Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.
Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.
Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio kila mtu anaweza kuona lakini ni wazi kuwa Zitto hana Sauti kwa "Wazanzibari" walio ACT. Hata ukiitazama composition ya Kamati kuu yao utakubaliana na mimi kuwa Seif amekinunua ACT.
Tukija kwenye mada, kwa kuzingatia Uzoefu wa Kisiasa alionao Maalim, Umri wake, Heshma yake, Kuaminika kwake hata kama ame surrender kwa maCCM na nafasi yake katika Serikali, ili kusiwepo mgongano wa kimaamuzi ni wazi Zitto Kabwe anatakiwa kuukabidhi uongozi wake kwa Maalim Seif na yeye Zitto labda abaki kuwa Mwenyekiti au awe na nafasi nyingine hata ya Ushauri wa Chama.
Nimeelezwa na Credible Source kuwa Zitto yeye binafsi hakupenda ACT ijiunge SUK, lakini alizidiwa nguvu na "wenye chama" na kwasababu ya collective responsibility amekubali kuimba mapambio ya sifa kwa maalim. Zitto alijua na anajua kuwa atapoteza wanachama wake wengi kwa uamuzi huu.
Zitto anajua n anaelewa wazi kuwa Maalim hana interest yoyote na kukua kwa chama huku bara. Zitto anajua wazi kuwa Maalim anaangalia maslah yake kwa Zanzibar na kwa maana hiyo anajua gharama za kujiunga na SUK, hakuitaka hiyo ila Composition ya Kamati kuu ambayo hupiga kura maamuzi yoyote yale, ilimshinda na amelazimika kukubali kuepusha madhara zaidi.
Sasa Zitto umeshageukia KIBLA, mwachie chama Maalim.