Zitto: Kama Rais, ningekuwa na ushahidi uliotolewa na Kamati na kuuamini, ningetaifisha migodi

Basi angeandika yeye, kila fani ina elimu yake, labda naye ni msomi wa madini na amebobea kuliko hao walimu wake wa uchumi!
Hivi umeelewa alichoandika!
Mbona unachopinga na alichoandika ni tofauti?

Ndiyo maana ccm inaendelea kutawala!!
 
Huyu jamàa anaweza siasa za kishirikina tu mengine hana anachojua kila jambo linataratibu zake siyo kuamka tu unataifisha.
Simiyu Yetu sijakusikia muda mrefu na mwenzio MwanaDiwani.
Zitto kasema angekuwa na ushahidi kama ule aliopatiwa Raisi basi migodi ingekuwa mali yetu leo,in another words,wezi,hawana usajili,wakwepa kodi
 
Magufuli akitaifisha haraka haraka tunasema amekurupuka, ni bora basi afuate sharia na kusikiliza pande zote kabla hajachukua hatua, kingine je zito anaamini huo ushahidi ? asimsakizie mwenzie tu wakati pengine hata yeye hana imani, angesema kwa ushahidi huu uliotolewa na tume serikali itaifishe migodi.
 
Mngesema hajafuata taratibu..ingekuwa kama ishu ya madawa ya kulevya hapa
 
Mwenyewe nawashangaa baadhi ya watu humu.. watalipa kwa utafiti au uchunguzi upi?? walishakataa hadharani vile viwango vilivyotajwa na kamati..
Nachoona mimi hawa watu wataka kumwelewesha rais hasahasa jinsi wao wanavyofanya kazi.. at the end of the day lazima uchunguzi ufanyike upya
Experts wa kada mbalimbali wameshafanya uchunguzi,huo uchunguzi mpya upi?wa kazi gani?JPM angeamua angepotezea ishu na Makinikia na ela tusingepata hata ndululu,Magu nail it man,mzigo uingie tujenge SGR yetu ya Dsm hadi Mwanza hilo ndio la msingi.
 
KILA KITU KINA SHERIA NA TARATIBU ZAKE,UNAANZAJE KUTAIFISHA BILA KUZIFUATA TARATIBU HUSIKA KWANZA,HUO UTAKUWA UBABE
Umemkuta mbuzi shambani kwako anakula mahindi, kila ukiuliza mwenye mbuzi hajitokezi, utafanya nini?
 
Huyu Zitto nae naona akili imedumaa kuwaza Azimio la ACT, sera za utaifishaji zimepitwa na wakati, haoni Zimbabwe ilipotaifisha mashamba ya wazungu!
 
huyu jamaa anavutiaga bangi chooni bila shaka!
Nimeingizwa mkenge na nyie naona nimeingia.
tmp_5917-FB_IMG_1497467530457-1840170113.jpg
 
Back
Top Bottom