Zitto Kabwe mbunge wa kwanza kutumia iPad Bungeni

Mkuu umenichekesha sana!!! thanx very much. To be candid, Speaker wa kipindi hiki kazi.... hata sijui hiyo miaka mitano itaisha!!!???
hivi kanuni za bunge zinahurusukweli hichi kifaa? au spika hana muongozi so anaogopa ataumbuka?
 
Speed n' accuracy are important factor wajifunze sasa wafikirie mbali zaid sio tu kuwaza posho kuongezwa
 
Hongera Zitto kwa kuwaonyesha wabunge wenzako na bunge kijumla matumizi sahihi kabisa ya kuwasilisha hotba kwa kutumia tecknology ya kisasa zaidi.

Nani kama Ziito Bungeni?
 
Zitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya presentation kwenye Bunge kwa kutumia kifaa cha iPad kusoma hotuba yake.

Amemshinda Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, aliyetumia makaratasi na wabunge wengine wote. Nampa hongera Zitto kwa kwenda sambamba na taknolojia ya kisasa na kupunguza matumizi ya karatasi hivyo kuokoa miti isiendelee kukatwa.

Kweli wajinga wali wao, wewe katika yote umeona iPad tu , hapo inamsaidia nn mtanzania wa kawaida ? tatizo la MAGWANDA mnatizama vitu vidogo vidogo ambavyo havimkomboi mwananchi, badala yakutizama amesema kipi kumsaidia mwananchi. Kweli watanzania uzuzu umetujaa !
 
Zito kapiga bao kali sna leo!!!!am sure wabunge wengi mle ndani walikuwa wanashangaa kwani wengi wao wk behind na wakati!!!big up Bro!!!!
 
Je mmeona wakati Zitto anasoma budget ya Upinzani! Hakuwa anaisoma katika karatsi. Karatasi aliiweka pembeni nadhani incase of anything, lakini alikuwa na kifaa pale!
 
Walisema mengi wakati CDM walipotumia helikopta kwenye kampeni, uchaguzi uliofuata wakaja
na helikopta tatu, subirini tu na hapo kama hawajaja na kila mtu na ya kwake. Wanasubiri muanze
ili wao waige. hahahaaaa!


Watakuja na SIPIYU
 
Kwa miaka ijayo matumizi ya kompyuta yawe ni sifa mojawapo ya mgombea ubunge. Sio ufundi wa kudai posho na siasa ya majukwaani.
 
hebu acha utani wa ngumi! yaani kama prof maji marefu apewe iPad ya kufanyia kazi za chama! si bora wampe typewriter aanze kujifunzia! mnataka kufanya maisha ya wenzenu kuwa magumu kuliko inavyobidi. acha chama cha upinzani kiwe cha upinzani na cha magamba kiwe cha magamba,period!

magamba wapi????
yataiga na kila mmoja atakuja na yake
 
Bei zake zinapishana sana Mkuu, kutokana na Memory, ukubwa wa screen, RAM, Processor nk nk.....

Hebu angalia hapa kwenye EBAY sasa hivi uone bei zake..... Ukitaka IPAD peke yake basi bonyeza option ya IPAD iliyopo kwenye screen kushoto na utaona bei zake zikoje. Samsungu nao wako juu sana na nafikiri kwa sasa ndiyo wawili hao wanatesa. Huawey nao wataingia sasa hivi na kitu kizuri sana. Jaribu kufuatilia kwenye GSMARENA.COM.

Soma hap: PAD | eBay

Ok ok, wanakauza sh ngapi?
 
Zitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya presentation kwenye Bunge kwa kutumia kifaa cha iPad kusoma hotuba yake.

Amemshinda Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, aliyetumia makaratasi na wabunge wengine wote. Nampa hongera Zitto kwa kwenda sambamba na taknolojia ya kisasa na kupunguza matumizi ya karatasi hivyo kuokoa miti isiendelee kukatwa.

I can imagine, wasira with all those makaratasi yesterday sijui atakuwa ana feel vipi?
 
hawa jamaa walivyokuwa na roho mbaya, wanaweza sema ipad yenyewe ya kichina!
 
Kweli wajinga wali wao, wewe katika yote umeona iPad tu , hapo inamsaidia nn mtanzania wa kawaida ? tatizo la MAGWANDA mnatizama vitu vidogo vidogo ambavyo havimkomboi mwananchi, badala yakutizama amesema kipi kumsaidia mwananchi. Kweli watanzania uzuzu umetujaa !
barazuli mkubwa wewe kwanza unamagamba hadi kwenye ulimi. Jeykey aliposema anaunganisha shule za msingi na mkongo wa taifa ilikuingia akilini au tatizo nikwamba umezoea story za kweye bao na ghahawa.unataka aende na desktop pala nyie ndio wale wale wa unaclick then utaona kompyuta yako kioo kinakuwa cha blue .
 
Ni kama tofauti ya LAPTOP na computer za kawaida za zamani za kuweka mezani.

Yale mara nyingi yana CPU kubwa na very powerful.......

Wakipunguza kidogo ukuwa na uwezo wake, wanapata CPU za kwenye NOTEBOOK.

Wakipunguza zaidi ukubwa na uwezo wake, wanapata CPU za kwenye NETBOOK...

Wakipunguza zaidi ukubwa na uwezo wake, wanapata CPU za PAD au tablet.

Wakipunguza au kuacha ukubwa na kuacha uwezo karibu huohuo wa CPU, wanapata smartphone....

Mwisho ndiyo wanamalizia na simu za kawaida ambazo zimejaa kila kona duniani kwa sasa na kumalizia kuna hadi vitu kama saa...... teteteee..

Ukiangalia kwa karibu, PAD na NETBOOK, hazina tofauti sana. Ila sema mara nyingi, PAD wana programs zake tayari na Netbook inakuwa na uwezo wa kuingizwa program yoyote uitakayo kama operating syestems (Windows, Lunix, etc......).

Kwa mfano kama una deal na rendaring au kutengeneza film, na utumie IPAD, basi utamaliza siku Yesu anarudi. Afadhaliafadhali ukiwa na LAPTOP (NOTEBOOK) ila ukija kwenye dude la mezani, linachanganya mambo kwa muda mfupi na ndiyo maana hata feni lake huko nyuma na nyuma ya Processor (CPU) ni kubwa sana maana kuna joto la kufa mtu hapo.

Ahhh, nilisahau pia kwamba, kwenye huyu tudude tudogo, Sound card na graphic Card, zimeunganishwa kwenye computer wakati Laptop na Desktop, mara nyingi unakuta ni CARD pekee zinajitegemea. Na hii hufanya ziwe na speed kubwa sana hasa kwa hawa wacheza GAMES au kudeal na graphics, programings etc.....
hivi nini tofauti ya ipad na laptop kiutendaji?
 
Back
Top Bottom