Zitto Kabwe Mwasiasa wa upinzani anayediriki kukosoa Serikali ya Mtukufu


impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
5,153
Likes
2,992
Points
280
Age
33
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
5,153 2,992 280
Tangu Tundu Lisu Mbunge kupigwa risasi na viumbe (wasiojulikana) kutoka Sayari ya Sumbula kwa kuendesha mijadala ya kukosoa Serikali wabunge wote wa Upinzani wamekuwa waoga hakuna anayefurukuta tena kuikosoa Serikali ya Kifalme,
Msaidieni Zito Kabwe kupaza sauti.
 
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,295
Likes
1,535
Points
280
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,295 1,535 280
Kwani ameomba msaada??
 
Eng Inc

Eng Inc

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2017
Messages
312
Likes
265
Points
80
Age
27
Eng Inc

Eng Inc

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2017
312 265 80
Neno utukufu halitendewi haki siku hizi
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Balaa tupu
 
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,057
Likes
1,622
Points
280
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,057 1,622 280
anajiamini kwa sababu alisema atakayejaribu kunigusa, ukoo wake wote utateketea kama panya!
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
14,084
Likes
13,797
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
14,084 13,797 280
Tangu Tundu Lisu Mbunge kupigwa risasi na viumbe (wasiojulikana) kutoka Sayari ya Sumbula kwa kuendesha mijadala ya kukosoa Serikali wabunge wote wa Upinzani wamekuwa waoga hakuna anayefurukuta tena kuikosoa Serikali ya Kifalme,
Msaidieni Zito Kabwe kupaza sauti.
Yeye ni mbunge wa kigoma mjini apambane na hali yake na atetee wapiga kura wake wapate maji,elimu nk mambo ya kitaifa sio saizi yake
 
nasmapesa

nasmapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Messages
3,976
Likes
3,036
Points
280
nasmapesa

nasmapesa

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2014
3,976 3,036 280
Yeye ni mbunge wa kigoma mjini apambane na hali yake na atetee wapiga kura wake wapate maji,elimu nk mambo ya kitaifa sio saizi yake
Mambo ya kitaifa ni saizi ya nani?
 
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
261
Likes
297
Points
80
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2017
261 297 80
Siasa, siasa, siasa ni mfumo wa maisha.
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
14,084
Likes
13,797
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
14,084 13,797 280
Mambo ya kitaifa ni saizi ya nani?
Mambo ya nchi saizi ya Raisi aliyechaguliwa na wapiga kura nchi nzima yeye ahamlngaike na watu wake wa kigoma mjini waliomchagua kuwa mbunge wao
 
Gamba la Nyoka

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Messages
6,920
Likes
7,526
Points
280
Gamba la Nyoka

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined May 1, 2007
6,920 7,526 280
Mambo ya nchi saizi ya Raisi aliyechaguliwa na wapiga kura nchi nzima yeye ahamlngaike na watu wake wa kigoma mjini waliomchagua kuwa mbunge wao
Licha ya ubunge, Zitto ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ana haki ya kutoa maoni yake kama mimi na wewe tulivyo na haki ya kutoa maoni yetu
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,216
Likes
1,918
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,216 1,918 280
Viumbe wasiojulikana hawana shabaha....magazine nzima ya SMG na 9mm risasi 2 zote wakashindwa kabisa kutimiza lengo?
 
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
488
Likes
452
Points
80
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
488 452 80
Anajulikana ko hasumbui akili za wanaojielewa
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
14,084
Likes
13,797
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
14,084 13,797 280
Licha ya ubunge, Zitto ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ana haki ya kutoa maoni yake kama mimi na wewe tulivyo na haki ya kutoa maoni yetu
RAIA wa ujiji muda mwingi atoe ushauri wa namna gani wanaujiji waweza toka kielimu kiafya nk kuliko kutwa anajikweza kuongelea maswala ya kitaiifa he is too junior in the political hiarachy of the country.ahangaike na jimbo lake
 

Forum statistics

Threads 1,237,306
Members 475,501
Posts 29,283,973