Zitto katika gazeti la Denmark

nice 2

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
747
520
Tanzania: Yes, to block grants - if…

Zitto Kabwe, one of the leading opposition’s politicians in Tanzania says yes to a more free development support from Denmark.

But on the condition that parliamentarian and independent, local organizations (NGOs) get a share of the money.

By LARS FROM
International correspondent
lars.from@jp.dk

With 727 millions in assistance from Denmark Tanzania was last year the country that received the majority of the development assistance from Denmark. The country’s maybe next Minister of Finance, Zitto Kabwe, from the opposition party Chadema (Party for Democracy and Development) welcomes Denmark's new Minister for Development Christian Friis Bach’s much higher degree of allowing developing countries to decide what the total 16 billion DKK, which Denmark annually gives in foreign aid, should be used for.

"It's a good idea to give developing countries control of donor money. But it must be combined with strengthening both parliament and independent, local organizations" states Zitto Kabwe, designated as "shadow finance minister," and who will have the important post as Minister of Finance, if the opposition wins the next election.

Weak Parliaments
"Today, the parliaments in most African countries are very weak. Therefore it is essential that, along with a conversion to general budget support also to reinforce the local parliaments and organizations so they can keep governments accountable in regard of how money is used. Otherwise, a portion of the money will be wasted."

Zitto Kabwe suggests that using a fifth of support from the rich countries to strengthen parliaments and local NGOs, while countries’ own governments will be responsible themselves for distributing the remaining 80 per cent.

"We must be sure that Danish tax payers’ money are not wasted. In this way one can guarantee that there will be greater transparency and control of money - while we get a greater accountability - because if the government is allowed to distribute money it will thus feel a much greater sense of ownership for the entire development," says the Tanzanian politician.

The money disappears
According to Zitto Kabwe about 30 percent of public donor funds disappear in Tanzania today in a way no one can explain. And in a country, which annually receives 8 -10 billions in foreign aid from different countries, it is really a lot of money.

"By giving ourselves the responsibility the waste will be much smaller, and we will get more out of money," he assesses.

Zitto Kabwe also believes in the idea of ​​a greater level to support local citizens’ rights which Christian Friis Bach also announced – it corresponds well with leaving much more of the responsibility for foreign aid to developing countries themselves.

"It's a good idea to give more help for local people and independent organizations. In this way, the poor people have far better opportunities to be heard. But the message must be communicated clearly from Denmark, otherwise you risk that project fails. "

In contrast to the Danish Minister for Development the only 35-year-old Zitto Kabwe does not believe that it necessarily will lead to more demonstrations and provide more turmoil to strengthen local residents and organizations.

Criticism from the Danish Liberal Party
Christian Friis Bach's announcements have created a fierce debate. In parliament, the Danish Liberal Party called the Minister for Development in consultation informs the representative Jakob Ellemann Jensen (V):

"On the one hand, the Minister expresses a wish that he will increasingly provide block grants to developing countries and then leave it up to countries themselves to decide what money is for. On the other hand, he says that he will be a "minister for rights" and promote civil rights. But then it may not be such a good idea to give money to governments’’, says James Ellemann- Jensen.

"In the Danish Liberal Party we would also like to give developing countries greater
participation, so we avoid paternalism. But I have difficulty seeing how the announcement from Christian Friis Bach works.

Article from Danish daily Jyllandsposten - October 12, 2011
 
Saaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiii Sana, ZZKabwe! Next Govt Minister FEA
Zitto,
Nisamehe ila nitasema ukweli ingawa kwanza nakupa hongera kwa kutokea hukooo ighaibuni, ujue CDM ndio ilifaa kuwa featured na sio wewe, kama hali hii utaendelea kuiacha hivi ujue wewe na CHAMA CHA JAMII sioni tofauti, im sorry kaka ila kaa ukijua hali sio kama umavyodhani mzee wa kazi...
 
Looser!

aliyesema ni zito ambaye ni chadema, akisema slaa au mbowe watasema majina yao pia japo ni chadema. wangesema chadema imesema?? nani sasa ndani ya chadema?

unajua imefikia muda huyu jamaa mmemlaani kwa mambo mengi na kumtishia mengi ya future yake......'hali si kama anvyodhani' Zito anadhani nini? kama sio mnafiki wewe?

mwenye akili hii kazi nzuri ya zito inaiongezea credibility chadema mkuu...wivu utakuua na zito humuwezi hata ukimlaani, zito hategemei ubunge au uongozi he is a proffesional he can be somewhere else and still make moneys!

acha hizo mkuu hatutaendelea..

nyie ndio mnaiua chadema, kunya anye kuku akinya bata kaharisha

looser!
 
