Zitto Kabwe Mwasiasa wa upinzani anayediriki kukosoa Serikali ya Mtukufu

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,731
7,603
Tangu Tundu Lisu Mbunge kupigwa risasi na viumbe (wasiojulikana) kutoka Sayari ya Sumbula kwa kuendesha mijadala ya kukosoa Serikali wabunge wote wa Upinzani wamekuwa waoga hakuna anayefurukuta tena kuikosoa Serikali ya Kifalme,
Msaidieni Zito Kabwe kupaza sauti.
 
Yeye ni mbunge wa kigoma mjini apambane na hali yake na atetee wapiga kura wake wapate maji,elimu nk mambo ya kitaifa sio saizi yake
 
Viumbe wasiojulikana hawana shabaha....magazine nzima ya SMG na 9mm risasi 2 zote wakashindwa kabisa kutimiza lengo?
 
Licha ya ubunge, Zitto ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ana haki ya kutoa maoni yake kama mimi na wewe tulivyo na haki ya kutoa maoni yetu
RAIA wa ujiji muda mwingi atoe ushauri wa namna gani wanaujiji waweza toka kielimu kiafya nk kuliko kutwa anajikweza kuongelea maswala ya kitaiifa he is too junior in the political hiarachy of the country.ahangaike na jimbo lake
 
Back
Top Bottom