Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER".

Leo 13:15pm 04/07/2020

Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni Taifa la Uchumi wa kati.

Hivi sasa kila Mtanzania ana confidence,kila Mtanzania anacho Cha kujivunia mbele ya Mkenya na Mzungu ambao daima wanatuwazia mabaya na kumuona Mtanzania kama mtumwa wao,

Sasa Tanzania ni nchi ya Uchumi wa kati ikisimama mstari mmoja na Kenya,hii ni meseji tosha kwa yeyote anayetufata fata aache mara moja,vinginevyo tutamuonyesha kuwa sisi ni Taifa kubwa sana alilolianzisha Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Nyerere.

Kwa treni ya Umeme aliyojenga Rais Magufuli,Bwawa kubwa la Umeme analojenga Rais Magufuli,Viwanda tutakavyojenga baada ya bwawa la Umeme kumalizika,bidhaa tutakazozalisha wenyewe na kuziuza nchi za nje,

Ajira itakayoongezeka kutokana na Viwanda vinavyojengwa,tuna haki ya kutembea kifua mbele kama Watanzania tunaojiamini mbele ya Mkenya hata Mzungu,hii ni tathmini ya matokeo chanya kwa miaka mitano tu ya kwanza ya Rais John Magufuli madarakani.

Wapo watu mfano wa Zitto Kabwe na Tundu Lissu ambao wao daima hawaoni jema,wapo radhi waiuze nchi kwa mzungu,Wao wanapinga kila kitu kizuri kinachofanyika kuikomboa Tanzania kutoka katika lindi la umasikini hadi sasa tulipofika kwenye nchi za Uchumi wa kati,

Watu awa ndio nawatolea mfano wa Malcom x alipowaita "House Niggas" kwa kumpenda mzungu,kuweka tumaini lao juu ya mtu mwenye ngozi nyeupe awe mzungu,mwarabu,mhindi au mchina kuliko kumpenda Mwafrika mwenzake,

House Nigger ukimwambia toka ujikomboe atakwambia hapa Mimi nalishwa na mzungu,napewa mabasi nikazike ndugu zangu,nakaa kwa bosi wangu mwarabu,napewa mkate na maziwa,nimkatae au nitoke niseme sikutaki wewe beberu mzungu,sikutaki ewe mwarabu mbinafsi nani atanipa mkate na Maziwa!?

Upo Utumwa wa aina mbili,Utumwa wa ndani"House Negro" na Utumwa wa nje"Field Negro",Mtumwa wa ndani"House Negro" anaishi na bosi,anavaa vizuri na kula makombo ya bosi,anampenda bosi zaidi ya anavyojipenda yeye mwenyewe,

Nyumba ya bosi ikiungua,mtumwa wa ndani"House Niga" atapambana aokoe mali za bosi wake,Bosi akiumwa atasema bosi tunaumwa,ooh bosi tunaumwa,anajiweka yeye pamoja na bosi wake,ukienda nyumbani kwa bosi wa mtumwa wa ndani"House Negro" na kumwambia mtumwa wa ndani"House Negro" tutoroke,

Atakwambia,Wewe ni mjinga nini? Unataka kunitenganisha na bosi Wangu,wapi nitapata nyumba nzuri kuliko hii! Wapi nitakula vyakula vizuri kama haya makombo ya bosi wangu,"That was that house Negro,In those days he was called a "house nigger" and that's what we call them today,because we've still got some house niggers running around here"-Malcom x

Wapinzani nchini Tanzania leo hii wamekuwa "House Nigger" mmoja wapo wa mfano ni Zitto na mwenzake Tundu,Wengine ni wale diaspora waishio Marekani akina Dullayo, Emmanuel Muganda,Haji Khamis ambao Leo wanamuita Trump cousin yao,mpwa wao na Tanzania wanapaita kwa Kambarage!

Awa akina Zitto Kabwe,Tundu Lissu,na hao diaspora waishio Marekani ni namna mpya ya "House Nigger" anayependa beberu zaidi ya Baba,Mama,Shangazi au Mjomba wake,wako radhi wasaliti nchi waiuze nchi ili tu kuwa karibu na beberu,tuliona picha zikisambaa zikimuonesha Zitto akitoka kunywa chai kwa beberu nyumbani kwa balozi wa Uingereza,

Tulimuona Tundu Lissu akiitukana matusi makubwa nchi yake ya Tanzania akiwa katika mimbari ya BBC na CNN,Malcom x anasema "A House Nigger will pay three times as much as the house is worth just to live near his master"

Baada ya Zitto na Tundu kuitukana Tanzania wataita vyombo vya habari na kujisifia "Sisi tumeikomesha Tanzania" wataenda kuandika kwenye magazeti"tumewaambia wazungu wainyime misaada Tanzania" Malcom x anasema "You are nothing but a house Negro",

-Zitto Kabwe anapinga Tanzania kuingia Uchumi wa kati kwa sababu tutakosa mbeleko ya Unafuu wa mikopo.

