Wale walisema elimu bure mpaka chuo kikuu sasa nani mbabaishajiHii ndio siasa bora nchini.
Wale wengine wanapambana kujaza maji ndani ya tenga, aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale walisema elimu bure mpaka chuo kikuu sasa nani mbabaishajiHii ndio siasa bora nchini.
Wale wengine wanapambana kujaza maji ndani ya tenga, aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu rejea list ya mikoa yenye shule nyingi, na mikoa yenye wasomi wengi halafu uje kucommentBora huyo anasomesha bure kuliko Cdm wanaotumia pesa zao kurusha chopa huku watto wa Arusha na Moshi wakiadhirika kwa kushindwa kwenda shule
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo tunakaa na nyie uswahilini mnaangalia mpangaji mwenzako anatoa wapi hela ya kula nyama kila siku, na wewe tafuta sio kumuonea wivu mwenzako.Hii pesa wanapata wapi!? Hawana ruzuku hawana wanachama, hii ni pesa wamepewa na MACCM ili wajitafutie umaarufu wasiokuwa nao!?
Mdee halmashauri kapata wap kinondoni inaongozwa na ccmHalima Mdee aliigiza halmashauri yake isomeshe waliopewa mimba akaonekana mchochezi. Ndumilakuwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Its was a good start kwa Bashe, tofauti ni kwamba yeye amesupport vijana 42 awamu ya kwanza, Zitto hajasema idadi, wote ni wa kupongezwa. Nashangaa sana watu wanaolichukulia hili jambo kisiasa.Wenzake wameanza mda tu leo anakuja anasema yeye wa kwanza atuambie ameiga wenzake siyo yeye wakwanza kama hana data angesema View attachment 550669 View attachment 550670 akiiga na hii atasema yeye wa kwanza wenzake hawana kelele yeye kelele nyingi
Zitto ni mbaya afuta kiki mkubwa!Mbunge wa Kigoma Ujiji, Mhe. Zitto Kabwe amesema Chama cha ACT - Wazalendo katika Manispaa kinachoongoza ya Kigoma Ujiji, kimeanza kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 bure.
Amefafanua kuwa wanafunzi wanaosomeshwa bure ni wale waliosoma Elimu yao ya kidato cha kwanza mpaka cha nne katika Manspaa ya Kigoma Ujiji ambao kwa sasa wanajiunga na kitado cha tano au waliyopo tayari kitado cha sita popote pale nchini.
Ameongeza kuwa Manspaa ya Kigoma Ujiji ndio Manispaa ya kwanza Tanzania kusomesha watoto bure.
Na chama chenu cha CCM kinaongozwa na ng'onbe wasio na mikia.Ni chama makini kinachoongozwa na watu makini.
ACT inapigwa jeki ili kipindi cha uchaguzi mkuu ujao wajifanye ni wapinzani kumbe ni tawi la ccm.Hii pesa wanapata wapi!? Hawana ruzuku hawana wanachama, hii ni pesa wamepewa na MACCM ili wajitafutie umaarufu wasiokuwa nao!?
Akoding to ZITO Kabwe!!Kwahiyo wanachukua mapato yote? Hiyo halmashauri ai ingeshakufa zamani?
Mdogo wangu ni mmoja ya wanaosomeshwa na chama cha ActMbunge wa Kigoma Ujiji, Mhe. Zitto Kabwe amesema Chama cha ACT - Wazalendo katika Manispaa kinachoongoza ya Kigoma Ujiji, kimeanza kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 bure.
Amefafanua kuwa wanafunzi wanaosomeshwa bure ni wale waliosoma Elimu yao ya kidato cha kwanza mpaka cha nne katika Manspaa ya Kigoma Ujiji ambao kwa sasa wanajiunga na kitado cha tano au waliyopo tayari kitado cha sita popote pale nchini.
Ameongeza kuwa Manspaa ya Kigoma Ujiji ndio Manispaa ya kwanza Tanzania kusomesha watoto bure.
Mbunge wa Kigoma Ujiji, Mhe. Zitto Kabwe amesema Chama cha ACT - Wazalendo katika Manispaa kinachoongoza ya Kigoma Ujiji, kimeanza kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 bure.
Amefafanua kuwa wanafunzi wanaosomeshwa bure ni wale waliosoma Elimu yao ya kidato cha kwanza mpaka cha nne katika Manspaa ya Kigoma Ujiji ambao kwa sasa wanajiunga na kitado cha tano au waliyopo tayari kitado cha sita popote pale nchini.
Ameongeza kuwa Manspaa ya Kigoma Ujiji ndio Manispaa ya kwanza Tanzania kusomesha watoto bure.
Hao 42 ndio wenye sifa za kujiunga kidato cha tano katika jimbo la nzega kwa selection ya awamu ya kwanza hoja hapa nikupinga kuwa zito ndio wa kwanza kuanzisha hii kitu kwa Tanzania kitu ambacho siyo kweli ndio maana tumekupa mifano ya Bashe kuwa jimboni kwake hili suala alishatangaza na analifanyia kaziIts was a good start kwa Bashe, tofauti ni kwamba yeye amesupport vijana 42 awamu ya kwanza, Zitto hajasema idadi, wote ni wa kupongezwa. Nashangaa sana watu wanaolichukulia hili jambo kisiasa.
Elimu bure ya Magufuli mpaka kidato cha 4 haipo,yeye elimu bure kuanzia kidato cha 5 na cha 6 katika halmashauri ya kigoma na nje ya Kigoma kwa mwanafunzi aliyepitia shule za halmashauri hiyo ameitoa wapi?.