mbikagani
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 3,107
- 1,782
Hivi umeelewa alichoandika!Basi angeandika yeye, kila fani ina elimu yake, labda naye ni msomi wa madini na amebobea kuliko hao walimu wake wa uchumi!
Mbona unachopinga na alichoandika ni tofauti?
Ndiyo maana ccm inaendelea kutawala!!