Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

Inatakiwa tuwe makini kabla ya kutoa maoni, tujirizishe kuwa hakuna sheria tunayovunja. Haya mambo ya kuongea tu bila umakini yaweza sumbua kichwa sana!
Nasikia CAG ni mmoja wawatu waliochukuwa mali za NSSF bila utaratibu, au hilo hulifahamu. UWekezaji ule, wa hovyo wa NSSF ulimuhusu CAG wetu je, hilo unalifahamu?
 
Hahaaaaaas haaaaaa mnafiki tu Zitto habari ya mujini sasa ni mahesabu ya chama lako. Umeshindwa kukuza lichama lako unawatumia wasio na akili kukuza wewe binafsi na ilivyo mijinga imekukumbatia tu. Umeisha
 
hii pesa yetu 1.5T sasa 2.4T inapotea hivi hivi chini ya utawala unaochukia ufisadi na kuwapenda mafisadi
 
105 Reactions
Reply
Back
Top Bottom