Zitto Kabwe na wanasiasa wengine tuombeni radhi

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,358
6,090
Jana nimemskia Mh. Zitto akijenga hoja kuwa wapo Watanzania wenye Dini na wasio na Dini.

Akaendelea kusema kuwa wanasiasa wengi wamekuwa na tabia ya kufungua hotuba zao kwa kusema Bwana asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, na As-salamu alaykum.

Nakubaliana naye kuwa hizi ni salaam; nisichokubaliana naye ni kuwa kuna watanzania wasio na dini. Kwa taarifa yake hakuna binadamu achilia mbali mtanzania asiye na dini.

Na hii imekuwa ni hulka ya waumini wa dini za mapokeo (ukristo na uislam) kuwaona wengine hawana dini. Hii ni tabia ya dharau ambayo yaikubaliki.
 
Ndiyo maana yake. Hakusema "hawana dini za asili," alisema "hawana dini" akimaanisha hizo unazoziita "za mapokeo".
 
Magobe T, sijakuelwa mkuu; yaani mtu ana dini yake ya asili halafu anaitwa hana dini?!
 
Jana nimemskia Mh. Zitto akijenga hoja kuwa wapo Watanzania wenye Dini na wasio na Dini.

Akaendelea kusema kuwa wanasiasa wengi wamekuwa na tabia ya kufungua hotuba zao kwa kusema Bwana asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, na As-salamu alaykum.

Nakubaliana naye kuwa hizi ni salaam; nisichokubaliana naye ni kuwa kuna watanzania wasio na dini. Kwa taarifa yake hakuna binadamu achilia mbali mtanzania asiye na dini.

Na hii imekuwa ni hulka ya waumini wa dini za mapokeo (ukristo na uislam) kuwaona wengine hawana dini. Hii ni tabia ya dharau ambayo yaikubaliki.
Tupo tusio na dini. Usitake kulazimisha mambo.

Hata Nyerere alisema Tanzania ni nchi isiyofuata dini, siku tukipata rais asiye na dini tutatafuta namna ya kumuapisha.

Aalikuwa anasema kuhusu umuhimu wa kiapo kwa kiongozi, ili kiongozi akiipuka kiapo tumhukumu.

Alisema Wakristo wataapa kwa Biblia, Waislamu kwa Quran na hata wasio na dini tutawaapisha.

Maana yake wapo Watanzania wasio na dini.

Get your facts right.
 
Back
Top Bottom