Zitto Kabwe: Ni muda muafaka sasa Baraza la Mawaziri kuitumia ibara ya 37(2) ya Katiba

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
FB_IMG_1537608175458.jpg
FB_IMG_1537608189720.jpg


Zitto kaona kitu gani ambacho hakiendi sawa hadi akatoa ushauri wa aina hii, hebu tusaidiane kulijua hilo gharika linalotunyemelea.
====================​
Mchango wa Mwigulu Nchemba kuhusu maoni ya Zitto.
IMG_20180923_130052.jpg

IMG_20180923_130150.jpg
 
Mwambie zito asubir kwanza tupo ziwan now
Si juzi usiku mlisema mnasitisha shuguli za uokoaji kwa sababu waliobakiwa wote wameshakufa?

Na magogoni wakanyamaza kimya.

Leo nasikia kaokolewa mtu yupo hai
Unadhani tangia juzi wamekufa wangapi kwa sababu ya upumbavu wenu?

Aisee baraza liwakilishe kwa jaji mkuu haraka sana na jaji ateua madaktai
 
Si juzi usiku mlisema mnasitisha shuguli za uokoaji kwa sababu waliobakiwa wote wameshakufa?

Na magogoni wakanyamaza kimya.

Leo nasikia kaokolewa mtu yupo hai
Unadhani tangia juzi wamekufa wangapi kwa sababu ya upumbavu wenu?

Aisee baraza liwakilishe kwa jaji mkuu haraka sana na jaji ateua madaktai
Ndugu naona umenishambulia sana

Hebu angalia thread zangu uone ni jinsi gani namuunga mkono zitto

Tafadhal mkuu

Nakuheshim saint ivuga
 
Mawaziri hawahawa anaowateua Jiwe? thubutuuu. Nafuu hata hapo Kenya Waziri (Cabinet Secretary) anakuwa vetted na jopo la watu
 
Katiba yetu ina mapungufu mengi sana.Hebu jiulize ni nani atakayeitisha kikao cha baraza la mawaziri iwapo Raisi ndiye ndiye mwenyekiti wa baraza la mawaziri.Vile vile hii ingekuwa na maana kama Jaji mkuu hateuliwi na Raisi (Yaani awe huru) Na baraza huru la mawaziri.Haya tumuone huyo panya wa kumfunga paka kengele
 
Back
Top Bottom