Zitto Kabwe: Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa taarifa za uongo na majungu, muda utasema

Sawa, kwa hiyo ushauri wako ni upi kwa serikali na wananchi??

Tuvumilie, ikiwa tulivumilia miaka 10 ya serikali iliyopita kodi zetu zikichukuliwa na watu wachache, WATOTO wetu wakikaa chini mashuleni na wengine kufukuzwa shule kwa kukosa kalo, Wazazi wakizalia sakafuni, Rais wetu mtukufu na Waziri wake wa nje wakipiga safari za nje wakitumia MABILLION. Rais Magufuli ameipokea nchi haina kitu, watu hawana nidhamu ya kufanya kazi na wachache wakicheza na mali za wengi, kwa hiyo tumpe muda. So far watoto wanasema bure, wazazi wazalia kwenye vitanda, kelele ni wale waliokuwa wakifaidika kwenye uongozi uliyopita wa man eat man society kama Mwalimu alivyokuwa akiuuta, hawa ndiyo wenye uwezo wa kupiga mayowe kwenye mitandao, na kutowa hotuba uchwala. Waliokuwa wakizalia sakafuni na wenye watoto wao waliokuwa wakikaa chini mashuleni sasa wanashukuru na madiliko wanayoyaona na ndiyo wengi wapiga kura. Wale wapiga dili hawawezi kuona mabadiliko ni shida wanazikabili, kwa kuwa Hakuna tena pesa za wengi kutumika kwa wachache.
 
AKIMALIZA miaka 10 tumuongezee kumi mingine aendelee kutowa cheche za moto asafishe Tanzanzia, kwa kuyaondowa nafisadi na wavivu wote wenye lugha mbaya waliozowea kula bila kulipa wafanye kazi waache kubwata.
Awatoe na makahaba kama wewe..we nenda kwenye madangulo huku hatufany hyo biashara yako ....
 
Tuvumilie, ikiwa tulivumilia miaka 10 ya serikali iliyopita kodi zetu zikichukuliwa na watu wachache, WATOTO wetu wakikaa chini mashuleni na wengine kufukuzwa shule kwa kukosa kalo, Wazazi wakizalia sakafuni, Rais wetu mtukufu na Waziri wake wa nje wakipiga safari za nje wakitumia MABILLION. Rais Magufuli ameipokea nchi haina kitu, watu hawana nidhamu ya kufanya kazi na wachache wakicheza na mali za wengi, kwa hiyo tumpe muda. So far watoto wanasema bure, wazazi wazalia kwenye vitanda, kelele ni wale waliokuwa wakifaidika kwenye uongozi uliyopita wa man eat man society kama Mwalimu alivyokuwa akiuuta, hawa ndiyo wenye uwezo wa kupiga mayowe kwenye mitandao, na kutowa hotuba uchwala. Waliokuwa wakizalia sakafuni na wenye watoto wao waliokuwa wakikaa chini mashuleni sasa wanashukuru na madiliko wanayoyaona na ndiyo wengi wapiga kura. Wale wapiga dili hawawezi kuona mabadiliko ni shida wanazikabili, kwa kuwa Hakuna tena pesa za wengi kutumika kwa wachache.
Lakini mbona wakati tunamkosoa kikwete mlikuwa mnamteea hivi hivi je huyu naye akimaliza muda wake hamtakuja kumkejeli kma unavyomkejeli hapa kikwete?? Kaz kweli kweli

Hya naomba uniambie kwa jinsi gani kupata madawati na elimu bure kumeongeza quality ya elimu?? Au kukaa kwenye dawati ndio kumeongeza QUALITY ya elimu?? Graduate wa tz utamlinganisha na wa kenya au uganda?? Nisaidie hapo

Pia unasema wapiga dili ndio wanaolalamika je kagera wapiga dili, wasafirisha maloli wapiga dili, sekta binafsi zilizoporwa tenda za ujenzi wapiga dili, mikopo kuadimika benki nako ni sababu ya wapiga dili?? Na je mzunguko wa pesa kupungua ni kwa sababu ya wapiga dili kukosa hela?? Mapato halali ya TRA si mmekusanya haya mbona hela kwenye mzunguko hamna??
Mifuko inakaribia kufilisika kwa sababu yabkukopesha serikali na yenyewe hailipwi kwa sababu ni wapiga dili????

Haya mkuu hafuati katiba je kisa iliandikwa na wapiga dili??

Unazungumziaje sheria kandamizi ya habari au na yenyewe inakosolewa na wapiga dili??

Vipi baa la njaa na lenyewe ni maneno tu ya wapiga dili??

Vp katiba mpya imepotezewa je na yenyewe ni ya wapiga dili??

