Zitto Kabwe mpe Mh Rais yale majina ya walioficha pesa nje ya nchi

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
Mh Rais hataki mchezo na wakwepa kodi, na hilo keshathibitisha. Kama kweli ulikuwa mkweli kuhusu kuwa na majina ya wanaoficha pesa nje ya nchi ili kukwepa kodi.

Tunaomba umkabidhi mh Rais hiyo list ili awashughulikie or else tutajua ulikuwa unatafuta umaarufu tu bungeni.

Nawasilisha
 
Hapa ndipo tutakapompima uzalendo wake huyu jamaa mwenye chama kinajiita wazalendo
 
kama kweli anampango wa kuisaidia hii nchi afanye hivyo plse
 
Hilo muheshimiwa akitaka kuwajua , atapata majina yao either kwa zito hata kwa kutumia vyombo vya usalama ...cha muhimu ni kudhamiria tu ...sioni kama ni issue
 
Mh Rais hataki mchezo na wakweps kodi, na hilo keshathibitisha. Kama kweli ulikuwa mkweli kuhusu kuwa na majina ya wanaoficha pesa nje ya nchi ili kukwepa kodi.
Tunaomba umkabidhi mh Rais hiyo list ili awashughulikie or else tutajua ulikuwa unatafuta umaarufu tu bungeni.
Nawasilisha
Yupo humu Mh.@zittokabwe hapa nasi ndipo tutajuwa kama kweli naye mpenda haki na mzalendo..
 
Back
Top Bottom