Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

hakyamungu ukubwa jalala hebu fikiria ww ndo raisi ungefanyaje???watu wana mawazo tofauti sana dunia hii kila mtu anawaza lake alafu eti uwaongoze...inahitaji moyo kwelikweli na magufuli anao maaana duuuu ni hatari
 
Jambo moja ni muhimu sana, Rais anapaswa kujua kuwa anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Na Katiba imetoa wajibu wa lazima kwa Serikali kulinda watu. Ndio kazi ya Serikali – kulinda wananchi pale ambapo yanatokea majanga ambayo yanazidi kimo wananchi hao.

Tunamwambia Rais kwamba, Mtanzania yeyote akifa kwa njaa kwa sababu Serikali imeshindwa kutekeleza wajibu wake Watanzania tutapaswa kuchukua hatua, Katiba inatulazimisha kumtoa Rais madarakani ikiwa yeye na Serikali yake watashindwa kutimiza wajibu wake wa kulinda uhai wa raia wake.

Tunamkumbusha Rais kuwa yeye sio mungu mtu. Yupo chini ya Katiba na kwa idadi ya wabunge wa upinzani waliopo Bungeni, na wakiamua kusimama na wananchi na kulinda Katiba, Rais wa sasa atakuwa Rais wa kwanza wa nchi yetu kutolewa hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Katiba inahitaji asilimia 20 tu ya wabunge kuwasilisha hoja hiyo bungeni.

Ninatoa wito kwa Watanzania wote nchini, bila kujali vyama vyao, kuweka rekodi ya hali ya chakula popote walipo na kuweka takwimu ya maafa yeyote yanayotokana na njaa. Mtanzania yeyote akifa kwa njaa ni lazima tuchukue jukumu la kumwajibisha Rais kwa kusema waziwazi kwamba hajatimiza wajibu wake kama Mkuu wa Serikali kulinda wananchi wake.

Tunamkumbusha Rais kwamba kwa mujibu wa ibara ya 46A ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo yeye amekula kiapo kuilinda, kuihifadhi na kuitetea, Bunge laweza kumshataki yeye Rais kwa kosa la mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais.

Wananchi wanaona lugha za ubabe, vitisho, kuonea watu, kudhihaki waliopatwa na majanga kwamba ni mambo yanayodhalilisha kiti cha Rais.

Hivyo Rais achague maneno ya kusema mbele ya wananchi wake, atumie lugha ya kujenga matumaini badala ya kujenga hofu kwenye jamii, aache kuonea watu kwa kutumia madaraka yake, na akumbuke cheo ni dhamana.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo
Kijichi - Dar es salaam
Januari 15, 2017

Hivi Zitto ana imani na yeye mwenyewe? Ametuchosha jamani.
 
sio Watanzania wengi watakuunga mkono. Zitto acha utoto ujinga na kelele zako zisokuwa na maana. Please grow up. Hali ya ukamwe ipo duniani kote. Kenya nchi jirani watu waneanza kufa na njaa. Tanzania hakuna news zozote za kufa na njaa, na hata kama kuna news, ni kazi ya Watanzania wote kumusaidia Rais kupigana na njaa, kwa njia ya maombi na kwa njia yakutumia vizuri hakiba ya chakula. Unataka Watanzania wakuunge mkono? Kwani Rais Magufuli amechukua chakula cha Watanzania na kukiuza kwa manufaa yake? Ama anetumia pesa za umma kwa manufaa Yake? Wewe pia ni kiongozi umefanya nini kusaidia njaa isitokee Tanzania? JE unaonaje ukilipa madeni uliyokopa zaidi ya uwezo wako peas za NSSF zisaidie kununua mahindi. Hakuna Rais aliyefanya kazi ya kuisafisha Tanzania kama Rais Magufuli, hiyo katiba Zitto anayoisema angeitumia wakati kodi zetu zilipokuwa zinaibiwa, wakati macontainer yakipita bila ya kodi, wakati watoto WETU wakikaa chini, wakati benki zikitowa mikopo kienyeji kutumia security uchwara, Zitto akiwa mmojawapo. Aelezee aliwezaje kupata mali zote alizonazo, na hata kama ni kwa mkopo, ni kwa mapato gani? Zitto ache vitisho vya kijinga. Wakati wa selikali iliyopita ilikuwa vitisho vya Watanzania waliokuwa na pesa uswiss, hivyo vilikuwa Vitinho akivirudia kila mala, hakuwataja tukaja kujurishwa na Panama newspaper. Kwa serikali ya Dr Magufuli hakuna wa kumuhonga ili azide mdomo, kwani hii ni serikali ya watu, kumwambia Rais Magufuli ajihuzuri ni kuiambia serikali ya watu ijihuzuru.