Guys lets me objective kusema tu wapiga deal bila kutoa mfano mie sielewi lolote

Mliahidi viwanda na ndio vitatoa ajira seriously mpka sasa hakuna lilofanyika na sisi nao mnatuita wapiga dili??? Is this fair

Naomba mama obama uje na mfano mmoja hapa unieleweshe iwahe yale matrillion ya TRA hatuyaoni kwenye mzunguko je ina maana TRA nao wapiga dili njoo na mfano hai either wa BOT au hazina wa kuonyesha jinsi gani mzunguko wa hela umepungua kwa sababu ya wapiga dili...... nasubiri
 
Rais anasema hatapeleka chakula Simiyu na Bariadi eti kisa ukame.Wananchi walitakiwa kujua kama mvua ni ndogo basi walime mazao yanayostahimili ukame na si kulazimisha kulima mahindi yanayohitaji mvua nyingi.JPM anasema msema ukweli ni mpenzi wa Mungu,na yeye anasema ukweli kuwa hataleta chakula popote kwa sababu ni wanasiasa na wafanyabiashara ndio wananunua magazeti kutangaza njaa.
Nikweli hata leta chakula mfano mzuri ni kwa wahanga wa tetemeko limeni mihogo na viazi
 
Ni baada ya kuona kuwa Kikwete angemuachia lowassa kijiti 2016 ccm wangeongea sana ila Kikwete akaona bora amuweke NWA

tulishazoea kutukanwa hadi na mkuu.

"SERIKALI YANGU HAITATOA CHAKULA,NINAPOSEMA SILETI CHAKULA SILETI KWELI,WALA SIMUNG'UNYI MANENO NA SITALETA KWELI,MLIZOEA MANENO MATAMU SASA MIMI SINA MANENO MATAMU"alisisitiza Rais Magufuli.

swissme

JPM asiige Ethiopia ambayo iliacha mamilioni ya watu wanakufa njaa wakati viongozi wakielea kwenye majivuno ya kunyoosha nchi iwe ya kikomunisti. Matokeo yake Mangistu akakimbia nchi mpaka leo
 
Lakini mbona wakati tunamkosoa kikwete mlikuwa mnamteea hivi hivi je huyu naye akimaliza muda wake hamtakuja kumkejeli kma unavyomkejeli hapa kikwete?? Kaz kweli kweli

Hya naomba uniambie kwa jinsi gani kupata madawati na elimu bure kumeongeza quality ya elimu?? Au kukaa kwenye dawati ndio kumeongeza QUALITY ya elimu?? Graduate wa tz utamlinganisha na wa kenya au uganda?? Nisaidie hapo

Pia unasema wapiga dili ndio wanaolalamika je kagera wapiga dili, wasafirisha maloli wapiga dili, sekta binafsi zilizoporwa tenda za ujenzi wapiga dili, mikopo kuadimika benki nako ni sababu ya wapiga dili?? Na je mzunguko wa pesa kupungua ni kwa sababu ya wapiga dili kukosa hela?? Mapato halali ya TRA si mmekusanya haya mbona hela kwenye mzunguko hamna??
Mifuko inakaribia kufilisika kwa sababu yabkukopesha serikali na yenyewe hailipwi kwa sababu ni wapiga dili????

Haya mkuu hafuati katiba je kisa iliandikwa na wapiga dili??

Unazungumziaje sheria kandamizi ya habari au na yenyewe inakosolewa na wapiga dili??

Vipi baa la njaa na lenyewe ni maneno tu ya wapiga dili??

Vp katiba mpya imepotezewa je na yenyewe ni ya wapiga dili??

Guys lets me objective kusema tu wapiga deal bila kutoa mfano mie sielewi lolote

Mliahidi viwanda na ndio vitatoa ajira seriously mpka sasa hakuna lilofanyika na sisi nao mnatuita wapiga dili??? Is this fair

Naomba mama obama uje na mfano mmoja hapa unieleweshe iwahe yale matrillion ya TRA hatuyaoni kwenye mzunguko je ina maana TRA nao wapiga dili njoo na mfano hai either wa BOT au hazina wa kuonyesha jinsi gani mzunguko wa hela umepungua kwa sababu ya wapiga dili...... nasubiri

Huwezi kulinganisha

Rais Magufuli ameshika madaraka kwa muda mufupi tu, na aliyoyafanya wengi waliomutanguoia walishindwa. Huwezi kufananisha uongozi wa Rais Kikwete na wa Rais Magufuli.

