Zitto Kabwe, Mbowe & Dr Slaa

Status
Not open for further replies.

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,776
18,192
Nimegundua kwamba mtu akianzisha uzi wowote usiowahusu wanasiasa hawa, huishia ama kufungwa au KUFUTWA kabisa na administrators!

Haya, tuendelee kuwajadili hawa magwiji wa kisiasa, iwe ni kwa kutukana, kukashfu, kudhalilisha au vinginevyo, maana hii ndiyo hoja pekee inayoeleweka kwa wachangiaji na admins.

Katika maoni yenu msisahau kutumia misamiati ifuatayo:
DJ, ZERO, PADRI, BABU, MSALITI, MM, MZINZI, NK.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom