Zitto Kabwe: Watanzania 348 wa Pwani walitoweka kwa njia tatanishi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Mbunge wa Kigoma, Tanzania adai ana daftari lenye orodha ya Watanzania 348 waliotoweka kwa njia zisizoeleweka au kujulikana.

Hivi najiuliuza huwa vipi kwenu huko Tanzania mambo kama haya kutendeka ilhali hamjawa na misukosuko ya kivita au vurugu kama mataifa yanayowazunguka, au hata maandamano kama ya Kikenya yaliyojaa full mzuka.

---------------------------------------------

Kigoma Urban Member of Parliament Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) has said he has a list of 348 people who have gone missing in Mkuranga, Kibiti and Rufiji districts in Coast Region.

“Out of these, 68 were confirmed dead,” he told Parliament on Friday, May 4, as he was debating budget estimates amounting to Sh945.5 billion for the Home Affairs ministry during the 2018/19 fiscal year.

He expressed his disappointment over the delay of police force to investigate the torture, killings and kidnaping related incidents in the country for a long time.

Zitto: 348 people missing in Coast Region under suspicious
 
aisee dah, tz ya leo sio salama hata kwa mifugo aisee! mzee wa majipu aka asiyewasomesha wazazi anazidi kufanya yakee!!
 
Mbunge wa Kigoma, Tanzania adai ana daftari lenye orodha ya Watanzania 348 waliotoweka kwa njia zisizoeleweka au kujulikana.

Hivi najiuliuza huwa vipi kwenu huko Tanzania mambo kama haya kutendeka ilhali hamjawa na misukosuko ya kivita au vurugu kama mataifa yanayowazunguka, au hata maandamano kama ya Kikenya yaliyojaa full mzuka.

---------------------------------------------

Kigoma Urban Member of Parliament Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) has said he has a list of 348 people who have gone missing in Mkuranga, Kibiti and Rufiji districts in Coast Region.

“Out of these, 68 were confirmed dead,” he told Parliament on Friday, May 4, as he was debating budget estimates amounting to Sh945.5 billion for the Home Affairs ministry during the 2018/19 fiscal year.

He expressed his disappointment over the delay of police force to investigate the torture, killings and kidnaping related incidents in the country for a long time.

Zitto: 348 people missing in Coast Region under suspicious
duh,poleni hii awamu naona mtazidi kuuana
 
Sioni ni kipi cha kushangaza hapa, hizi ni changamoto za kiusalama za eneo fulani. Watu kupotea inatokea sehemu mbali mbali duniai hata Vatican inatokea kwa sababu za kila aina.
 
Bora hata na TZ.. Kenya hao wote wanakufa kwa siku moja tena hadharani and nobody cares.. Juzi niliona habari Fulani wakenya Fulani wanaishi milimani wanalia hakuna usalama kabisa wanaishi kama wako Darful na hakuna hata polisi wala usalama wowote uliopelekwa na wamekua wanalia mamiezi na miezi... Huku Tz tukio lolote likitokea la uhalifu hasa ugaidi yani patachimbika hapo, usalama watajenga na kambi kabisa hapo..
 
Funniest thing ever today. Hadi mauti mnalinganisha na Kenya.! Hope mnalipwa kufanya hii kazi, it's silly and shameful.
 
Stop being ignorant, huyo mleta mada ni mkenya na nia yake ni Kuifanya Tz ionekane vibaya, tuko hapa Tangu 2013 tunajua..wewe kama umejiunga juzi huelewi chochote kaa kimya
 
hili tatizo la watu wasiojulikana linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyodhania...
 
Kwa hivyo changamoto hii inafaa tu kueleweka Tz lakini ingekuwa Kenya ni shutuma ati ni siasa za ukabila...ee!
Haieleweki unamaanisha nini, kwani hao watu wamepotea kwa ukabila wao? Ina maana huu uzi mmefunguwa kuonyesha Tanzania ni nchi ya ajabu sana kwamba watu wanapotea. Hivi kuna polisi dunia ambayo haina "files of missing person?". jamini hata hili ni lakufundishwa kweli?
 
Stop being ignorant, huyo mleta mada ni mkenya na nia yake ni Kuifanya Tz ionekane vibaya, tuko hapa Tangu 2013 tunajua..wewe kama umejiunga juzi huelewi chochote kaa kimya

Mleta mada japokua Mkenya,yeye kanukulu tu mbunge wa kwenu Tz na habari ilivyo ripotiwa! Vipi tena eti haitakii Tz mazuri? Kwa hivyo mada za Kenya mnazoleta nyinyi huwa na lengo kuipaka Kenya matope!?
 
Back
Top Bottom