Zitto Kabwe, Kikwete na Rais wa Sudani ya Kusini

Kweli ila wanamkumbuka na wanamuenzi kwa vitendo, maana mara ya mwisho aliwaambia kuwa kazi yao ya kupambana mpaka wame eleweka imekwisha sasa imebaki kazi ya wananchni ya kuwaunga mkono kwa kupika kura ili sasa wawe huru zaidi.Huyu Jamaa wa kushoto kwake ndie Rais sasa hiviView attachment 33661Hapa ndipo alipoondoka kwenda kuuwawaView attachment 33660Hapa ni mara kwanza kwenda Khartoum July, 2005 Baada ya kutoka Msituni.View attachment 33659
Asante sana mkuu Arafati kwa updates. Huyu Garang alikuwa mzalendo na mwenye mapenzi ya dhati kwa taifa lao. Nimefarijika kusikia kua Sudan Kusini wamemtanganza kua ndie Rais wao wa kwanza na Baba wa taifa lao! Dr. John Garang ataishi ktk mioyo ya wa'Sudan kusini daima!
 
Nadhani hoja hii inapewa uzito usiostahili hapa jamvini. Kuna masuala mengi ya msingi ya nchi kujadili badala ya anni kasafiri na nani. Mwezi Aprili mhe. Hezekiah Wenje alisafiri na mhe Makamu wa Rais, sikuona maneno. Wabunge mbali mbali wa CHADEMA wamesafiri na viongozi Kama Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais. Huu ni utaratibu wa kawaida kabisa katika shughuli za Bunge.

Fuatilieni misafara yote ya viongozi wakuu, kuna wabunge wa pande zote mbili. Kule Juba nilikwenda na Waziri kutoka Zanzibar wa CCM ndugu Mwinyihaji Makame.

Ndani ya miaka mitano hii mtaona misafara ya aina hii na Spika ndiye anayeamua. Namshukuru Mungu kuwa nimekuwa mmoja wa Watanzania ambao tumeshuhudia historia hii ya watu wa Sudan Kusini kujiondoa kwenye makucha ya ukandamizaji wa Waarabu wa Kaskazini. Ningependa kuona Umoja wa Afrika, lakini sio kwa gharama ya kuwanyonya, kuwakandamiza na kuwadidimiza Waafrika wa Kusini ama kwa sababu ya rangi Yao au Dini Yao.

Ni rai yang kuwa Tanzania iangalie fursa za kibiashara Huko. Mie ninaelekea kupata kazi ya kuishauri Wizara ya Madini ya Sudan Kusini kuhusu Sera ya Madini na Sheria ya Madini. Natarajia kurudi Juba hivi
 
Ben fafanua. Usije ukaleta irrelevant story in this context.

Nifafanue nini tena?Usipende kutafuniwa kila kitu mkuu.Sijui kama wengine waliosafiri kabla waliibua tension hivi hivi?Je,angekuwa mwingine hali ingekuwa hiyo hiyo? It's hillarious.Dont you see the correlation?Even without the names,the mass outside there know who to tag with the characters.......!
 
Nitarudi Juba hivi karibuni. Ninashauri badala ya kupoteza mud a kujadili nani kaenda Juba na nani tujadili jinsi ya kuwazidi Wakenya Huko Jamhuri ya Sudan Kusini na kupata biashara kwa nchi yetu. Delegation ya Kenya ulikuwa na Rais na Waziri Mkuu, Mawaziri kumi na makatibu wakuu. Siku ya pili nikiwa Airport Makamu wa Rais alikuwa anawasili. Sisi tunakalia maneno na majungu tu!
 
Kama ni hivyo haya majungu yanaelekezwa kwa Zitto kwa misingi gani?

Nadhni kuna watu badala ya kutazama na kitanguliza kuhoji WHAT and HOW wanazatazama na kutanguliza WHO.

Siasa zetu za bongo bado tuna safari ndefu.
 
Nitarudi Juba hivi karibuni. Ninashauri badala ya kupoteza mud a kujadili nani kaenda Juba na nani tujadili jinsi ya kuwazidi Wakenya Huko Jamhuri ya Sudan Kusini na kupata biashara kwa nchi yetu. Delegation ya Kenya ulikuwa na Rais na Waziri Mkuu, Mawaziri kumi na makatibu wakuu. Siku ya pili nikiwa Airport Makamu wa Rais alikuwa anawasili. Sisi tunakalia maneno na majungu tu!

