Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Huyo hana cha kupumzika,kuna damu zisizo na hatia zinamlilia Mungu Muumba wa vyote na matokeo yake adhabu anaibeba yeye Shaitwan wa Chattle land...aliua,alilawiti watu,alitesa watu na kuwatendea ubaya mwingi sana!
Inategemea ntu na ntu,, king David aliua wangapi?,, Lakini hadi yesu aliitwa mwana wa daud
Marais wa nchi zote wana mamlaka makubwa ndo maana wanaitwa amri jeshi mkuu,, hata Rais wa marekani pia husaini watu wawe Terminated
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
NDIO MUNGU ALIVYOKUAMBIA HIVYO, KUWA KADINALI ANAMAFUTA YA KWENDA MBINGUNI moja kwa moja yenye msamaha wa dhambi. Tujifariji tu
 
Fighting with dead body.

Marehemu kama alikuwa katili kwa pumbavu kama hizi yuko sawa kabisa na Mungu amrehemu huko aliko na tunaomba sana aje katili zaidi yake apambane na hizi Pumbavu/ RIP Nzilakende Mwamba wa Chato Pumzika kwa amani Chuma.
Huyo katili unayemuomba aje ndio hatamaliza hata mwezi baada ya kuapishwa, atamfuata mwendazake! Unafikili Mungu anavumilia ukatili kwa watu wake..........
 
Hata nyerere mwenyewe aliwashughulikia ipasavyo wale wote waliomkosoa wazi wazi wengine walipotezwa,wengine walifungiwa wasitoke kwenye wilaya au kata zao wengine walikimbilia nje ya nchi kabisa.
Ukisikia Rais anasema, urais ni kazi ngumu, hamaanishi kwamba huwa anashika sululu na kuchimba mitaro,,, inamanisha ukishapewa mikoba ya urais, unakuwa na mamlaka ambayo maamuzi utakayotoa, yanaweza kumaanisha life or death kwa baadhi ya watu,
Mfano enzi ya mkapa, kuna watu machimboni walifukiwa wakiwa hai kwenye operation ya kuwatoa watu , nyerere kuna waliumia enzi ya operation vijiji,
Unaweza ingiza nchi vitani na watu wakafa,
Unaweza saini watu wanaotishia usalama wawe Termed,
Etc, hizo ni baadhi ya kazi za mkuu wa nchi yeyote yule, na ndo maana wanasema kazi ya urais ni ngumu.
 
Watu wanaona njia rahisi ya kurudi kwenye siasa ni kuja na style ya kumdis marehemu.
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.

Haisaidii
 
Utavuna ulichopanda
 
Fighting with dead body.

Marehemu kama alikuwa katili kwa pumbavu kama hizi yuko sawa kabisa na Mungu amrehemu huko aliko na tunaomba sana aje katili zaidi yake apambane na hizi Pumbavu/ RIP Nzilakende Mwamba wa Chato Pumzika kwa amani Chuma.
Welofa kweli,unafikiri Mungu ni athumani???
 
Inaonekana njia rahisi ya kupata kick ni kukomaa na Hayati...
Itoshe kusema maneno ya Mze Ally Hassani Mwinyi kwamba maisha ya hapa duniani ni hadisi tu hivyo isingependeza ukaondoka na aibu ya mainzi yakikufuata bali iwe hadisi mzuri. Mwache magu avune alichokipanda
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Jamani shetani tangu lini akamiliki mbingu! au naota???
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Jidanganye utende dhambi na kuwaumiza watu ukitegemea mafuta utashangazwa na ukali wa moto utakaokukabili. Tutende mema na haki hizo issue za mafuta ni taratibu za wanadamu.
 
Kufa tutakufa ila

Kufa tutakufa ila tufe tukiacha tabasamu duniani. Wewe unadhani ndugu zake Benn Saanane na wengine mpaka leo wanaishi vipi?

Hakuna kiumbe hai (subject;Binaadam) atakayetoweshwa na kifo hapa duniani akaacha tabasamu la asilimia Mia moja kwa jamii yake!!

Mathalan; watoto wawili kati ya watano katika familia wanashangilia na kufurahia mzazi anapofariki dunia wapate kurithi mali! Sembuse Kiongozi wa wananchi zaidi ya milioni 50, wenye itikadi na mawazo tofauti?!

Ps; Mtoa Mada, ni vyema zaidi maoni ya kila mmoja yakaheshimiwa ili mradi hakuna anayevunja sheria za nchi.

Hata Nyoka ana Ulimi.
 
Back
Top Bottom