Zitto Kabwe: Rais Magufuli awaombe radhi wabunge aliowashambulia vikali na kuahidi kuwafukuza na kupiga shangazi zao

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Soma hii tweet yake:

Hakuna namna kwenye suala la Korosho Rais
@MagufuliJP awaombe radhi wabunge aliowashambulia vikali na kuahidi kuwafukuza na kupiga shangazi zao na pia aagize kufuta marekebisho ya sheria ya Korosho ili kurudisha imani ya Wananchi. Rais pia ajitafakari namna itampendeza KUWAJIBIKA.
 
Mtazamo wangu,

Zitto Your a gift from God (Smart, Bright, Brave, Wise and you have all the symptoms of a future leader). Njia unayopita sasa hivi upo sawa sawa, na unapoelekea mungu ndio anaokuongoza huko. Una kila dalili za kuja kua na mamlaka mbeleni.

Note that;

1) CCM itaimaliza CHADEMA kwa kutumia nguvu.

2) CCM itajiua yenyewe(Kifo Cha Kihistoria Africa).. Mhe. JPM atakapo maliza muda wake, viongozi atakaowaacha katika chama watakosa maelewano baina yao, wapo watakaotaka madaraka/uongozi kwa nguvu, wapo walioweka vinyongo/visasi na wapo watakao weka matabaka baina yao. ***Walio muhim vs wasio muhim, Walio wa kanda fulani vs sio kanda fulani, Walio pambana kwenye campaign za chama na hawakupewa vyeo vs ambao hawakupambana kabisa na wamepata wadhifa*** (Self-Destruction).

3) ACT Wazalendo hapa itapaa juu kirahisi.( Hapo wakati CUF duniani haipo, akhera haionekani na bado inatafutwa)

Karl Max, Lennon, Plato, Aristotle, Socrates, Confucius na John Locke ::-- "Wanacheza bao la kete huko mbinguni sasa hivi huku wakinywa kahawa. Kwa pembeni, René Descartes akiwapa umbea kuhusu siasa ya Tanzania inapoelekea sasa hivi".

#Wekeni kumbukumbu ya huu mtazamo wangu wana JF, na mtakuja kuamini. Kama haitoshi basi ntafunguka kwa undani kidogo tena kwenye kuchangia hoja katika thread nyingine mtakazo weka.
 
wasi wasi ni mbona hakamatwi na kufunguliwa kesi kama akina mdee?
Kama huyo bodaboda asiyebugidhiwa na askari wa kutuliza maandamano na ghasia
tapatalk_1540589938874.jpeg
 
Soma hii tweet yake:

Hakuna namna kwenye suala la Korosho Rais
@MagufuliJP awaombe radhi wabunge aliowashambulia vikali na kuahidi kuwafukuza na kupiga shangazi zao na pia aagize kufuta marekebisho ya sheria ya Korosho ili kurudisha imani ya Wananchi. Rais pia ajitafakari namna itampendeza KUWAJIBIKA.
Kama mmbwai na iwe mmbwai tu
 
wasi wasi ni mbona hakamatwi na kufunguliwa kesi kama akina mdee?
Mbinu za kuwabambikia kesi siku hizi hata kwa akina Mdee wamepunguza baada ya vyombo vya Duniani kumwandikia barua kulaani Tabia zake za kukuballi ushauri wa Bashite ambaye na yeye anashauriwa na Musiba, jerry muro, le mutuz na Heri kisanduku mzee wa Nissan nyeupe kule Dodoma.
 
Toka lini Raisi akaomba radhi na kujiwajibisha bado awapo madarakani? Hata Tony Blaire aliomba radhi baada ya miaka 5 baada ya kuachia madaraka.

Zitto anatumia dakika zake za mwisho kuchokoa mzinga wa nyuki kwa kidole.

Bashite na kikundi chake cha wanaojiita wasiojulikana wapo wanampigia hesabu ingawa Heri kisanduku kachuja sana baada ya kufeli majaribio mengi likiwemo la Nape, Lisu na la yule mfanyabiashara wa huko musoma Peter Zacharia.
 
Baada ya TA watachukua mda mrefu kutoa part II.

Wale waliopigwa Risasi na yule mfanyabiashara wa huko musoma mara bado wapo hoi hospt huko South Africa na inasemekana Le mutuz aliwaamini sana kwenye kuhujumu wale wanaowakusudia, sasa wapo busy kuwaandaa wengine wenye roho mbaya kuliko roho ya Musiba wa kigazeti cha Jamvi la habari.
 
Mtazamo wangu,

Zitto Your a gift from God (Smart, Bright, Brave and Wise). Njia unayopita sasa hivi upo sawa sawa, na unapoelekea mungu ndio anaokuongoza huko. Una kila dalili za kuja kua na mamlaka mbeleni.

Note that;

1) CCM itaimaliza CHADEMA kwa kutumia nguvu.

2) CCM itajiua yenyewe. Mhe. JPM atakapo maliza muda wake, viongozi atakaowaacha katika chama watakosa maelewano baina yao, wapo watakaotaka madaraka/uongozi kwa nguvu, wapo walioweka vinyongo/visasi na wapo watakao weka matabaka baina yao. ***Walio muhim vs wasio muhim, Walio wa kanda fulani vs sio kanda fulani, Walio pambana kwenye campaign za chama na hawakupewa vyeo vs ambao hawakupambana kabisa na wamepata wadhifa*** (Self-Destruction).

3) ACT Wazalendo hapa itapaa juu kirahisi.( Hapo wakati CUF duniani haipo, akhera haionekani na bado inatafutwa)

Karl Max, Lennon, Plato, Aristotle, Socrates, Confucius na John Locke ::-- "Wanacheza bao la kete huko mbinguni sasa hivi huku wakinywa kahawa. Kwa pembeni, René Descartes akiwapa umbea kuhusu siasa ya Tanzania inapoelekea sasa hivi".
7AFE8715-E44C-492B-85EA-6BCD61DB3A8D.png
 
Back
Top Bottom