Zitto Kabwe anasema japo tumefikia Uchumi wa kati,tunapaswa kupokea habari ya nyongeza ya wastani wa pato kwa kila mtu kwa tahadhari kubwa sana. Kuna faida na hasara ya kupanda daraja hili. Ukiwa ‘under developed low income country’, faida yake ni kupata misaada na mikopo yenye unafuu mkubwa.

Ni sawa na mtoto mdogo anayepewa vyakula vya kupondwa pondwa. Hii inatoa ahueni kubwa kwa nchi kujijenga kiuchumi. Ukifaulu na kuingia kwenye kundi la uchumi wa kati hii mbeleko inaondoka.Sasa utapaswa kukopa mikopo ya kibiashara zaidi ambayo riba yake ni kubwa. Kwa lugha nyingine, mikopo inakuwa ghali na misaada inapungua sana.

Yaani matarajio ni kuwa sasa umekuwa mkubwa ujitafunie. Mikopo ya Biashara ambayo tayari tumeanza kuchukua kiasi cha kuwa 34% ya Deni la Taifa. Benki ya Dunia imetoa mwanya wa Deni letu la Taifa kuwa kubwa na lenye gharama kubwa kulihudumia.

Faida ya kuwa uchumi wa kati ni kwamba ukomo wa Nchi wa kukopa katika masoko ya Fedha na mitaji inapanuka kuliko sasa. Hivyo unaweza kufanya mambo makubwa zaidi.Hasara yake ni gharama ya mikopo hiyo inaumiza uchumi ambapo mara nyingi sana unakuwa si imara sana kwa kuwa mara nyingi, uchumi huo hubebwa na takwimu tu ambazo zinaweza zisiakisi maisha halisi ya watu.

Mathalan, nchi zenye madini na mafuta, pato la Taifa linaweza kuonekana kubwa lakini vigezo vya hali ya maisha ya watu (Human Development Index) ikawa chini sana. Nchi nyingi za Low Middle Income zinalalamika sana kuomba zifikiriwe upya na mashirika ya kifedha.

Baadhi ya Nchi zinaomba kwa Benki ya Dunia zishushwe daraja ili kukwepa hasara hizi. Sisi tunashangilia sana. Nadhani hatujui tunachoshangilia ni nini,

Nimalizie kwa kusema kuwa, kwa kasi tuliyokuwa nayo kwa miaka 5 iliyopita inatia mashaka ikiwa tutafika lengo letu la Uchumi wa Kati miaka 5 ijayo iwapo tukiendelea na maono haya, fikra hizi na matendo haya. Kuvuka mpaka ni hatua muhimu na ya kufurahisha lakini bado hatujafika safari yetu. Mpango wa Taifa unatutaka tufikia Pato la Kila Mtu la walau Dola za Marekani 3,000 kwa Mwaka ifikapo 2025.

Kufikia lengo hili inakuja na wajibu mkubwa kwa kila mmoja wetu kama Taifa,Haya ndio mawazo ya Zitto Kabwe yeye hata tunapofanikiwa basi kwake ni jambo baya,ananikumbusha Waisrael waliokuwa wanaelekea Kanaani mji wa maziwa na asali,njiani waliomba warudishwe Misri wanapoteswa lakini jioni wanapewa chakula,hii ni dhana ya Utumwa mpya ambao Malcom x aliuita " The modern House Negro".

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
 
...

Watu awa ndio nawatolea mfano wa Malcom x alipowaita "House Niggas" kwa kumpenda mzungu...

Kufikia lengo hili inakuja na wajibu mkubwa kwa kila mmoja wetu kama Taifa,Haya ndio mawazo ya Zitto Kabwe yeye hata tunapofanikiwa basi kwake ni jambo baya...

