Zitto Kabwe: Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye akiba ya fedha za kigeni ya Tanzania

Hapa Zito naona kama amechanganya kidogo, anaposema, 'Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye Akiba ya Fedha za kigeni ya Tanzania. Ama Serikali kupitia Benki Kuu inapunguza Akiba ili kuibeba Shilingi isishuke thamani au Akiba imetumika kwa matumizi ya kawaida. Serikali haina budi kutoa maelezo ya kina. Huwezi kupandisha thamani ya shilingi kwa kupunguza akiba ya fedha za kigeni. Utapandisha shilingi kwa kuwa na akiba kubwa ya fedha za kigeni.
Hata Mimi nimeshindwa kuelewa.Lakini Zitto ni mchumi mbobezi sidhani anaweza kosea kwa kiwango hicho.labda mtaalam mwingine atueleweshe ni vipi supply ya dollar ikishuka thamani ya shillingi itapanda.
 
zito acha kudanganya watu kama ulivodanganya kwenye VAT on bank charges..unachoongea sio sahihi.
foreign reserve balance is direct proportional to thamani ya shilingi
Mkuu Zitto alidanganyaje kwenye VAT?,.Mbona Ndulu alisema vat itakatwa kwa mwananchi na sio bank husika.

Mimi sio mchumi lakina unaposema ni direct proportional unamaana kwamba foreign reserve inapoongezeka na thamani ya shilingi ya Tz inaongezeka na kinyume chake ni sahihi.Sasa unamaana kwamba fedha zetu zimepungua(zimeshuka) hii kiuchumi imekaa aje mkuu tusaidie tusio wachumi.

Soma link nzima then uje na ukweli wote mkuu upinge hoja kwa fact mkuu.

Namalizia kusema mie sio mchumi mkuu.
 
Hapa Zito naona kama amechanganya kidogo, anaposema, 'Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye Akiba ya Fedha za kigeni ya Tanzania. Ama Serikali kupitia Benki Kuu inapunguza Akiba ili kuibeba Shilingi isishuke thamani au Akiba imetumika kwa matumizi ya kawaida. Serikali haina budi kutoa maelezo ya kina. Huwezi kupandisha thamani ya shilingi kwa kupunguza akiba ya fedha za kigeni. Utapandisha shilingi kwa kuwa na akiba kubwa ya fedha za kigeni.
Umekosoa nini hapo mkuu?
 
kwenye VAT zito aliaminisha wateja kuwa watachajiwa 18 percent of the transaction amount as VAT...assuming umewithdraw sh 1,000,000 then utachajiwa sh 180,000 as a VAT charge...upotoshaji wa hali ya juu.
 
Kun watu wanapotea katika hoja. Kuna michango inajaribu kubainisha kuwa akiba ya fedha za kigeni (entire hard cash) imetunzwa Benki Kuu, na pengine Ndulu kla wakati huwa anachungulia hayo manoti ya yen, dola, yuro, yuan. Kwamba pengine kama unafahamiana naye na umemtembelea hapo kazini kwake anaweza akurushie chenji iliyobaki wakati wa takrima kwa wageni wake wa siku iliyotangulia. Hii siyo! Kwa hiyo, ili wadau wajadili hoja hii ya foreign exchange reserves wakiwa na uelewa wa kutosha, basi mleta mada awafafanulie aina (form) na mahali akiba ya nchi yetu inakotunzwa. Zitto anajua.
 
Tatizo lenu hamsomi Daily News . ..

Hili jambo lilifafanuliwa jumatano ya wiki iliyopita kwenye gazeti la dele nyuuz na gavana wa benki kuu.

Au mnataka lifafanuliwe kwa njia ya simu?
 
Zitto alishawahi nchi itasimama kwa kukosa mafuta,mpaka leo kimya,hela ipo mfukoni kwa mwenzako unataka maelezo wakati bunge umesusa
 
Mbona sioni wataalamu wa uchumi wakichambua vizuri hii mada?

ina maana humu hakuna wachumi?

Yeyote aliyesoma Uchumi atueleze

Niko njiani kurudi nyumbani, nitapitia bar ya jirani nipate igo mbili alafu nikifika nyumbani nitalichambua hili swala vizuri kabisa..

Wachumi tupo
 
zito acha kudanganya watu kama ulivodanganya kwenye VAT on bank charges..unachoongea sio sahihi.
foreign reserve balance is direct proportional to thamani ya shilingi

Mkuu ngoja tufike majumbani tumvue nguo huyo anayecheza na akili za watanzania kwa kutafuta umaarufu kwa kusema uongo
 
Zitto bora angeimba tarabu tu kwa sasa mwanzo alisema nchi haina akiba kabisa leo kapinduka tena ndiyo maana huwa nasema siku zote siasa za kuongozwa na waganga wa jadi hazidumu kabisa.
 
