mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Katika page yake ya facebook zitto anaeleza kuwa
Malori 15,000 yamesimamisha shughuli za usafirishaji
mwaka 2016 linaripoti gazeti la The Citizen.
Hii maana yake ni Watanzania 30,000 kukosa ajira za
moja kwa moja. Familia 30,000 zimekosa kipato cha
kuweza kuishi kwa sababu baba kakosa kazi.
Wenye nyumba za wageni na mama lishe wamekosa
biashara na inawezekana wengi wanashindwa kulipa
mikopo yao ya SACCOS ama VICOBA ama PRIDE.
Serikali yenyewe imekosa kodi ya mafuta ( road toll )
kuweza kukarabati barabara zetu kupitia Road Fund
Board. Hata REA mapato yao yameshuka kwa sababu kila
lita ya mafuta kuna fedha inaenda REA.
Tujielekeze kuendesha Uchumi sasa