Mimi ni Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

Katika mengi uliyoandika nimechagua hayo machache kukumbusha jamii:
1) Akina Lissu na Mbowe, kama wana nia ya dhati ya vyama vyao kushika madaraka, wana wajibu wa kuwaambia WaTz, jinsi na namna gani nchi itabaki kwenye uchumi wa Kipato cha Kati na kusonga mbele, badala ya kulaumu na kulalamika;
2) WaTz tumejipangaje, kila mtu kwa nafasi kutafsiri kwa vitendo maana ya nchi kuwa na uchumi wa Kipato cha Kati.
3) Je, tuendelee kuwa "House Niggas" au tuitafsiri Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, iliyoasisiwa na Baba wa Taifa, kwa vitendo?
 
ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER".

Leo 13:15pm 04/07/2020

Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni Taifa la Uchumi wa kati.

Hivi sasa kila Mtanzania ana confidence,kila Mtanzania anacho Cha kujivunia mbele ya Mkenya na Mzungu ambao daima wanatuwazia mabaya na kumuona Mtanzania kama mtumwa wao,

Sasa Tanzania ni nchi ya Uchumi wa kati ikisimama mstari mmoja na Kenya,hii ni meseji tosha kwa yeyote anayetufata fata aache mara moja,vinginevyo tutamuonyesha kuwa sisi ni Taifa kubwa sana alilolianzisha Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Nyerere.

Kwa treni ya Umeme aliyojenga Rais Magufuli,Bwawa kubwa la Umeme analojenga Rais Magufuli,Viwanda tutakavyojenga baada ya bwawa la Umeme kumalizika,bidhaa tutakazozalisha wenyewe na kuziuza nchi za nje,

Ajira itakayoongezeka kutokana na Viwanda vinavyojengwa,tuna haki ya kutembea kifua mbele kama Watanzania tunaojiamini mbele ya Mkenya hata Mzungu,hii ni tathmini ya matokeo chanya kwa miaka mitano tu ya kwanza ya Rais John Magufuli madarakani.

Wapo watu mfano wa Zitto Kabwe na Tundu Lissu ambao wao daima hawaoni jema,wapo radhi waiuze nchi kwa mzungu,Wao wanapinga kila kitu kizuri kinachofanyika kuikomboa Tanzania kutoka katika lindi la umasikini hadi sasa tulipofika kwenye nchi za Uchumi wa kati,

Watu awa ndio nawatolea mfano wa Malcom x alipowaita "House Niggas" kwa kumpenda mzungu,kuweka tumaini lao juu ya mtu mwenye ngozi nyeupe awe mzungu,mwarabu,mhindi au mchina kuliko kumpenda Mwafrika mwenzake,

House Nigger ukimwambia toka ujikomboe atakwambia hapa Mimi nalishwa na mzungu,napewa mabasi nikazike ndugu zangu,nakaa kwa bosi wangu mwarabu,napewa mkate na maziwa,nimkatae au nitoke niseme sikutaki wewe beberu mzungu,sikutaki ewe mwarabu mbinafsi nani atanipa mkate na Maziwa!?

Upo Utumwa wa aina mbili,Utumwa wa ndani"House Negro" na Utumwa wa nje"Field Negro",Mtumwa wa ndani"House Negro" anaishi na bosi,anavaa vizuri na kula makombo ya bosi,anampenda bosi zaidi ya anavyojipenda yeye mwenyewe,

Nyumba ya bosi ikiungua,mtumwa wa ndani"House Niga" atapambana aokoe mali za bosi wake,Bosi akiumwa atasema bosi tunaumwa,ooh bosi tunaumwa,anajiweka yeye pamoja na bosi wake,ukienda nyumbani kwa bosi wa mtumwa wa ndani"House Negro" na kumwambia mtumwa wa ndani"House Negro" tutoroke,

Atakwambia,Wewe ni mjinga nini? Unataka kunitenganisha na bosi Wangu,wapi nitapata nyumba nzuri kuliko hii! Wapi nitakula vyakula vizuri kama haya makombo ya bosi wangu,"That was that house Negro,In those days he was called a "house nigger" and that's what we call them today,because we've still got some house niggers running around here"-Malcom x

Wapinzani nchini Tanzania leo hii wamekuwa "House Nigger" mmoja wapo wa mfano ni Zitto na mwenzake Tundu,Wengine ni wale diaspora waishio Marekani akina Dullayo, Emmanuel Muganda,Haji Khamis ambao Leo wanamuita Trump cousin yao,mpwa wao na Tanzania wanapaita kwa Kambarage!

Awa akina Zitto Kabwe,Tundu Lissu,na hao diaspora waishio Marekani ni namna mpya ya "House Nigger" anayependa beberu zaidi ya Baba,Mama,Shangazi au Mjomba wake,wako radhi wasaliti nchi waiuze nchi ili tu kuwa karibu na beberu,tuliona picha zikisambaa zikimuonesha Zitto akitoka kunywa chai kwa beberu nyumbani kwa balozi wa Uingereza,

Tulimuona Tundu Lissu akiitukana matusi makubwa nchi yake ya Tanzania akiwa katika mimbari ya BBC na CNN,Malcom x anasema "A House Nigger will pay three times as much as the house is worth just to live near his master"

Baada ya Zitto na Tundu kuitukana Tanzania wataita vyombo vya habari na kujisifia "Sisi tumeikomesha Tanzania" wataenda kuandika kwenye magazeti"tumewaambia wazungu wainyime misaada Tanzania" Malcom x anasema "You are nothing but a house Negro",

-Zitto Kabwe anapinga Tanzania kuingia Uchumi wa kati kwa sababu tutakosa mbeleko ya Unafuu wa mikopo.

Zitto Kabwe anasema japo tumefikia Uchumi wa kati,tunapaswa kupokea habari ya nyongeza ya wastani wa pato kwa kila mtu kwa tahadhari kubwa sana. Kuna faida na hasara ya kupanda daraja hili. Ukiwa ‘under developed low income country’, faida yake ni kupata misaada na mikopo yenye unafuu mkubwa.

Ni sawa na mtoto mdogo anayepewa vyakula vya kupondwa pondwa. Hii inatoa ahueni kubwa kwa nchi kujijenga kiuchumi. Ukifaulu na kuingia kwenye kundi la uchumi wa kati hii mbeleko inaondoka.Sasa utapaswa kukopa mikopo ya kibiashara zaidi ambayo riba yake ni kubwa. Kwa lugha nyingine, mikopo inakuwa ghali na misaada inapungua sana.

Yaani matarajio ni kuwa sasa umekuwa mkubwa ujitafunie. Mikopo ya Biashara ambayo tayari tumeanza kuchukua kiasi cha kuwa 34% ya Deni la Taifa. Benki ya Dunia imetoa mwanya wa Deni letu la Taifa kuwa kubwa na lenye gharama kubwa kulihudumia.

Faida ya kuwa uchumi wa kati ni kwamba ukomo wa Nchi wa kukopa katika masoko ya Fedha na mitaji inapanuka kuliko sasa. Hivyo unaweza kufanya mambo makubwa zaidi.Hasara yake ni gharama ya mikopo hiyo inaumiza uchumi ambapo mara nyingi sana unakuwa si imara sana kwa kuwa mara nyingi, uchumi huo hubebwa na takwimu tu ambazo zinaweza zisiakisi maisha halisi ya watu.

Mathalan, nchi zenye madini na mafuta, pato la Taifa linaweza kuonekana kubwa lakini vigezo vya hali ya maisha ya watu (Human Development Index) ikawa chini sana. Nchi nyingi za Low Middle Income zinalalamika sana kuomba zifikiriwe upya na mashirika ya kifedha.

Baadhi ya Nchi zinaomba kwa Benki ya Dunia zishushwe daraja ili kukwepa hasara hizi. Sisi tunashangilia sana. Nadhani hatujui tunachoshangilia ni nini,

Nimalizie kwa kusema kuwa, kwa kasi tuliyokuwa nayo kwa miaka 5 iliyopita inatia mashaka ikiwa tutafika lengo letu la Uchumi wa Kati miaka 5 ijayo iwapo tukiendelea na maono haya, fikra hizi na matendo haya. Kuvuka mpaka ni hatua muhimu na ya kufurahisha lakini bado hatujafika safari yetu. Mpango wa Taifa unatutaka tufikia Pato la Kila Mtu la walau Dola za Marekani 3,000 kwa Mwaka ifikapo 2025.

Kufikia lengo hili inakuja na wajibu mkubwa kwa kila mmoja wetu kama Taifa,Haya ndio mawazo ya Zitto Kabwe yeye hata tunapofanikiwa basi kwake ni jambo baya,ananikumbusha Waisrael waliokuwa wanaelekea Kanaani mji wa maziwa na asali,njiani waliomba warudishwe Misri wanapoteswa lakini jioni wanapewa chakula,hii ni dhana ya Utumwa mpya ambao Malcom x aliuita " The modern House Negro".

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Aliesoma yote, antafsrie.
 
Hawa jamaa wawili wameruhusu kuwaza kwa matumbo hivyo akili kainunua mzungu. Ila mwisho wao utakuwa wa fedheha sana
Cc Zitto
 
Back
Top Bottom