Zitto Kabwe Mwasiasa wa upinzani anayediriki kukosoa Serikali ya Mtukufu

ZITO ANATUZUGA, ULISHAWAHI KUSIKIA ZITO AMELALA MAHABUSU HATA SIKU MOJA
 
RAIA wa ujiji muda mwingi atoe ushauri wa namna gani wanaujiji waweza toka kielimu kiafya nk kuliko kutwa anajikweza kuongelea maswala ya kitaiifa he is too junior in the political hiarachy of the country.ahangaike na jimbo lake
Kweli wahenga walisema akili ni nywele kila mtu ana zake
Hayo ni mawazo yako upo sawa kwa mtazamo wako
 
Mkuu mbona kule bungeni hua wanaletewa mambo yakujadili ya nchi nzima kama miswada ya sheria, bajeti ya taifa n.k ? Kwanini haachiwi mh. Rais peke yake ?
Zile sheria hupelekewa sababu zinakuwa na direct impact majimboni mwao kwa mfano inapelekwa sheria ya kufungwa maisha MTU anayetia mimba mwanafunzi wa shule ya msingi.Shule za msingi ziko majimbo yote.Ikipelekwa ni sawa kujadiliwa bungeni na kila mbunge
 
Mkuu mbona kule bungeni hua wanaletewa mambo yakujadili ya nchi nzima kama miswada ya sheria, bajeti ya taifa n.k ? Kwanini haachiwi mh. Rais peke yake ?
Mkuu huyu anajitoa ufaham kubisha ukweli anaujua
 
Mbunge ahangaike na jimbo full stop.Biblia inakataza MTU kujikweza kuliko alivyo.Mbunge uwezo Mungu aliompa au upako ni wa jimbo lake tu sio taifa.Padre huwezi kujifanya askofu kuongelea jimbo apambane na hali yake kwenye parokia yake
Yule ni kiongozi wa ACT kitaifa siyo kigoma pekee
 
Mbunge haitakiwi kutoka nje box principle ya concentration hairuhusu binadamu kufanikiwa hatakiwi kuwa multi focused anatakiwa kuwa uni focused kwenye kitu kimoja.Zitto a focus kwenye jimbo full stop.Hiyo theory ya kibwege ya kufikiri nje ya box ni theory ya kuleta umaskini matajiri wote duniani hawawazi nje ya box
Wasiwasi wako ni nini?
Uoga wa Serikali kumhofia zitto nini kipo nyuma ya pazia?
 
Yule ni kiongozi wa ACT kitaifa siyo kigoma pekee
ACT taifa ndio kitu gani kura za nchi zima mgombe uraisi wake alipata kura elfu 90 na nyingi za ujiji kati ya kura milioni kumi na tano za uraisi huyo zitto unaweza sema kiongozi wa kitaifa na kura zake elfu 90? Asijitutumue kuliko uwezo wake .Ahangaike na ujiji
 
Zitto kabwe ni mwansiasa jasiri ndio, lakini pia huu ujasiri wake unauona sasa hivi ni mbinu moja wapo ya kumfanya aendelee kuwepo kwenye limelight, kumbuka chama chake kinaelekea kufa kwa hiyo mbinu pekee ya kukiokoa ni kufanya kile ambacho kinaogopwa na wengi hili aweze kuteka maskio yenu vizuri.
 
Back
Top Bottom