KWAHILI SIAFIKI HATA PUNJE NILAZIMA AKIONA JIWE ASEME JIWE SIO MCHANGA ULIOUNGANA PAMOJA! BITTER TRUTH MBELE DAIMA!WAKATI WA KUBEMBELEZANA ULISHAKWISHA!
 
binafsi huyu dogo huwa simwelewi wakati mwingine huwa namuona kama political entrepreneur ni kama mtu wa kutafuta fursa na stress za watu na ndiko anakohamia.
lakini kizazi kinakuwa na kinabadilika ipo siku labda nitakuelewa!
toka umetoka chadema sijakuelewa kabisa!
 
sio Watanzania wengi watakuunga mkono. Zitto acha utoto ujinga na kelele zako zisokuwa na maana. Please grow up. Hali ya ukamwe ipo duniani kote. Kenya nchi jirani watu waneanza kufa na njaa. Tanzania hakuna news zozote za kufa na njaa, na hata kama kuna news, ni kazi ya Watanzania wote kumusaidia Rais kupigana na njaa, kwa njia ya maombi na kwa njia yakutumia vizuri hakiba ya chakula. Unataka Watanzania wakuunge mkono? Kwani Rais Magufuli amechukua chakula cha Watanzania na kukiuza kwa manufaa yake? Ama anetumia pesa za umma kwa manufaa Yake? Wewe pia ni kiongozi umefanya nini kusaidia njaa isitokee Tanzania? JE unaonaje ukilipa madeni uliyokopa zaidi ya uwezo wako peas za NSSF zisaidie kununua mahindi. Hakuna Rais aliyefanya kazi ya kuisafisha Tanzania kama Rais Magufuli, hiyo katiba Zitto anayoisema angeitumia wakati kodi zetu zilipokuwa zinaibiwa, wakati macontainer yakipita bila ya kodi, wakati watoto WETU wakikaa chini, wakati benki zikitowa mikopo kienyeji kutumia security uchwara, Zitto akiwa mmojawapo. Aelezee aliwezaje kupata mali zote alizonazo, na hata kama ni kwa mkopo, ni kwa mapato gani? Zitto ache vitisho vya kijinga. Wakati wa selikali iliyopita ilikuwa vitisho vya Watanzania waliokuwa na pesa uswiss, hivyo vilikuwa Vitinho akivirudia kila mala, hakuwataja tukaja kujurishwa na Panama newspaper. Kwa serikali ya Dr Magufuli hakuna wa kumuhonga ili azide mdomo, kwani hii ni serikali ya watu, kumwambia Rais Magufuli ajihuzuri ni kuiambia serikali ya watu ijihuzuru.

Hivyo Rais achague maneno ya kusema mbele ya wananchi wake, atumie lugha ya kujenga matumaini badala ya kujenga hofu kwenye jamii, aache kuonea watu kwa kutumia madaraka yake, na akumbuke cheo ni dhamana.

KWAHILI SIAFIKI HATA PUNJE NILAZIMA AKIONA JIWE ASEME JIWE SIO MCHANGA ULIOUNGANA PAMOJA! BITTER TRUTH MBELE DAIMA!WAKATI WA KUBEMBELEZANA ULISHAKWISHA!