Yes zitto
Yah sisi watanzani tutaexpeort wanasiasa. Kitu cha kwanza nadhani tutasikia JK anateuliwa balozi( Kisiasa) wakati kuna nchi hazitakuwa na balozi huko na zitafaidika zaidi.

Kama kenya wanaweza kutuiga bao kwenye nchi tunazopakana nazo kama Rwanda na burudi ndo ije kwa south sudan. teh teh teh.

BTN @ Zitto

kuna opportunity gani huko watazania wanaweza kuvizia? je lugha yao ya communication ni ipi?
 
Nitarudi Juba hivi karibuni. Ninashauri badala ya kupoteza mud a kujadili nani kaenda Juba na nani tujadili jinsi ya kuwazidi Wakenya Huko Jamhuri ya Sudan Kusini na kupata biashara kwa nchi yetu. Delegation ya Kenya ulikuwa na Rais na Waziri Mkuu, Mawaziri kumi na makatibu wakuu. Siku ya pili nikiwa Airport Makamu wa Rais alikuwa anawasili. Sisi tunakalia maneno na majungu tu!

Mkuu hatuna kipingamizi na hayo uliyoyasema picha mbayo unatakiwa uipate kutoka kwa wanaoitakia mema CHADEMA ni hii.....wengi ni kama vile hawakuamini
 
Nadhani hoja hii inapewa uzito usiostahili hapa jamvini. Kuna masuala mengi ya msingi ya nchi kujadili badala ya anni kasafiri na nani. Mwezi Aprili mhe. Hezekiah Wenje alisafiri na mhe Makamu wa Rais, sikuona maneno. Wabunge mbali mbali wa CHADEMA wamesafiri na viongozi Kama Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais. Huu ni utaratibu wa kawaida kabisa katika shughuli za Bunge.

Fuatilieni misafara yote ya viongozi wakuu, kuna wabunge wa pande zote mbili. Kule Juba nilikwenda na Waziri kutoka Zanzibar wa CCM ndugu Mwinyihaji Makame.

Ndani ya miaka mitano hii mtaona misafara ya aina hii na Spika ndiye anayeamua. Namshukuru Mungu kuwa nimekuwa mmoja wa Watanzania ambao tumeshuhudia historia hii ya watu wa Sudan Kusini kujiondoa kwenye makucha ya ukandamizaji wa Waarabu wa Kaskazini. Ningependa kuona Umoja wa Afrika, lakini sio kwa gharama ya kuwanyonya, kuwakandamiza na kuwadidimiza Waafrika wa Kusini ama kwa sababu ya rangi Yao au Dini Yao.

Ni rai yang kuwa Tanzania iangalie fursa za kibiashara Huko. Mie ninaelekea kupata kazi ya kuishauri Wizara ya Madini ya Sudan Kusini kuhusu Sera ya Madini na Sheria ya Madini. Natarajia kurudi Juba hivi

Mkuu hatuna kipingamizi na hayo uliyoyasema picha mbayo unatakiwa uipate kutoka kwa wanaoitakia mema CHADEMA ni hii.....wengi ni kama vile hawakuamini
 
hapo salva anatambulishwa rais mtarajiwa wa tanzania, ambaye atafanya nae kazi mh zitto kabwe. Safi sana. Jk jitahidi kila unakokwenda usimuache huyo jembe wa ukweli.
...........................................yes why zitto if not for presidential in 2015...?
 
Nadhani hoja hii inapewa uzito usiostahili hapa jamvini. Kuna masuala mengi ya msingi ya nchi kujadili badala ya anni kasafiri na nani. Mwezi Aprili mhe. Hezekiah Wenje alisafiri na mhe Makamu wa Rais, sikuona maneno. Wabunge mbali mbali wa CHADEMA wamesafiri na viongozi Kama Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais. Huu ni utaratibu wa kawaida kabisa katika shughuli za Bunge.

Fuatilieni misafara yote ya viongozi wakuu, kuna wabunge wa pande zote mbili. Kule Juba nilikwenda na Waziri kutoka Zanzibar wa CCM ndugu Mwinyihaji Makame.

