Zitto Kabwe mpishe Maalim Seif awe kiongozi wa chama

Nadhani matatizo ya kukaliwa kijeshi yaliopo Zanzibar, watanganyika wengi hawayafahamu. Unajua kitu hadi kikufikie ndio utafahamu, acheni bla bla nyingi humu JF hususan kama mtu sio mzanzibari ni kheri akadrop hii subject.

Sisi tuna familia na ndugu zetu kule wanalala misituni, ikiingia giza watu wanaenda kujificha wasije kupata mateso ya majeshi na polisi na vikosi. Mnataka pirika hii iendelee hadi lini ? Kwa ufupi siasa hizo za kujifanya wababe fanyeni uko Tanganyika. Mliambiwa na Mbowe muandamane hata nzi hakutoka nje, halafu sasa mnataka kuleta uzushi hapa.....Acheni izo bana.
 
Back
Top Bottom