Majanga hayo ya njaa hayajatokea bado Tanzania, mpeni Rais nafasi, yakitokea na kama hajachukuwa hatua hapo ndipo Zitto anaweza kujadili swala hili, kwa lugha ya heshima na siyo ya vitisho ya kutumia bunge na kuwashirikisha Wanachi waungane. Wananchi bado wanakumbuka uwozo alioukuta kwenye nchi Rais Magufuli, jamani amejaribu mpeni time, kelele azisaidii. Anapofanya vizuri mumenyamaza kimya, sasa mnalia njaa kabla hata hiyo njaa haijatokea, hizi kelele siyo za njaa bali ni za mambo mengine. Watanzania vijijini walikuwa na njaa kwa miaka mingi na wala vilio vyao vilikuwa havisikiki. Wacha njaa, hata maji ya kunywa yalikuwa ya shida, sasa serikali inajaribu kuwatimizia watu ambao hawana hata sauti za kulalamika kwenye mitandao. Kukiwa na njaa ya kweli, Rais Magufuli hawezi kupanda ndege na kwenda Ulaya na kuwaacha Watanzania wakifa na njaa.
 
MAHAKAMA YA MAFISADI imeundwa kuwa mapambo ya Ikulu au kushughulikia mafisadi? Sasa kwa nini hao Mafisadi wa Richmond waliofukuzwa CCM wasifikishwe mbele ya mahakama hiyo badala ya kuachwa na sasa 'wanamtumia Zitto kuidhoofisha Serikali kwny Maoambano yake dhidi ua ufisadi'?

Wahukumiwe waliotoka ssem tu, na wale waliobaki inakuwaje? Mbona waliobaki no wengi zaidi!!! Naona haujui kwa nn inakuwa ngumu mahakama hii kuanza kazi. Sababi ziko wazi kuwa. Wanaotuhumiwa wengi kwa ufisadi ni sisi kwa sisi. Na ndiyo maana tumeamua tuue upinzani kwa gharama yoyote ili na hiyo hoja ya ufisadi ikose MTU wa kihoji. Tuna akili sana wwnzio
 
Zitto Kabwe ni rahisi sana kununuliwa, upo uwezekano ameshapewa chake na wapiga dili ili kuichafua serikali yetu tukufu ili ionekane haifai mbele ya jamii. Zamani watu kama hawa walikuwa hawana nafasi katika jamii hivyo hatua za haraka zilikuwa zinachukuliwa kukabiliana naye.

Acha kuwa Mtumwa ..
 
Tatizo ni mnafiki sana huyu jamaa anatafuta umarufu kwa kulazimisha, badala ya kuhangaika na chama chake anahangaika na magu

ZZK NI mpinzani haitaji kupigia makofi wala kuwaimbia Ngonjera chama tawala.Wale wengine wamekaa kimya tu.
 
Hivi Zitto ana imani na yeye mwenyewe? Ametuchosha jamani.

Alizowea kupiga kelele Wakati wa Rais Kikwete, kumuziba mdomo anamubeba anaenda naye Europe, na mikopo juu. Kwa Rais Magufuli amekwama, hii siyo serikali ya kutisha. Rais Magufuli hapigi dili, Atasema atachoka, na wala hainyimi serikali watu usingizi. Yeye kama kiongozi aongoze watu wakalime tufukuze njaa. SERIKALI ni yetu sote, na Tanzania itajengwa na Watanzania wote sio mtu mmoja.
 
Ghala zip I zimejaa?
erm, post: 19318860, member: 338127"]Zito amenza kuchanganyikiwa sasa!Maghala ya chakula yamejaa chakula na bado ukienda sokoni unapata unachokitaka japo kwa bei juu kwa sasa kutokana na msimu.

Wataalamu wanasema kwa kipindi hiki bei za vyakula kupanda ni kawaida sana, pia kilichopo kwa sasa ni upungufu wa mvua kwa baadhi ya maeneo sio TZ yote..Sasa anataka ajiimarishe kisiasa kwa hoja yake ambayo wengi bado hatukubaliane nae..Akitaka tumuone wa maana aimarishe hoja yake kwenye kuingalia sera ya kilimo huko bungeni kuwa badala ya kutegemea mvua serikali ije na mpango wa kuwawezesha wakulima kwenye kilimo cha kisasa, umwagiliaji na kutumia maziwa kama Victoria na Tanganyika!Ufugaji pia uwe wenye tija..Kifupi aelekeze nguvu kwenye solution zaidi kuliko lawama..

Huyu jamaa naye kwa sasa anaweweseka baada ya kushuka umaarufu wa kisiasa..Namshauri atulize mshono au kipele chake na aelekeze nguvu kwenye sera ya kilimo ili kiwe cha kisasa badala ya ilivyo sasa kutegemea mvua..