Ndani ya miaka mitano hii mtaona misafara ya aina hii na Spika ndiye anayeamua. Namshukuru Mungu kuwa nimekuwa mmoja wa Watanzania ambao tumeshuhudia historia hii ya watu wa Sudan Kusini kujiondoa kwenye makucha ya ukandamizaji wa Waarabu wa Kaskazini. Ningependa kuona Umoja wa Afrika, lakini sio kwa gharama ya kuwanyonya, kuwakandamiza na kuwadidimiza Waafrika wa Kusini ama kwa sababu ya rangi Yao au Dini Yao.

Ni rai yang kuwa Tanzania iangalie fursa za kibiashara Huko. Mie ninaelekea kupata kazi ya kuishauri Wizara ya Madini ya Sudan Kusini kuhusu Sera ya Madini na Sheria ya Madini. Natarajia kurudi Juba hivi

Zitto,

Kwa kweli Dream ya umajumui wa Africa(PAN Africanism) imepata pigo.Hata hivyo ni heri kwa sababu ya casuality.Sisi kama Taifa tuna cha kujifunza,tutumie hili kama learning curve kwamba hata Muungano wetu unaweza kufikia huko,sio hivyo tu usawa pia uzingatiwe.tunashuhudia standard ya chini kabisa ambayobmimi kama Mwanauchumi haitoi picha nzuri kwa Taifa katika Equitable distribution of resources

So Southern Sudan case,It is about the first Black African nation of an African creation. It marks the coming of age of the Blackman in his own home continent after centuries of disarray; the time when he began to think for himself and to have enough confidence in himself to choose what he wants for himself. On the 9th of July 2011 the world salute a people who knew what they wanted, demanded for it and fought for it.

The peoples of Southern Sudan fought for more than twenty years within which more than two million of their population was killed. No, they fought for over five decades starting from 1955. They fought resolutely. They fought astutely. They fought assiduously. They fought resiliently. They fought stoutly as men and now they must have what they wanted. From the outset they saw clearly what is good for them and would not settle for anything less.

All along they knew that the greatest and most precious of all possessions by any people is their culture and way of life. They knew that to loose such invaluable inheritance is to loose life itself. Indeed, life is worth nothing when the people have been dispossessed of their ancestral culture and ways. It is in such occasions that wars become justified, (In the context of Diplomacy as my profession this might sound controversial to some but nothing can be truer and I am not ready to tender any apology). The two million people killed are just the price the Southern Sudanese had to pay to take back what had been taken away from them; their sovereignty.

From the beginning the Southern Sudanese saw out of the experience of centuries that the Arab world; because they had embraced an oppressive, intolerant and retrogressive way of life, that it would be insane to share the same political space with them and expect anything from them that is better than bigotry, slavery, exploitation, bad governance and backwardness. Southern Sudanese have proved that they are not fools and are capable of making their own choice rather than let some colonial outsiders sit down somewhere in Berlin in 1885 and choose for them who they should associate with.

Finally Southern Sudan has shown the rest of Black Africa the way to go. The rest of the black peoples of the continent must take back their lost sovereignty and re-divide the continent, if need be, by force of arm as in the example of South Sudan. You are free and independent only when you can choose out of your own freewill who you would associate with and not when someone else had yoked you together with whom you have nothing in common.

So,It is my wish and Dream that United States Of Africa,Pan Africanism can materialize when free states with their dignity and their territorial Intergrity decide vuluntarily to enter into social,Economical and political Intergration.Let us dare!
 
Zitto,tatizo ni kwamba taarifa kama hizi huwa unafanya
haraka sana kuziweka kwenye facebook na twitter,sijui kwanini
una chelewa kutuambia watu wa JF (kama sio kui-under value)!

Sidhani kama ungetoa maelezo kama haya siku unaenda yangetokea majungu kama
haya,kama nisingesoma post yako kidogo niandike na mimi maswali juu ya safari hiyo,...
so far nimekuelewa,lakini please jamii forum inastahili taarifa kama hizi pia
 
Mkuu hatuna kipingamizi na hayo uliyoyasema picha mbayo unatakiwa uipate kutoka kwa wanaoitakia mema CHADEMA ni hii.....wengi ni kama vile hawakuamini
Siwazuii kutoniamini. Mimi ninajiamini. Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka Nina umri wa miaka 16. Sijawahi kuwa Chama kingine. Nina Imani na Chama changu. Hao wengu unaosema ni kina nani? unawapima vipi? Nimekwenda kwenye ziara za Chama sehemu mbalimbali nchini na Imani ya umma kwangu ni kubwa sana. Najua humu Jf kuna watu wanatumwa kwa kazi moja tu kumdiscredit Zitto. Hawanisumbui maana nawajua. Ila pia ninakomazwa kutokana na changamoto zao.Nimejitahidi kuwatibu ugonjwa wa zittophobiasis, wengine wamepona. Others wanaendelea kupona. Wengine ugonjwa umekuwa sugu.Jaman nipeni muda na Mimi. Mnielewe. I can't be the way you want me to be but I can perfect myself ton the best and remain who I am.
 
