Zitto Kabwe kuunguruma bungeni ni 10 minutes


Status
Not open for further replies.
U

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,201
Likes
11
Points
135
U

Uswe

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,201 11 135
Naibu wa speaker amesema Zitto Zuberi Kabwe ndie mzungumzaji anayefuata.

Zitto, ambaye hata Mzee Mwanakijiji (critical person) anamtaja kama kiongozi kijana makini na mwenye potential kubwa kwa uwezo wake, kuliko wote waliowahi kutokea siasa za vyama vingi kuanza (refer makala ya MM ya leo)

updates
aaaaah Zitto kajitoa kuchangia! nafasi yake kamwachie ezekiel wenje
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
umekula za uso leo.atozungumza nafasi yake amempa Wenje.
hahahahaha haraka haraka haina baraka
 
jobe ayoub

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Messages
204
Likes
5
Points
35
jobe ayoub

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2012
204 5 35
kajitoa ,nafasi yake kampa wenje
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
894
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 894 280
Zitto kutaja majina...
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
894
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 894 280
Kwani Zitto bado anakaa kwenye viti vya wapinzani Bungeni?
Sasa hivi anakaa na mnafiki mwenzake Mwigulu Nchemba kuangalia namna ya kushirikiana kutengeneza video nyingine baada ya mwanzo ku-fail...
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,250,623
Members 481,419
Posts 29,739,148