Mheshimiwa rais endelea kukaza hapo hapo wananchi tulizoea kudeka..Hata bungeni wakisema hawana imani na wewe huku mtaani bado tunakukubali kinoma..UKAWA MWAFAA![/QUOTE]

Ghala zioi
 
9354352, member: 351939"]Zitto Kabwe ni rahisi sana kununuliwa, upo uwezekano ameshapewa chake na wapiga dili ili kuichafua serikali yetu tukufu ili ionekane haifai mbele ya jamii. Zamani watu kama hawa walikuwa hawana nafasi katika jamii hivyo hatua za umeharaka zilikuwa zinachukuliwa kukabiliana naye.[/QUOTE]

Bora serikLi ya yahYa jameh ina tume huru sio ya dictator yohana uchwara
 
I don't blame you, your language expose you that you never went to school. Jiunge na kisomo cha ngumbali, unajiaabisha na lugha unayotumia,

And ur false name tell that u must be a fool if not a complete moron
For ur infor i went to a best school and the university as well
What the hell is ngumbali?
 
Jambo moja ni muhimu sana, Rais anapaswa kujua kuwa anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Na Katiba imetoa wajibu wa lazima kwa Serikali kulinda watu. Ndio kazi ya Serikali – kulinda wananchi pale ambapo yanatokea majanga ambayo yanazidi kimo wananchi hao.

Tunamwambia Rais kwamba, Mtanzania yeyote akifa kwa njaa kwa sababu Serikali imeshindwa kutekeleza wajibu wake Watanzania tutapaswa kuchukua hatua, Katiba inatulazimisha kumtoa Rais madarakani ikiwa yeye na Serikali yake watashindwa kutimiza wajibu wake wa kulinda uhai wa raia wake.

Tunamkumbusha Rais kuwa yeye sio mungu mtu. Yupo chini ya Katiba na kwa idadi ya wabunge wa upinzani waliopo Bungeni, na wakiamua kusimama na wananchi na kulinda Katiba, Rais wa sasa atakuwa Rais wa kwanza wa nchi yetu kutolewa hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Katiba inahitaji asilimia 20 tu ya wabunge kuwasilisha hoja hiyo bungeni.

Ninatoa wito kwa Watanzania wote nchini, bila kujali vyama vyao, kuweka rekodi ya hali ya chakula popote walipo na kuweka takwimu ya maafa yeyote yanayotokana na njaa. Mtanzania yeyote akifa kwa njaa ni lazima tuchukue jukumu la kumwajibisha Rais kwa kusema waziwazi kwamba hajatimiza wajibu wake kama Mkuu wa Serikali kulinda wananchi wake.

Tunamkumbusha Rais kwamba kwa mujibu wa ibara ya 46A ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo yeye amekula kiapo kuilinda, kuihifadhi na kuitetea, Bunge laweza kumshataki yeye Rais kwa kosa la mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais.

Wananchi wanaona lugha za ubabe, vitisho, kuonea watu, kudhihaki waliopatwa na majanga kwamba ni mambo yanayodhalilisha kiti cha Rais.

Hivyo Rais achague maneno ya kusema mbele ya wananchi wake, atumie lugha ya kujenga matumaini badala ya kujenga hofu kwenye jamii, aache kuonea watu kwa kutumia madaraka yake, na akumbuke cheo ni dhamana.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo
Kijichi - Dar es salaam
Januari 15, 2017
Na ile ya kutokua na imani na waziri mkuu pinda enzi zile aliifikishaga wapi
 
Alizowea kupiga kelele Wakati wa Rais Kikwete, kumuziba mdomo anamubeba anaenda naye Europe, na mikopo juu. Kwa Rais Magufuli amekwama, hii siyo serikali ya kutisha. Rais Magufuli hapigi dili, Atasema atachoka, na wala hainyimi serikali watu usingizi. Yeye kama kiongozi aongoze watu wakalime tufukuze njaa. SERIKALI ni yetu sote, na Tanzania itajengwa na Watanzania wote sio mtu mmoja.

Hana issue.
 
Back
Top Bottom