Hata kama tuna hasira na JK daa hii imezidi bana, kwani kunaubaya gani akienda na Zito??
Ndugu zangu tukae chonjo tuweza vuka kigingi hiki...nawaambieni hili ni jaribio..kuna taarifa zimeanza kuenea ya kuwa nia halisi ya Jk kujifanya kuanza kumpigia Zitto kampeni chini chini kwa staili ya kuonyesha kwenye public kwamba ni swahiba nii hii;

Wanatambua fika kabisa na kuamini kwamba Dr. Slaa ana nia ya kugombea Urais 2015,now kinachofanyika sasa ni kujaribu kuwahadaa wapenzi wa CDM waamishe fikra zao kutoka kwa Dr. Slaa na kuanza kutazamia Zitto kama ndiye mgombea anayefaa, katika hili wana imani itakuwa Rahisi Mno kwa Mgombea wa CCM kupambana na Zitto kuliko kupambana na Dr.Slaa.

Ushauri wangu kwa Zitto asihadaike na kunong'onezwa huko kwani kuna kila dalili za unafiki katika mnong'ono huo. Zitto yambidi awe mvumilivu na kusubiri kukabidhiwa mwenge ulio na baraka za Dr. Slaa mwenyewe, hapo itakuwa rahisi kwake kuwin kwani itakuwa rahisi zaidi kuamisha imani ya wapenz wa Dr.Slaa kwake.. 2020 sio mbali Mh. Zitto, Vumilia ndugu yangu.
 
WHY ZITTO NA SIO TUNDU LISSU, LEMA. Wahenga walinena "kila lisemwalo lipo na kama halipo linakuja". Lets wait the conclusion of the whole matter
 
Nifafanue nini tena?Usipende kutafuniwa kila kitu mkuu.Sijui kama wengine waliosafiri kabla waliibua tension hivi hivi?Je,angekuwa mwingine hali ingekuwa hiyo hiyo? It's hillarious.Dont you see the correlation?Even without the names,the mass outside there know who to tag with the characters.......!

Ninyi mna jeuri sana....sijui mnajiamini nini

Nitarudi Juba hivi karibuni. Ninashauri badala ya kupoteza mud a kujadili nani kaenda Juba na nani tujadili jinsi ya kuwazidi Wakenya Huko Jamhuri ya Sudan Kusini na kupata biashara kwa nchi yetu. Delegation ya Kenya ulikuwa na Rais na Waziri Mkuu, Mawaziri kumi na makatibu wakuu. Siku ya pili nikiwa Airport Makamu wa Rais alikuwa anawasili. Sisi tunakalia maneno na majungu tu!

Mwingine huyu.Kiburi na Jeuri mnaambiwa ukweli.Mnaogopa kwa sababu ya usaliti unaoanikwa hapa?mwenzako picha zake na watoto wa kizungu, kihindi,kithailand na kizambia zilianikwa hapa akiwa chuo kikuu.Akasema ni majungu hadi mleta mada akafungiwa.bado za kwako tu.Huko southern sudan uwezi chakachua na kuharibu.sio viti maalumu

Zitto,

Kwa kweli Dream ya umajumui wa Africa(PAN Africanism) imepata pigo.Hata hivyo ni heri kwa sababu ya casuality.Sisi kama Taifa tuna cha kujifunza,tutumie hili kama learning curve kwamba hata Muungano wetu unaweza kufikia huko,sio hivyo tu usawa pia uzingatiwe.tunashuhudia standard ya chini kabisa ambayobmimi kama Mwanauchumi haitoi picha nzuri kwa Taifa katika Equitable distribution of resources

So Southern Sudan case,It is about the first Black African nation of an African creation. It marks the coming of age of the Blackman in his own home continent after centuries of disarray; the time when he began to think for himself and to have enough confidence in himself to choose what he wants for himself. On the 9th of July 2011 the world salute a people who knew what they wanted, demanded for it and fought for it.

