Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

Mheshimiwa Zitto huwa amechemka kwenye hili. Uhusiano na Israel ni muhimu sana. Israel wametubeba kwenye mengi sana kiuchumi. Irrigation, JKT (hata magwanda ni kama ya IDF), mafunzo ya kijeshi, kibbutzim etc ni kutoka Israel. Aidha, kwa suala la dini pia Israel ni muhimu kama Saudia ilivyo muhimu kwa imani ya jamaa zetu wengine. Mimi binafsi nimeshakwenda Israel na nitaendelea kwenda Israel kwa ajili ya imani yangu. Pia nilishakwenda Saudia kwa masuala mengine. Tatu, kwa siasa za dunia zinakoenda ni lazima tujiweke vizuri hasa ukizingatia suala la ugaidi na tishio la nchi zinazofadhili ugaidi kama Iran. Ubalozi na Israel ni lazima. Mheshimiwa Zitto atuache na Israel yetu, yeye aendelee na siasa zake whatever his reasoning may be (kama ni alleged udini or anything else). Hongera Rais Magufuli.
 
Hapo mwanzo Hatukuwa na uhusiano wa Israel siyo kwa sababu za kiimani, bali tulitaka uhusiano wa kibalozi na Taifa linaloheshimu binadamu wengine na kuachana na udhalimu na kutokuheshimu mikataba ya kimataifa juu ya haki za binadamu tulizosaini.

Hatukuwa na uhusiano na Israel ili hiyo iwe kama mchango wetu wa kutetea Wapalestina wanaouliwa kila siku na majeshi ya Israel, kuporwa ardhi na properties zao, kunyanyaswa n.k

Kama unataka dini, unaweza kwenda tu huko Israel hakuna wa kukuzuia, kwani kipindi kile hatuna uhusiano wa kibalozi na Israel watu walikuwa hawaendi Israel?
 
Boss tulikuwa na uhusiano wa kibalozi na Israel mpaka Nyerere alipouvunja. Nimeona niliweke hili sawa kwanza. Pili, kama suala ni haki za binadamu basi tuanze na Saudia, Syria, Morocco, Libya na mataifa mengine yasiyoheshimu haki za binadamu. Hao wapalestina mnaowatetea ndio hao hao walishangilia kulipuliwa kwa balozi za Marekani Nairobi na Dar mwaka 1998. Sitasahau picha za wapalestina waliokuwa wanashangilia milipuko ile ambayo iliua mamia ya wakenya na watanzania pia. Ni IDF pekee ndio walileta C-130 yenye hospitali na kutibu majeruhi. Pia ni hao hao IDF ndio walileta vikosi na mbwa kusaidia rescue na recovery baada ya shambulio. Leo hii ninyi mna uchungu na wapalestina? Aibu.
 
Wapalestina kushangilia kulipuliwa ubalozi wa Marekani Tanzania wapi na wapi, hii ni propaganda ya kipuuzi. Hakuna kitu kama hicho ni uzushi usiokuwa na kichwa wala miguu. Sisi Watanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa na ubalozi wa PLO nchini, Arafat ashakuja nchini kwa mwaliko wa mwalimu Nyerere. Kwa hiyo unachokisema ni uwongo wa dhahiri!.

Kuhusu Morocco, hilo halihitaji mjadala, ni miaka mingi nchi yetu haina uhusiano na Morocco kutokana na kuikalia Sahara Magharibi, ni majuzi tu alipokuja mfalme wa Morocco tumeanza kuwa na uhusiano nao (sitaki kuamini kuwa ni baada ya kuahidi kutujengea uwanja wa mpira). Kama unamfuatilia vizuri Zitto, hata hili la sisi kuwa na uhusiano na Morocco analipinga sana

Kuhusu Saudia na Syria, hawa hawajavamia nchi au jamii ya watu yoyote na kuicolonoze, Kinachotokea Saudia na Syria ni vita au misugauano ya wananchi wa nchi hizo wao weneywe kwa wenyewe, Sisi hatuingilii vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hata tulivyompiga Amini hatukumpiga kwa sababu ya udhalimu wake ndani ya Uganda, bali ni kwa sababu tu alivamia nchi yetu. Ila Israel ni tofauti, yenyewe inavamia kila mara na kupora ardhi za wapalestina kila siku na kufifisha ndoto za Wapalestina kuwa na taifa lao huru
 
Hope ukishikilia chuki kwa nchi ni kupoteza muda. Amerika yenyewe inasema haina rafiki wa kudumu au adui wa kudumu. Guys lets "dance according to the tune".
 
Hao waisrael c waliwafurusha nyie maskini wa akili mda flani hivi, mlijifanya kwenda kuhiji mnahamia uko uko mkawa manatafutiwa nauli?
wale hawakuwa wameenda kuhiji, ni wasudan na waelitrea walikuwa wanafuata maisha mazuri, na ilikuwa haki ya waisrael kuwafurusha kama ninyi mlivyowafurusha wanyarwanda kwenye operation kimbunga.
 