Mkuu Zitto alidanganyaje kwenye VAT?,.Mbona Ndulu alisema vat itakatwa kwa mwananchi na sio bank husika.

Mimi sio mchumi lakina unaposema ni direct proportional unamaana kwamba foreign reserve inapoongezeka na thamani ya shilingi ya Tz inaongezeka na kinyume chake ni sahihi.Sasa unamaana kwamba fedha zetu zimepungua(zimeshuka) hii kiuchumi imekaa aje mkuu tusaidie tusio wachumi.

Soma link nzima then uje na ukweli wote mkuu upinge hoja kwa fact mkuu.

Namalizia kusema mie sio mchumi mkuu.

Zitto alidanganya watu ukitoa 10000 utakwatwa 1800 ya VAT.. Je ni kweli?
 
Mada nzuri ila wachangiaji na wajuzi wa masuala ya uchumi wapo shallow sana
Umeaona kiongozi wangu eeeh? yaani sisi wa-Tz bwana sijui tuna matatizo gani? Yaani huwezi kupata mchambuzi ambaye anaweza kwenda deep kabisa na kutueleza madhara ya akiba kubwa au ndogo ya fedha za kigeni kwenye uchumi wa nchi. Watu wanaishia kumsakama Zitto tu bila ufafanuzi. Natamani mjadala huu tuwaalike jirani zetu kutoka Kenya labda watasaidia!!
 
Zitto alidanganya watu ukitoa 10000 utakwatwa 1800 ya VAT.. Je ni kweli?
Mkuu hiyo signature yako nusura inivunje mbavu, nilipokumbuka mstaafu anasema wazee ni baraka ya chama, mwenzake anasema haya mazee yalaaniwe kabisa ndiyo yaliyotufikisha hapa!!
 
Hapa Zito naona kama amechanganya kidogo, anaposema, 'Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye Akiba ya Fedha za kigeni ya Tanzania. Ama Serikali kupitia Benki Kuu inapunguza Akiba ili kuibeba Shilingi isishuke thamani au Akiba imetumika kwa matumizi ya kawaida. Serikali haina budi kutoa maelezo ya kina. Huwezi kupandisha thamani ya shilingi kwa kupunguza akiba ya fedha za kigeni. Utapandisha shilingi kwa kuwa na akiba kubwa ya fedha za kigeni.
Mie naona wewe ndio umechanganya kidogo. Hii ni simple economics. Kama demand ya dollar inakuwa kubwa kwenye mzunguko ina maana shilling itaporomoka. Kuzuia hilo lisitokee, unaongeza supply.
 
Umeaona kiongozi wangu eeeh? yaani sisi wa-Tz bwana sijui tuna matatizo gani? Yaani huwezi kupata mchambuzi ambaye anaweza kwenda deep kabisa na kutueleza madhara ya akiba kubwa au ndogo ya fedha za kigeni kwenye uchumi wa nchi. Watu wanaishia kumsakama Zitto tu bila ufafanuzi. Natamani mjadala huu tuwaalike jirani zetu kutoka Kenya labda watasaidia!!

Wengi ya wabongo wavivu kufikiria. Ndo maana mambo mengi lelemama.
Au labda JF hakuna wachumi kudadavua haya kinagaubaga.
Na wakishakosa hoja kawaida watu hujificha mwe kichaka cha kushambulia mtoa hoja.
 
Mkuu Zitto unaweza kuwa mkweli au sio

Ndani ya utawala huu mtakubaliana na Mimi kwamba Rais Magufuli amebadilisha systematic ruling tofauti yake na Jk ni kwamba Jk alikuja kuendeleza system iliyowekwa na mkapa!!

Lakini Magufuli anadeal na over ruling system

Kwa kufanya hivyo kumefanya watu wanao taka kuwekeza Tanzania kuimulika Tanzanian kwa hicho la tatu!!
Mfumo wake wa kuanza kuwabana wakepa kodi kunawafanya wawekezaji wa ndani na nje kuangalia kwa umakini ni wapi wawekeze ambapo kuna less opportunity cost kwa sababu watalipa kodi effectively!!
Hivyo inawezekana pesa hizo ziliingizwa kwa mzunguko ili ilikuokoa kiasi cha pesa either zilizofichwa nje ya nchi kuanzia Magufuli alipoingia Au katika uagizwaji wa sukari

Ili swala ni la kawaida kabisa lilitokea Russia kipindi putin anaingia mwaka 2000
pia Nigerian wakati Bohari anaingia mwaka Jana!!

Ila inabidi tu tukubali kwamba tupo katika recision period !!

Uwezi kuwa na wasiwasi hata kidogo kama upo kwenye uchumi wa nchi ambao almost within 8-10 months ni expansion period kama ilivyo Tanzania
Nikisoma hoja yako yoote inaonekana unamuunga Zitto. Yeye kasema pesa zimeenda kwenye matumizi mengine. Kwahiyo ndio unachoeleza.
 
Back
Top Bottom