Zitto Kabwe, usipotoshe watu kuhusu Deni la Taifa

Nimeamua kuto waongeza misharaha wafanyakazi ili hizi pesa ziende kwenye ujenzi wa bwawa la umeme# JPM

Hakuna kipindi ambacho wafanyakazi wameumia Kama Awamu ya tano ya JPM

Na kumbuka mwanzoni alidai hawezi kuongeza mishahara hadi amalize zoezi la uhakiki wa wafanyakazi hewa na wenye vyeti fake.
Mimi siwaelewi watu wanaomuamini mzee meko.
 
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya:

www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/

ni kama ifuatavyo:
Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake.

Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:

Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za Kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini?

Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari.

Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania? Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020

Soma: Mkopo wa SGR wa tril 3.3 kwa riba ya 9% kwa miaka 20 tutalipa jumla ya zaidi ya Tshs Tril 7.36 huku riba ikiwa tril 4.06

Tatizo mnaogopa kubaishiwa na mabeberu sasa vipi mnakopa tena kwao? au mmeshakubali kuolewa kabisa this is donor country buana. Lingalisheni na maisha ya watu basi huko wanapokopa kama nyie.
Zitto ni mpinzani na hii ndio kazi yake barabara nyie ungeni mkono tu hamtaweza kuzuia watu wote wafikiri sawa na nyie au mabwana zenu.
 
Yeye mwenyewe nyepesi ana madeni makubwa kwenye mabenk yanazidi hata uwezo wa kipato chake ,kama chama chake kinapata ruzuku sh 4 milion je wanaendeshaje chama kama si kwa mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya:

www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/

ni kama ifuatavyo:
Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake.

Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:

Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za Kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini?

Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari.

Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania? Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020

Soma: Mkopo wa SGR wa tril 3.3 kwa riba ya 9% kwa miaka 20 tutalipa jumla ya zaidi ya Tshs Tril 7.36 huku riba ikiwa tril 4.06
 
Mara paaap!! unanyimwa akili unapewa bezi...
Uchumi was Japan wanao-export dunia nzima unaucompare na tz tunao-import
hadi leso!!! Atafute fursa za U-DC kivingine huyu chalii
 
Mkuu namashaka na hizi takwimu. yaani dollar billion 2.527 ni sawa na 59.81% ya GDP ya Ujerumani Kweli? Hapa tusidanganyane.

Dollar billion 2.5 ni sawa na makusanyo ya TRA ya miezi minne harafu yawe sawa na 59% ya GDP ya Ujerumani Taifa lenye uchumi mkubwa Europe? Mkuu haya yatakuwa maajabu ya nane ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo japan kuwa na deni kubwa ni justification ya sisi kukopa kama vichaa. Halafu angalia watu unaojifananisha nao aiseee...

Hivi kwa akili zako sisi na japani tupo kwenye same level kimaisha? Mbna kuna nchi kibao masikini africa zina madeni umeshindwa kuzitolea mifano?

Makambako1,

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana hujaelewa hoja ya Machali

Wewe ni wa aina ya Zito tu

Sijui nawe umekamatwa wapi, maana Zito ana chuki na serikali hii baada ya mirija yake ya kumuongizia pesa kuzibwa.

Mtaumwa magonjwa ya moyo

Relax
 
Haka kajamaa ni kasenge sana,ile bangi kanayovuta imeyeyusha ubongo wote.

Back
Top Bottom