Mbowe kampa Jamaa ushindi, Jamaa akirudi kule kwa wenzake atajigamba "kudadadeki...nimewaminya mpaka wamesanda"
Na yeye jamaa katambua kwamba huwezi kuwa na wote katika upande wako hata kama unahisi kuwa unawafanyia mema hao wote kwa muda wote.

Kisiasa anayo mengi ya kujifunza licha ya kutokuwa mwanasiasa wa asili.
 
Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Swali ni je chadema wstanufaika na Nini baada ya hii sikukuu ya Uhuru?
 
Agenda, misimamo na falsafa za Zitto na ACT kwa upande mmoja ni tofauti na zile za Mbowe na CHADEMA kwa upande mwingine. Mmoja akitamani kufanya siasa za kisayansi na kisomi, mwingine amejikita katika siasa nyinginezo za migomo na kususa.

Lawama za Wana CHADEMA kwa Zitto hazina mantiki ilhali Zitto ana sifa kuu sana ya....
 
Naona kuna watanzania wameshindwa kumsoma Mbowe kabisa. Hati kaomba poo. Usilolijua nikama usiku wa giza.
Sina chama lakini kati ya Mbowe na Zitto kwa hili ninamkubali Mbowe.
 
Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuulizoa kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!

Acha uongo, hakuna mpinzani ambaye enzi zile alikuwa hakutani na JK.. Sio ZZK pekee aliyekuwa akikutana na JK, Mbowe, Slaa, Mnyika, Seif nk walikutana na JK kwa nyakati tofauti..
 
Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Huyo kavurugwa
 
Chadema inabidi iwe makini sana na Zitto inaonekana bado ana kinyongo tangu atoke Chadema na nia yake ni kuiona Chadema inakufa na ndiyo itakuwa furaha yake moyoni. Jamaa ana roho ya kinafiki sana, nawaonea huruma sana Chadema. Adui mkubwa wa Chadema ni Zitto muda utaongea.
 
Huyu Mbona tunamjua huyo syo mtu wa kumfuatila fanya mambo yako we akpost utumbo mchukulie poa tu maisha yalivyo watu kama hawakosekani
 
MsemajiUkweli,
Kwa mtu yeyote aliyewekeza katika nchi ana cha kupoteza endapo hali ya amani itatoweka kwa namna yoyote ile. Hata biashara tunazojivunia zitayeyuka hali ya amani ikipotea. Mpango wowote wa kuboresha maridhiano ya kisiasa ni jambo jema kwa ustawi wa uchumi wetu sote. Wasio na cha kupoteza au wanaotaka faida katika hali ya kukosa maelewano ya kitaifa ndio pekee wanaweza kubeza matamko ya viongozi wa upinzani kwenye sherehe za Uhuru jana tarehe 9/12/2019
 
Egnecious,
Ametoa maoni kama ambavyo wewe umetoa. Yale ni yake na haya ni yako. Ndo uhuru wa maoni. Vumilianeni. Kusema asili ya wazazi wake haitokusaidia. Ameshashutumiwa sana na mara zote wameshindwa kupata/kuona dosari ya uraia wake. Mwisho unasema uongo. Ulikuwa wapi wakati anapapatua kuonesha uraia wake? Wakati hule hukufanya kwa sababu hauna ushahidi na leo hutofanya kwa sababu umekosa ushahidi. Kusema unatoka Mwandiga hata mtu mwingine anaweza kusema hivyo. Sasa labda uanze tena kuonesha kuwa yeye sio raia kwenye vyombo husika na hilo huliwezi. Kama serikali ilikosa ushahidi wewe huwezi kuupata. Tulia.
 
Siku nyingi Zitto ana julikana ni mtu wa one man show.. Halafu pia sio mwana siasa wa kuaminika. Hana tofauti na kina Lipumba, Kabouru, Nswanzugwanko, Kafulila na wengine wa aina hiyo.@Egnecious,
 
Maridhiano ya kitu gani?!....... Hili swali liliulizwa na Nyani Ngabu jana!
Hukumsikia? Kuna watu wanalalamika, kuna watu wanateseka?

Vyama vya siasa vimezuiwa kufanya siasa kinyume na sheria na katiba huoni hapo inahitaji maridhiano? Huoni wimbi la kuwakamata wapinzani kuwatesa na kuwabambika kesi linahitaji maridhiano? Huoni Bunge limegawanyika na uongozi wa Bunge unaonyesha wazi una take side jee hilo halihitaji maridhiano?

Siasa imekuwa ya uadui mfano tuu mimi nikiandika hata lenye manufaa kwa nchi, wewe utapinga tuu baada ya kuona ni mimi niliyeshashauri. Vivyo hivyo kwangu kuhusu wewe, jee hudhani tunahitaji maridhiano tuweze kuwa na mijadala bila kuangalia sura?

Tunahitaji maridhiano hata kama hatujaanza kupigana, maana hizi choko choko ndio dalili za kuzipiga
 
Back
Top Bottom