The peoples of Southern Sudan fought for more than twenty years within which more than two million of their population was killed. No, they fought for over five decades starting from 1955. They fought resolutely. They fought astutely. They fought assiduously. They fought resiliently. They fought stoutly as men and now they must have what they wanted. From the outset they saw clearly what is good for them and would not settle for anything less.

All along they knew that the greatest and most precious of all possessions by any people is their culture and way of life. They knew that to loose such invaluable inheritance is to loose life itself. Indeed, life is worth nothing when the people have been dispossessed of their ancestral culture and ways. It is in such occasions that wars become justified, (In the context of Diplomacy as my profession this might sound controversial to some but nothing can be truer and I am not ready to tender any apology). The two million people killed are just the price the Southern Sudanese had to pay to take back what had been taken away from them; their sovereignty.

From the beginning the Southern Sudanese saw out of the experience of centuries that the Arab world; because they had embraced an oppressive, intolerant and retrogressive way of life, that it would be insane to share the same political space with them and expect anything from them that is better than bigotry, slavery, exploitation, bad governance and backwardness. Southern Sudanese have proved that they are not fools and are capable of making their own choice rather than let some colonial outsiders sit down somewhere in Berlin in 1885 and choose for them who they should associate with.

Finally Southern Sudan has shown the rest of Black Africa the way to go. The rest of the black peoples of the continent must take back their lost sovereignty and re-divide the continent, if need be, by force of arm as in the example of South Sudan. You are free and independent only when you can choose out of your own freewill who you would associate with and not when someone else had yoked you together with whom you have nothing in common.

So,It is my wish and Dream that United States Of Africa,Pan Africanism can materialize when free states with their dignity and their territorial Intergrity decide vuluntarily to enter into social,Economical and political Intergration.Let us dare!

Ni sawa lakini vipaji vyote hivi mnavitumia kujenga mitandao yenu hadi sasa mmeelekeza nje ya nchi?kila kitu usemacho siku hizi mimi huwa nakitafakari sana kwa kina.Tumia basi uwezo wenu kukisaidia chama chenu
 
Siwazuii kutoniamini. Mimi ninajiamini. Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka Nina umri wa miaka 16. Sijawahi kuwa Chama kingine. Nina Imani na Chama changu. Hao wengu unaosema ni kina nani? unawapima vipi? Nimekwenda kwenye ziara za Chama sehemu mbalimbali nchini na Imani ya umma kwangu ni kubwa sana. Najua humu Jf kuna watu wanatumwa kwa kazi moja tu kumdiscredit Zitto. Hawanisumbui maana nawajua. Ila pia ninakomazwa kutokana na changamoto zao.Nimejitahidi kuwatibu ugonjwa wa zittophobiasis, wengine wamepona. Others wanaendelea kupona. Wengine ugonjwa umekuwa sugu.Jaman nipeni muda na Mimi. Mnielewe. I can't be the way you want me to be but I can perfect myself ton the best and remain who I am.

Jeuri na dharau zitakuponza.Una dharau sana kwa wemgine.Urais na uenyekiti mtausikia tu naona mmejipanga sana.Mbona haukutoa taarifa kwa chama chako kama unakipenda na kukiheshimu kiasi hicho
 
Siwazuii kutoniamini. Mimi ninajiamini. Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka Nina umri wa miaka 16. Sijawahi kuwa Chama kingine. Nina Imani na Chama changu. Hao wengu unaosema ni kina nani? unawapima vipi? Nimekwenda kwenye ziara za Chama sehemu mbalimbali nchini na Imani ya umma kwangu ni kubwa sana. Najua humu Jf kuna watu wanatumwa kwa kazi moja tu kumdiscredit Zitto. Hawanisumbui maana nawajua. Ila pia ninakomazwa kutokana na changamoto zao.Nimejitahidi kuwatibu ugonjwa wa zittophobiasis, wengine wamepona. Others wanaendelea kupona. Wengine ugonjwa umekuwa sugu.Jaman nipeni muda na Mimi. Mnielewe. I can't be the way you want me to be but I can perfect myself ton the best and remain who I am.

Sasa kama ni hivyo mbona Shibuda mnamtolea macho? Mwacheni aishi kama anavyoamini
 
Back
Top Bottom