Tofautisha uhalifu wa kivita na UKOLONI..... Nyerere alikuwa mpigania uhuru dhidi ya ukoloni sasa unalinganishaje mtu kupigania UHURU wa palestina na UHALIFU wa kivita...... Kuwa na ubalozi maana yake unasupport kuundwa kwa taifa la ISRAEL kwenye ardhi ya palestina ambao ni UKOLONI sasa sijui unaona tofauti hapo mkuu au bado ni sawa na marekani kuvamia syria???
sio watz wote hawasapoti, sisi wengine tunasapoti israel kuwepo pale, na sisi ni watz, usijifikirie wewe peke yako fikiria hata wale wenye mawazo tofauti na yao wenye haki sawa na zako. unatuweka upande gani?
 
Mambo mengi uliyoandika ni upuuzi mtupu
Hivi mahali alipo zaliwa Bwana Yesu Kristu pale Bethlehem ni Israel ya Benyamin Netanyahu?
Yale makanisa matatu yaliyopo hapo yanasimamiwa na Netanyahu au Mahmoud Abas?
Acha ushabiki wa kishamba
mahali alipozaliwa Bwana Yesu Kristo ni eneo la kiyahudi lililokaliwa na waarabu wa kipalestina. Yesu hakuwa mwarabu/mpalestina, alikuwa myahudi. nafikiri mfano wako umeprove zaidi kuwa maeneo yale ni ya waisrael/wayahudi na sio waarabu/wapalestina. cha muhimu wote waishi kwa amani tu kwa pamoja, jambo ambalo mwarabu halitaki wakati israel wako tayari.
 
Mkuu wewe mtu akija kukuondoa nyumba unayoishi sasa kwa mtutu wa bunduki akitoa sababu kwamba anakitabu chake cha dini kimemuelekeza kwamba hiyo nyumba ni yake .. utafanya nini? Utamuachia tu na kuwa mtumwa kwenye nyumba yako?
kama kiwanja ni cha kwake yeye alikuwa amesafiri mbali alipoenda wewe ndo ukahamia, akija mwenye mali itabidi uondoke. maeneo yale tangu enzi ni ya wayahudi, walipochukuliwa utumwani ndio waarabu wakakalia, wamerudi tuchukue ardhi yetu mnalalamika. historical site zote ni za kiyahudi, hakuna ata eneo moja la kihistoria linaloreflect utamaduni wa kupalestina, ni uyahudi mtupu.
 
Sio kweli asilimia 50 wanaipenda Israel, tupe ushahidi! Halafu suala Israel sio la udini ni suala la haki, Israel inakanda miza wanyonge kama Palestina, ina pora ardhi, hivyo ichi isio heshimu haki za binadamu haifai kuungwa mkono, kwa Israel imelaaniwa kwa Mungu na dunia nzima, soma Bible na Qur’an
haki ya nani kati ya myahudi na mpalestina, myahudi anataka haki ya ardhi yake aliyopewa na Mungu, na ninyi mnaitaka haki ya ardhi mliyoiokota bila kujua kuwa ni ya mwenye nayo....hahaha
 
sio watz wote hawasapoti, sisi wengine tunasapoti israel kuwepo pale, na sisi ni watz, usijifikirie wewe peke yako fikiria hata wale wenye mawazo tofauti na yao wenye haki sawa na zako. unatuweka upande gani?
Wasio na elimu na wafia dini ndio wataunga mkono mambo ya mashariki ya kati bila kureason..... Ww bila shaka unaunga mkono wapalestina kuteswa kisa tu ni mkristo ila hata kibiblia bado Daudi aliishi canaan lakini hakuwatesa wagibeoni/wacaanan wa asili kabisa sasa ni biblia gani inayohalalisha huu uhuni wanaofanyiwa palestina???? Kwani israel itapoteza nini ikiwaachia palestina ardhi yao wajitawale ili waishi kwa amani au angalau waunde nchi moja yenye misingi sawa na serikali jumuishi???

Tukiacha udini mtagundua israel wanawaonea sana wapalestina
 
haki ya nani kati ya myahudi na mpalestina, myahudi anataka haki ya ardhi yake aliyopewa na Mungu, na ninyi mnaitaka haki ya ardhi mliyoiokota bila kujua kuwa ni ya mwenye nayo....hahaha
Mkuu muache kupotosha ardhi aliyopewa israel kibiblia inaanzia misri mpaka iraq sasa niambie ni lini mlikaririshwa nchi ya ahadi ni pale Bethlehem na jerusalem pekee??? Kwanni hawajafika mto tigris na Euphrates??