Kama unaona zitto anawaza urais basi muambie na yule form six wenu mbowe nae atoa mawazo yake ili tumheshimu na sio kuleta majungu
 
kuna kitu kinaitwa uwezo,kuna kitu kinaitwa ujasiri,kuna kitu kinaitwa uwazi,,kuna kitu kinaitwa uthubutu,hata uwe na bias,wivu ama unafiki kiasi gani,Zitto anajua mambo,anayapambanua mambo na kwa kweli ni kijana mwenye nafasi ya kueleza amefanya nin i kama Mtanzania katika Taifa hili,whether you like or not,Ndani ya Chama ZItto kashiriki katika kuijenga Chadema kwa nguvu kubwa mpaka hapa ilipo,wengi tunasahau ukianzia na mchango wa Mkt wakati anagombea Urais 2005 ndipo Chadema haswa ilianza kujitambulisha,wengi tunasahau kwamba ndio mwaka ambao Dr slaa,Zitto,Halima Mdee kwamba waliitambulisha Chadema kwa kuonesha Ramani ya Tz ilivyokuwa imefutika,Nani hajui kwamba Zitto alitumia muda mwingi kuwa katika Operation za Chama kama naibu katibu mkuu,huku akiwa pia na Jukumu la kuongoza kamati ngumu ya Mashirika ya ummah,huku pia akihesabika kama ni mbunge mwenye majukum jimboni,hebu tujifunze kuacha unafiki kwa kubeza mchango wa Zitto ndani ya nchi hii kisiasa na kiutendaji,Haiwezekani watu tukaanza kukariri kitu ambacho mtu anatakiwa aseme,tuache ugonjwa wa matamanio ya kumlazimisha mtu kufikiri kama wewe unavyofikiri kwani ndipo ambapo mtu akifikiri kwa mapana zaidi tofauti na wewe utajikuta unaanza kumlaum,jamani tusiwe watu wa kulaumu jitihada za wenzetu vipi sisi tunanini cha kushindwa kutoa michango yetu na jamii ikatusikiliza?? Kweli kwa Taifa lililo jaa washabiki wa kisiasa na siyo wadadisi basi naamini lazima watakuwa na serikali ya stahili yao,uongozi wenye stahili yao,na maendeleo yenye stahili yao.Kwa wengine tuna zidi kumpa Nguvu Zitto kwamba tupo pamoja katika kuifanya Tanzania kuwa mahala salama pa binadamu na viumbe vingine kuishi.
 
#'''tuntemeke shame on u'', steve jobs was a university drop out! Na tunakwama sana kwa kungalia vyeti! Mbowe kwa upeo alionao sidhani miaka kama 100 kwenye ukoo wenu mtapata mtu kama huyo!unaamini shule tu ndo inakomboa fikra za mwanadamu????fikra zako zimeexpire!
 
Kama unaona zitto anawaza urais basi muambie na yule form six wenu mbowe nae atoa mawazo yake ili tumheshimu na sio kuleta majungu
Bora niwe Form six with Focus and Vision badala kuwa na U dokta wa vyeti vya ku- unga unga- kinachotakiwa ni performance wala si Vyeti
 
