Zitto Kabwe Kuwa Makini na Kikwete...Utaingizwa Mkenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe Kuwa Makini na Kikwete...Utaingizwa Mkenge

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by The Prophet, Jul 14, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si umeona vile waliompigia chapuo kuukwaa urais(unaouota) wanavyodhalilika? wewe unavyo chekacheka naye unafikiri anakupenda, kumbe unaliwa.

  poa bro mimi nakuamsha tu.
   
 2. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I have nothing against Hon. Zitto. I think he's a savvy politician, and he has a very bright future!
   
 3. k

  kamanzi Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Zitto hawei kuwa na bright future katika politics as long as anafikiri anajua kila kitu na kuona kila anaemkosoa ni adui yake au ni kibaraka wa Mbowe. There is no perfect person, kama Zitto anataka kuwa kiongozi dhabiti anatakiwa aache kuchukulia kila constructive criticism kama personal attack. Kwa kifupi, tangu Zitto apate allegations za kutembea na marehemu Amina Chifupa, amekuwa very paranoid na kuwa na inferiority conmplex amabayo anaificha kwenye arrogance na persona attacks kwa yeyote anayemkosoa. Best politicians all over the history walikuwa real people. Ili watu wakuamini unapaswa kuwa as real as possible. Kikwete hawezi kumsaidia Zitto hata siku moja hata kama anataka kwasababu Kikwete mwenyewe keshapoteza credibility machoni mwa watanzania. Anachopaswa Zitto ni kushuka toka kwenye high horse yake na kurusi kwenye basics. He used to be a very promising young politician. Not anymore. Kama anawashauri inabidi aachane nao na kutafuta watu wazima wenye busara wampe busara. Jinsi anavyojipamba ni kana kwamba ana popularity kubwa sana lakini sivyo kabisa. Hata kule kwao Kigoma alimshinda mgombea wa CCM kwa chini ya kura 3,000. Thsi si not being popular. Is it? Ilhali Halima Mdee akigombea ubunge na kizito wa CCM pamoja na mwenyekiti wa Taifa wa NCCR bado alishinda by a landslide. That's what I call being popular. Lakini lini umesikia Halima akijipamba hovyo hovyo mitaani. Grow up already, Zitto!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  una matatizo kama huoni Zitto anavyojibomoa kwa kumsogelea JK
   
 5. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Nakuunga mkono 100%. Lazima akubali kukosolewa pale anapokosea maana hamna mtu alitimilifu na akukosoaye ndiye akutakiaye mema. Ila kama anaruhusu siasa za kusifiwa kila siku atakosa utashi wa kuikabiliana na challage toka kwa watu makini.Mwisho wa siku ataanza kuona kila mtu ni mbaya wake kumbe ndivyo sivyo. Good leader lazima akabiliane na kila aina ya challange kwa hoja.na sikwa kejeli,dharau ama matusi uongozi bora ni ule wenye hekima na busara
   
 6. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2013
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Haya mambo............
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2013
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  No one is bigger than political party...
   
Loading...