Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Ktk kipindi cha Kinagaubaga cha redio DW Mchana huu kilichorushwa na mtangazaji Mohammed Herllef, wamehojiwa wanasiasa Zito na Lissu. Wote wawili wamekanusha habari zinazojiri mitandaoni kuwa Lissu atahamia ACT kuungana na Zitto.
Lissu kasema anaikubali kazi nzuri anayoifanya Zitto ya kupigania demokrasia nchini tangu yeye aondoke kutokana na mashambulizi ya mvua ya risasi. Zitto alimalizia kwa kusema kuanza kumuwaza mtu sahihi wa kumkabili Rais Magufuli na CCM mwaka 2020, bila kumuwaza Tundu Lissu itakuwa ni Uwendawazimu.