kuna kitu kinaitwa uwezo,kuna kitu kinaitwa ujasiri,kuna kitu kinaitwa uwazi,,kuna kitu kinaitwa uthubutu,hata uwe na bias,wivu ama unafiki kiasi gani,Zitto anajua mambo,anayapambanua mambo na kwa kweli ni kijana mwenye nafasi ya kueleza amefanya nin i kama Mtanzania katika Taifa hili,whether you like or not,Ndani ya Chama ZItto kashiriki katika kuijenga Chadema kwa nguvu kubwa mpaka hapa ilipo,wengi tunasahau ukianzia na mchango wa Mkt wakati anagombea Urais 2005 ndipo Chadema haswa ilianza kujitambulisha,wengi tunasahau kwamba ndio mwaka ambao Dr slaa,Zitto,Halima Mdee kwamba waliitambulisha Chadema kwa kuonesha Ramani ya Tz ilivyokuwa imefutika,Nani hajui kwamba Zitto alitumia muda mwingi kuwa katika Operation za Chama kama naibu katibu mkuu,huku akiwa pia na Jukumu la kuongoza kamati ngumu ya Mashirika ya ummah,huku pia akihesabika kama ni mbunge mwenye majukum jimboni,hebu tujifunze kuacha unafiki kwa kubeza mchango wa Zitto ndani ya nchi hii kisiasa na kiutendaji,Haiwezekani watu tukaanza kukariri kitu ambacho mtu anatakiwa aseme,tuache ugonjwa wa matamanio ya kumlazimisha mtu kufikiri kama wewe unavyofikiri kwani ndipo ambapo mtu akifikiri kwa mapana zaidi tofauti na wewe utajikuta unaanza kumlaum,jamani tusiwe watu wa kulaumu jitihada za wenzetu vipi sisi tunanini cha kushindwa kutoa michango yetu na jamii ikatusikiliza?? Kweli kwa Taifa lililo jaa washabiki wa kisiasa na siyo wadadisi basi naamini lazima watakuwa na serikali ya stahili yao,uongozi wenye stahili yao,na maendeleo yenye stahili yao.Kwa wengine tuna zidi kumpa Nguvu Zitto kwamba tupo pamoja katika kuifanya Tanzania kuwa mahala salama pa binadamu na viumbe vingine kuishi.
Tunaheshimu na kuthamini michango ya Mheshimiwa Zitto katika chama, pia tunatofautiana katika mitazamo na uelewa wa mambo fulanifulani. Jambo la msingi ni kwamba Zitto asijekuwa anatumiwa na CCM kuivuruga CDM. Chadema tunautaratibu katika kuwasilisha hoja na mapendekezo yanayolihusu Taifa hasa yanapokuwa yanakihusisha chama, lazima utaratibu ufuatwe. Nje ya hapo ni sawa na takataka za pale Dampo.
 
Tangu lini wewe ni chadema?

lini chadema walikaa chini na kukubaliana kuwa..mtu hawezi kusema kitu wala kujibu chochote mpaka afuate utaratibu! si afadhali sana aliyeulizwa kwa nini Tanzania
haiendelei akasema hata yeye anashangaa!
 
Looser!

aliyesema ni zito ambaye ni chadema, akisema slaa au mbowe watasema majina yao pia japo ni chadema. wangesema chadema imesema?? nani sasa ndani ya chadema?

unajua imefikia muda huyu jamaa mmemlaani kwa mambo mengi na kumtishia mengi ya future yake......'hali si kama anvyodhani' Zito anadhani nini? kama sio mnafiki wewe?

mwenye akili hii kazi nzuri ya zito inaiongezea credibility chadema mkuu...wivu utakuua na zito humuwezi hata ukimlaani, zito hategemei ubunge au uongozi he is a proffesional he can be somewhere else and still make moneys!

acha hizo mkuu hatutaendelea..

nyie ndio mnaiua chadema, kunya anye kuku akinya bata kaharisha

looser!

Kwa kuongezea wamesema Zitto Kabwe (MP) from a leading Opposition party hawajasema katokea kwa mkewe .Go Zitto go Chadema .
 
Mh huyo mbowe ana upeo gani mtu alikuwa disco joka na kalikiti alikuwa anaweka kichwani

Un post 4 umeanza na Mbowe na umeacha hoja iliyopo mezani ? Hapa utakwama hii ni JF .Uwezo wa Mbowe muulize JK kama anaweza kusimama naye wakafanya mjadala kuhusu hii Nchi .
 
Wewe usimlinganishe JK na Mbowe.Kama vile unalinganisha Kilimanjaro(Kikwete) na Kichuguu(Mbowe).Mtu ambaye alifanya mazungumzo na waziri mkuu na wakakubaliana muafaka Arusha na ukafanyika.Baada ya CUF kuwapongeza CHADEMA kwa kufanya muafaka Arusha na CuF kuwaita CHADEMA ni CCM C.Huyo mbowe akawaruka madiwani wa Arusha na kuja na misimamo mingine.Mtu mwenye upeo hawezi kuwa ndumilakuwili.
 
Back
Top Bottom