MATOKEO YA ELIMU; Shida ya watu kama nyinyi music na uvumilivu. Rome was not build for one day. Matokeo ya madawati na elimu bure kwa wote, mwenye elimu yake ya kutosha hawezi kuuliza swali ulilouliza, , mtoto anayesoma kwenye maxingira ya shida na anayesoma kwenye mazingira mazuri matokeo ya maisha yao yana kuwa tofauti. Faida.yake huwezimkuiona leo. Graduate wa Tanzania na Wauganda inategemea wamehitimu lini, waliohitimu kwenye utawala mbovu wenye ubinafsi wakati shule zetu zilisahuliwa na watoto wa wenye pesa, wakiwapeleka kusoma Kenya na Uganda na wengine nchi za nje, huwezi kuwalinganisha, kwani Wakenya na Waganda baheti ya education yao ni kubwa wakati utawala uliyopita hawakujali kisomo cha Watanzania haswa wale watu wa chini. Wapiga dili walikuwa na uwezo wakupeleka watoto wao nje ya nchi. Sasa Rais Magufuli amebadilisha ameanza kuweka mazingara mazuri kwa watoto wote bila ya kuchaguwa iwe kama zamani. Mtoto masikini ataenda shule bila ya kuvaa viatu na kupata mafunzo mazuri na akatokea kuwa daktari. Huo MTINDO ulikuwa umetoweka, ufisadi ulikuwa umetapakaa mpaka kwenye mitihani, watoto masikini walikuwa hawana chance. Mwenye akiri yake timamu ataiunga mkono serikali ya Rais Magufuli.

MIKOPO KWENYE BABENKI

Rais Magufuli hazuwii benki zisikopeshe, Lia aliamisha tu pesa za Watanzania ili zisinyakuliwe na mafisadi, kwa kuwa kulikuwa Hakuna utaratibu mzuri wa kuheshimu pesa za wawezaji, kama Hakuna nidhamu ikulu, basi nidhamu inakosekana nchi nzima na matokeo yalikuwa wizi kila kona. Sasa benki zinauagalifu, sio kama zamani. Uongozi zamani ulikuwa mbaya kila kona mpaka kwenye mabenki for your own benefits, nikuelimishe, pesa zilipo benki siyo za benki bali ni za watu wanaoweka akiba, wakati huo ikiwa Pamoja na serikali. inakopesha fedha hizi kujipatia faida . Kupata mkopo lazima uwe na security ya kutosha ili ukishindwa kulipa deni, benki inaweza kuuza hiyo security kuweza kurudisha pesa ulizokopa. MTINDO wa zamani kabla ya Uongozi wa Rais Magufuli, wapiga dili ikiwa Pamoja na VIONGOZI WETU wa serikali, wakitumia vyeo vyao wanapewa mikopo Kwa security uchwara, wakishindwa kulipa basi pesa zinapotea. Leo benki zinadai watu wameshindwa kulipa na security zao haxitoshi kufidia madeni yao. Sasa hayo siyo makosa ya Rais, bali ni uongozi mbaya, Tanzania ilikuwa inaelekea pabaya na uchumi feki.

VIWANDA, unasema tuliahidi viwanda waking Nani? Wewe ni Mtanzania usijitowe, viwanda ndiyo the way forward changamuka, azisha hata kiwanda cha vijiti kutowa nyama kwenye meno, together tutaijenga Tanzania mpya, Tanzania ni yetu wote udijitowe, umoja ni NGUVU, play your part badala ya kulalamika bila ya point. Sasa mabenki yanatowa mikopo, lakini siyo kama zamani lazima uwe credit worth yaani una na uwezo wa kulipa, Tanzania kuendelea HAITAJI uchumi bandia kama zamani, ya kuwa fanya watu kuwa wavivu, hakuna nchi duniani inatowa mikopo kwa watu hawana plan ya kuridhisha ya kibiashara. Na viwanda havijengwi kwa siku moja is work in progress.

MAMILIONI YA TRA; Kulikuwa na malimbikisi ya mishahara ya walimu, na madeni mengi Rais Magufuli ameyarithi, ununuzi wa NDEGE. Machine za hospitali, na maendeleo mengi, toka jenye mutandao, tembea ujaone, upanuzi wa mabalbala. Rais Maguli anatuchungia PESA ZETU hata ununzi wa NDEGE hakutumia agent ni moja kwa moja, Sio kama kesi ya rada, tukapoteza mabillioni, lazima tumuongezee mkono sio malalamikontu., Sasa mashine za upimaji mahospitalini zina fanya kazi, na amepunguza deni la serikali mwaka mmoja tu madarakani, please be grateful kwa Rais wetu. He is not perfect but he doing a good job.

