Zitto Kabwe: Tumepata Matokeo Ya Kata Zote, Hatujapata Hata Moja, Tumekubali

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
IMG-20171127-WA0033.jpg
 
Wapiga kura wa mtutu wa bunduki?! Wapiga kura wakina Mlisho Gambo?!!

Vijana wote waliokuwa kwenye payroll ya FISIEMU kwa uratibu wa Zitto wamesharejea FISIEMU ie Mwampamba,MMchange,Juliana,Mwigamba,KKitila Mkumbo,Anna Mghwira,ZZitto bbado fungu halijatimia ama unasubiri 2020 uwezeshwe kwenye uchaguzi Mkuu?!
 
Zitto Kabwe amechelewa kudandia basi la CCM kwasababu ya special assignment.
Mission accomplished very soon atakabidhiwa kadi
 
sasa kiuhalisia zitto alitegemea angepata wapi? huu ni ujanja kuwa na wengine nao wakubali maana wezi watasema mbona wenzenu wamekubali ninyi tu ndo wabishi. zitto angepata hata madiwani 3 mimi ningehama hii nchi. na tunakoenda ni bora asishiriki kabisa maana hali ni mbaya kwa chama chake.
 
Back
Top Bottom