Zitto Kabwe kugombea urais 2020, aanza kampeni kabla ya wakati

Umelenga vuzuri sana, ila hapo pa kugombea Uraisi ACT, badilisha haitawezekana, Sumaye hana Ushawishi ama wafuasi wa kumchagua uraisi, ataweza kuwavutia watu kuwapigia kura wabunge wa ACT. Pohamba,
 
Mikakati inayoendelea sasa ni kumshawishi Mzee Sumaye agombee kupitia ACT

Vita iliyopo sasa sio ya Urais 2020, vita iliyopo ni ya kugombea U Kiongozi wa Upinzani Bungeni kati ya Zitto na Mbowe

Mbowe anamshawishi Lissu agombee urais sio kwa kuwa anadhan atashinda la hashaa, anataka asaidie wapate kura nyingi ku maintain Ruzuku ambayo inategemea kura za Urais , Mzee Lowassa amesaidia Chadema kukunja 200M kila mwezi kuanzia Nov, 2015

Zitto nae kaanza mikakati ya kumshawishi Sumaye kuwania Urais ili tu asaidie wapatepate kura za kutunisha Mfuko wa Ruzuku
kwa hiyo mikakati hatofanikiwa na sifikirii kama zitto anaweza kukubali kumpisha Sumaye

yeye mwenyewe anauchu na urais
 
Mikakati inayoendelea sasa ni kumshawishi Mzee Sumaye agombee kupitia ACT

Vita iliyopo sasa sio ya Urais 2020, vita iliyopo ni ya kugombea U Kiongozi wa Upinzani Bungeni kati ya Zitto na Mbowe

Mbowe anamshawishi Lissu agombee urais sio kwa kuwa anadhan atashinda la hashaa, anataka asaidie wapate kura nyingi ku maintain Ruzuku ambayo inategemea kura za Urais , Mzee Lowassa amesaidia Chadema kukunja 200M kila mwezi kuanzia Nov, 2015

Zitto nae kaanza mikakati ya kumshawishi Sumaye kuwania Urais ili tu asaidie wapatepate kura za kutunisha Mfuko wa Ruzuku

Acha nicheke tu, Lowassa asaidie cdm kukunja milioni 200 kwa kusema kipaombele ni " elimu, elimu, elimu"! Kama kusema hivyo kunawezesha chama kupata 200m, ni kipi kinawafanya TLP, UDP nk wasiseme hivyo? Msidhani hatujui viti vingi vya ubunge, udiwani na kura za urais zilipatikana kaa jitihada gani. Hakuna vita yoyote kati ya Mbowe na Zito, bali kuna vita ya urais, maana rais aliyepo hana uwezo wa kujenga hoja wala kushawishi zaidi ya kupandikiza hofu kwa wananchi na kutumia madaraka yake vibaya kupata ushindi. Sana sana anachoweza ni kulazimisha kupita bila kupingwa kama enzi zake alivyokuwa mbunge kupita kwa figisu.
 
Mgombea mwenza ni Maalim Seif ama nani? 2020 hakuna UKAWA? Lissu hagombei? Mbona ilisemwa kuwa Membe ndiye mgombea kupitia ACT au Zitto anatingisha kiberiti tu aone friction ilivyo?

Tatizo kubwa la Zitto ni kuwa haaminiki.
Mbona huyo wa kwenu anatembea nchi nzima kila siku anakampeini? Msiweweseke enyi sana Lumumba!
 
Mikakati inayoendelea sasa ni kumshawishi Mzee Sumaye agombee kupitia ACT

Vita iliyopo sasa sio ya Urais 2020, vita iliyopo ni ya kugombea U Kiongozi wa Upinzani Bungeni kati ya Zitto na Mbowe

Mbowe anamshawishi Lissu agombee urais sio kwa kuwa anadhan atashinda la hashaa, anataka asaidie wapate kura nyingi ku maintain Ruzuku ambayo inategemea kura za Urais , Mzee Lowassa amesaidia Chadema kukunja 200M kila mwezi kuanzia Nov, 2015

Zitto nae kaanza mikakati ya kumshawishi Sumaye kuwania Urais ili tu asaidie wapatepate kura za kutunisha Mfuko wa Ruzuku
Jiandaeni kukabizi dola safari hii mtashangaa.
 
Zitto hawezi kugombea urais. Hata hao huko kwingine waliojaribu kugombea urais (na kutema chance ya kugombea ubunge) walifanya hivyo kwa makubaliano kwamba watalipwa mshahara na marupurupu sawasawa na Mbunge kwa kipindi chote cha miaka mitano. Zitto is not stupid enough kufikiri anaweza kushindana na machination ya CCM hasa kipindi hiki. Tume ya Uchaguzi ya CCM inaanzaje kwa mfano kumtangaza Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe kama mshindi wa kiti cha Urais? Zitto mwenyewe analitambua hili.

Hata Mbowe mweneywe hatojaribu tena kugombea Urais kwa mazingira ya sasa.
 
Mr worldwide,
Huyu mtu sifa zote za kugombea urais anazo, na pia nyenzo zote zinazohitajika ili kumwezesha agombee urais anazo ila tatizo kubwa ni kwamba nyenzo alizonazo za kumwezesha agombee urais, BADO HAZIJAWA NA SIFA ZA KUMUWEZESHA KUSHINDA URAIS! Inabidi alifanyie kazi kwanza hili!
 
Back
Top Bottom