Mzunguko wa pesa ulikuwa wa bandia, na zilikuwa pesa za serikali, pesa za wote za kutowa huduma kwa wote. Kwa mufano Mbowe amefanya biashara yake kwa mda mrefu, anaoata faida, lakini kodi halipi, hiyo pesa inabaki mufukoni nyingine zinaenda kwa mama ntilie na hospitali zetu zina kosa dawa. Mtu anapata tenda, kama tunavyosikia watu walilipwa billioni 60 ku-supply uniform za polisi, kampuni hewa, hakuna cha uniform, pesa imelipwa, Hii pesa itasambaa mitaani, KWA watu wachache na majumba ya fahari yatanuliwa, kwa pesa za serikali, na huduma za muhimu kwa wengi zina kwamba, Sasa huu ndiyo. Uchumi gani? Si uchumi feki huu? Kama tungekuwa tunauza Nani zetu Uingereza ama pamba ama kitu chochote na pesa za kigeni zinaingia mitaani zisingepotea, lakini pesa zilikuwa za dili ambazo zilikuwa zina wananufaisha wachache sasa hazipo tena, na walalamikaji wanaolalamika kwa kusingizia wanatetea haki uwongo wanatetea matumbo yao na ubinafsi.

NJAA; Njaa iko kila pahali duniani kwaajili ya mvua kukosekana, dunia tumeivhafus, na siyo uongozi wa Rais Magufuli umeleta njaa, sasa lazima tuache ubinafsi wa kuwadhurumu wanyonge tumuombe Mungu atuletee mvua kwa manufaa ya watu wote duniani tupate Baraka na sio kumuraumu mtu mmoja. Sasa angalia hii video njaa ilivyopamba nchi jirani Kenya, Rais Magufuli sio Rais wa Kenya hakuleta njaa Kenya. Tuache kulalamika tumuunge Rais Magufuli tufanye kazi. Acha lugha ya mulisema viwanda mulisema hivi, wewe Mtanzania, tuungane pamoja Tanzania itasonga mbele tuache dili tufanye kazi Wakati wa dili ulikwisha na sasa ni KAZI TU

2lsAJ6c

.

Lakini mbona wakati tunamkosoa kikwete mlikuwa mnamteea hivi hivi je huyu naye akimaliza muda wake hamtakuja kumkejeli kma unavyomkejeli hapa kikwete?? Kaz kweli kweli

Hya naomba uniambie kwa jinsi gani kupata madawati na elimu bure kumeongeza quality ya elimu?? Au kukaa kwenye dawati ndio kumeongeza QUALITY ya elimu?? Graduate wa tz utamlinganisha na wa kenya au uganda?? Nisaidie hapo

Pia unasema wapiga dili ndio wanaolalamika je kagera wapiga dili, wasafirisha maloli wapiga dili, sekta binafsi zilizoporwa tenda za ujenzi wapiga dili, mikopo kuadimika benki nako ni sababu ya wapiga dili?? Na je mzunguko wa pesa kupungua ni kwa sababu ya wapiga dili kukosa hela?? Mapato halali ya TRA si mmekusanya haya mbona hela kwenye mzunguko hamna??
Mifuko inakaribia kufilisika kwa sababu yabkukopesha serikali na yenyewe hailipwi kwa sababu ni wapiga dili????

Haya mkuu hafuati katiba je kisa iliandikwa na wapiga dili??

Unazungumziaje sheria kandamizi ya habari au na yenyewe inakosolewa na wapiga dili??

Vipi baa la njaa na lenyewe ni maneno tu ya wapiga dili??

Vp katiba mpya imepotezewa je na yenyewe ni ya wapiga dili??

Guys lets me objective kusema tu wapiga deal bila kutoa mfano mie sielewi lolote

Mliahidi viwanda na ndio vitatoa ajira seriously mpka sasa hakuna lilofanyika na sisi nao mnatuita wapiga dili??? Is this fair

Naomba mama obama uje na mfano mmoja hapa unieleweshe iwahe yale matrillion ya TRA hatuyaoni kwenye mzunguko je ina maana TRA nao wapiga dili njoo na mfano hai either wa BOT au hazina wa kuonyesha jinsi gani mzunguko wa hela umepungua kwa sababu ya wapiga dili...... nasubiri
 
Watanzania bwana.Nendeni kenya tu ambao ni jiraninzetu ndo mtaelewa nn maana ya kufanya kazi na kujipatia kipato binafsi.Kibanda cha kuchoma mahindi tu wanasema this is my business.ila Tz ni dharau,kulalamika na kutokuwa na mipango wa kujikwamua kibinafsi.
Wewe unayo hijo mipango
 
Back
Top Bottom