufaa ya bendela!!!👍👍
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom