Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,056
Zito Kabwe na Ado Shaibu are very smart TISS agents, kiukweli nawa admire sana especially Ado. Kwa muda mrefu wameweza kufanya kazi zao as under covers
Hapa wanamalizia kuhakikisha upinzani hauwi stable kwa vi migogoro vya hapa na pale hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu
Unlike yule Profesa Mwenyekiti hawa jamaa are playing so smart. Haiwezekani KITENGO kiwaache nje vijana kama hawa wenye akili zilizofunga barabara kabisa(zilizo timia)
Nitawaunga mkono kama kweli hiyo mission yenu mnayoifanyia kazi kwa sasa ni mission ya nchi kwa manufaa na maslahi mapana ya nchi na wana wa nchi na si vinginevyo maana mwisho wa siku Tanzania kwanza