Muhsiniina
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 319
- 231
Dah natamani kusema ila hata nyuma ya keyboard panatisha, noma sanaHii nchi inatunga Sheria mbaya za kumuumiza mwananchi Kila kunapokucha
Dah natamani kusema ila hata nyuma ya keyboard panatisha, noma sanaHii nchi inatunga Sheria mbaya za kumuumiza mwananchi Kila kunapokucha
usiogope baba, uoga wako ndiyo umasikini wako. Ukikaa kimya na mimi nikakaa kimya nani atasema? Na hili ndilo Tatizo letu Wadanganyika. Kumbuka, Mungu husaidia anayejisaidia.Dah natamani kusema ila hata nyuma ya keyboard panatisha, noma sana
Mi kwasasa wacha tu nikupe like mzee babausiogope baba, uoga wako ndiyo umasikini wako. Ukikaa kimya na mimi nikakaa kimya nani atasema? Na hili ndilo Tatizo letu Wadanganyika. Kumbuka, Mungu husaidia anayejisaidia.
Wewe hutegemei teuzi la kisiasa? Achana na pension.Zitto asituue Wazee kwa Shinikizo la damu!
Atueleze kwa kirefu Mapungufu ya huo Msaada maana pamoja na vibiashara uchwara tegemeo kubwa ni hiyo Penshen wakitufanyia hujuma watatuaa jamani
Asante Zitto kwa kuthubutu kusemea haya..!
Lissu tumekumiss pia..!
Hivi mkuu mtu akienda kwa wakili amsaidie mambo yke ya kisheria, anaweza pewa info then aambiwe mengine aende kununua vitabu vya sheria asome?Muswada upo online, tembelea tovuti ya bunge kuung'amua muswada huo ndugu. And what's the problem with Zitto to let us know that he will be discoursing on those issues in the bill. Hivi ITV wakitoa muhtasari wa habari saa 12 na kukwambia kwa taarifa kamili jiunge nasi saa mbili usiku nao huwa wanakosea?
Nia na lengo la Zitto ni kutaka watu wamfuatilie na kumsikiliza kwa yale ambayo ameyaandaa?
Sasa hapo tatizo alilolianisha linalotokana na huo muswada ni lipi? Angesema kifungu Fulani kinasema blah blah na maana yake ni hii hapo watu wangeona na uwanja Wa kujadili ungepatikana.
Nashangaa MTU anaunga mkono hewa, ndio maana kumbe anawaita Mara nyumbu Mara zwazwa! Unamuunga mkono hata ambapo hajasema lolote, duh!
Asante Zitto kwa kuthubutu kusemea haya..!
Lissu tumekumiss pia..!
Jinga kubwa wewe...na lisisiemu lako hilo unaloshabikia hujui kuwa ccm kupitia serikali yake imepanga kuwa wastaafu watachukua only 30% ya pensheni yao baada ya kustaafu....kiasi kingine wataendelea kulipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi kufa..kwa proportion ya 10% ya monthly salary......Zitto asituue Wazee kwa Shinikizo la damu!
Atueleze kwa kirefu Mapungufu ya huo Msaada maana pamoja na vibiashara uchwara tegemeo kubwa ni hiyo Penshen wakitufanyia hujuma watatuaa jamani
Jinga kubwa wewe...na lisisiemu lako hilo unaloshabikia hujui kuwa ccm kupitia serikali yake imepanga kuwa wastaafu watachukua only 30% ya pensheni yao baada ya kustaafu....kiasi kingine wataendelea kulipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi kufa..kwa proportion ya 10% ya monthly salary......
Endapo mstaafu atafariki familia yake itapewa kiasi tu cha pensheni yake
Ndugu yangu, angalia usiwe unajitusi mwenyewe...Zitto amesema ataeleza hapo baadaye. Akieleza ndipo watu wajadili nini ni nini kipi ni kipi na mengine yatafuata. Tusikilize nini atasema ndipo tuje na maneno mengine, tusiwe wepesi wa ku-judge jamani, hivi haka katabia kameanzia wapi?
Huku si sehemu yako, umepotea njia. Wewe subiria
Sasa hapo tatizo alilolianisha linalotokana na huo muswada ni lipi? Angesema kifungu Fulani kinasema blah blah na maana yake ni hii hapo watu wangeona na uwanja Wa kujadili ungepatikana.
Nashangaa MTU anaunga mkono hewa, ndio maana kumbe anawaita Mara nyumbu Mara zwazwa! Unamuunga mkono hata ambapo hajasema lolote, duh!
Sasa kama Haujausoma Muswada wewe mwenyewe .. Utajuaje kama yupo sahihi?!Hivi mkuu mtu akienda kwa wakili amsaidie mambo yke ya kisheria, anaweza pewa info then aambiwe mengine aende kununua vitabu vya sheria asome?
Najua mswada upo on-line, je watu wote anaowawakilisha au watanzania wote anaowapa info, wanaweza tembelea tovuti ya bunge? Je lugha iliyotumika on-line?
Basi km ni hivyo? Kuna haja ya wabunge kwenda bungeni kwa hoja yko? Yaani wachangie on-line? Na wapitishe sheria on-line?
Je wasiojua kusoma na kuandika nao itakuaje?
Jambo la busara ilikuwa ni kutoa maoni yake beneath na mswada na si vipande vipande eti Kwanza usome mswada kwenye tovuti ya bunge then uweze ku -link na info za zitto
Ukitulia utamuelewa vizuri ,sioni kama akili yako imetulia na kutafakari...rejea aliposemaKwa zorro zuberi kabwe kutoa angalizo tu bila kutaja baadhi ya vipengele, ushauri gani utumike katika kurekebisha ili kuleta tija na kusaidia mawazo ambapo atakuwa ameitendea haki elimu yake,cheo chake km mbunge na pia haki yake kikatiba, atakuwa ametuduwaza sisi watanzania, tutashindwa kujua udhaifu wa hyo sheria, na pia hata sisi wengine tutashindwa kumsaidia mawazo yetu atufikishie juu. Sioni kama katutendea haki