Kingine biblia ilishasema atawatawanyisha na watarudi mwisho wa dunia tena hapo ndipo watakiri uwepo wa Yesu kama messiah wao..... Sasa ni lini wayahudi wa kweli wamerudi israel??? Unaweza nitajia hata kabila moja la waisrael lililopo pale palestina??? Kumbuka bado hujajibu swali langu nlioluliza toka lini Ashkenazi ambao ndio 90% ya waisraeli duniani wametoka uzao wa yakobo/abraham kiasi mshabikie kuwa ndio wamerudi israel
 
kama kiwanja ni cha kwake yeye alikuwa amesafiri mbali alipoenda wewe ndo ukahamia, akija mwenye mali itabidi uondoke. maeneo yale tangu enzi ni ya wayahudi, walipochukuliwa utumwani ndio waarabu wakakalia, wamerudi tuchukue ardhi yetu mnalalamika. historical site zote ni za kiyahudi, hakuna ata eneo moja la kihistoria linaloreflect utamaduni wa kupalestina, ni uyahudi mtupu.

yaani unaleta ushahidi wa kitabu ambacho unakiamini wewe?
 
badala ya kuhangaika kukashifu wakristo kwanini usihangaike kuinadi tu imani yako? hapo uta gain kitu. Ila kupambana na kitu ambacho huna uwezo wa kukiathiri hata kidogo, daah!!
Umenena vyema ndugu. Yule "Neno" alikataliwa na Wayahudi ili Neno la Neno litimie kadri ya mapenzi yake Neno aliyemtuma huyo Neno duniani. Ndiyo maana Neno, aliwaonya Wayahudi (Mafarisayo na Masadikayo) juu ya dhihaka yao kwake na kusema - Jiwe lililokataliwa na Waashi, sasa limekuwa Jiwe Kuu la Msingi.
 
Mkuu muache kupotosha ardhi aliyopewa israel kibiblia inaanzia misri mpaka iraq sasa niambie ni lini mlikaririshwa nchi ya ahadi ni pale Bethlehem na jerusalem pekee??? Kwanni hawajafika mto tigris na Euphrates??

Kingine biblia ilishasema atawatawanyisha na watarudi mwisho wa dunia tena hapo ndipo watakiri uwepo wa Yesu kama messiah wao..... Sasa ni lini wayahudi wa kweli wamerudi israel??? Unaweza nitajia hata kabila moja la waisrael lililopo pale palestina??? Kumbuka bado hujajibu swali langu nlioluliza toka lini Ashkenazi ambao ndio 90% ya waisraeli duniani wametoka uzao wa yakobo/abraham kiasi mshabikie kuwa ndio wamerudi israel
wayahudi wa kweli ndio wale waliopo pale, unataka wayahudi wa kweli washuke toka mbinguni?ndio hao hao, dunia nzima ukienda (ukiondoa africa) kuna masinagogi yao wanajuana hadi leo na ndio hao wanarudi kwao
 
Mkuu ina maana unabishana na waisraeli wenyewe wanaosema kwa takwimu zao 75% ya wayahudi wote duniani ni ASHKENAZI..... Mahaba yakizidi huwa tunapotosha mambo sasa unaweza niambia Ashkenazi wametokana na kabila gani la Yakobo?? Na unaweza niambia makabila yale 10 mengine yakwapi.... Tusome tusisubiri kusimuliwa story ta israel na kina gwajima mtapotoshwa tu

Ashkenazi Jews - Wikipedia
 
wayahudi wa kweli ndio wale waliopo pale, unataka wayahudi wa kweli washuke toka mbinguni?ndio hao hao, dunia nzima ukienda (ukiondoa africa) kuna masinagogi yao wanajuana hadi leo na ndio hao wanarudi kwao
Alafu mkuu usikariri kumbuka kuna waisraeli wakristo ma waisraeli waislam na waisrael wapagani.... Hivyo sio waisraeli wote wanaendaga kwenye masynagogue

Alafu kumbuka Uyahudi ni dini sio kabila hivyo hta mmi naweza leo nikaacha dini yangu nikaingia kwenye uyahudi na mie nitaenda synagogue lao so usifkiri kila anayeingia kwenye synagogue Yaani myahudi ni Muisraeli hapana hta kuna wapalestina ambao ni wayahudi ila sio waisraeli na kuna waisraeli ni waislam ila sio wapalestina/waarab
 
Messi Kagoma kucheza na Israel na kalipia usumbufu wote uliojitokeza nae utasema ni Muislamu
 
Naweza kusema kuwa kaka Zitto anazo agenda za kidini ambazo ni za kisiri, inahitaji akili ya tatu kuweza kuzing'amua.

Amekuwa akimshambulia moja kwa moja JPM na maamuzi yake, kitu ambacho alikuwa hakifanyi kwa JK. Awamu ya nne kaka Zitto aliwashambulia mawaziri wa JK lakini sio JK moja kwa moja, alimheshimu na kumstahi.

Dhamana aliyonayo JPM ni kama ile ile aliyokuwa nayo JK, changamoto ni zile zile, lakini mmoja anashambuliwa directly tena kila kukicha na mwingine alifanyiwa staha!!.

Ni mtazamo wangu tu.
Upo sahihi kabisa 99%.
 
Back
Top Bottom