Elections 2010 Zitto kabwe kawasaliti CHADEMA kigoma?

magessa78

JF-Expert Member
Sep 28, 2009
270
31
Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!
 
Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!

Mambo yakusikia maoni ya Laifred Masako, ITV live nakuja kujiulizisha maswali ni upumbavu uliokithiri, ushindwe.
 
CHADEMA kushindwa kuchukua majimbom ''mengi'' Kigoma maana yake ni kwamba Zitto KAISALITI CHADEMA? tafadhari badilisha title ta thread yako
 
as long as upinzani umechukua hio inatosha. We don't care kama ni CUF ama NCCR
 
point .................kua chadema au Cuf au chama chochote ni sawa ! ilimradi sio CCM ...kuna tatizo gani ..by the way NCCR ni chama maarufu kihistoria zaidi ya Chadema !
 
Kumbuka hata yeye mwenyewe ilibidi apambane ili kutetea Jimbo lake unadhani CCM wanapenda kumwona anarudi Bungeni na kuwasumbua sumbua usimlaumu bila sababu za msingi..
 
I am very confident na Zitto Kabwe,
Kwanza kama jimbo limeng'oka ccm na kupelekwa upinzani hilo ni la kushangilia.
Demokrasia siyo kuhodhi bali kushirikisha.
inaonesha mtoa hoja kaathiriwa na siasa za ccm
 
Inaonekana watu wa kigoma wanaangalia zaidi uwezo binafsi wa mgombea na si chama sasa inaonekana wa NCCR mageuzi walikuwa wazuri zaidi ya wa CHADEMA.Mtu kama kafulila ana uwezo mzuri wa kujenga hoja, hivyo ni vizuri kuangalia ni nani unayemsimamisha kugombea
 
Wewe na wewe usisikie kitu ITV haraka haraka JF. Where is your creativity? Sasa kama NCCR imeshinda kuna shida gani. Issue hapa ni kung'oa mzizi wa fitna (Chama Chakajuaji cha Magaidi)
 
acha chuki na zitto
zitto amezunguka sehemu kibao akiwapigia debe chadema
 
Hakuna mtu anaefikiri sawa sawa haoni mchango wa Zitto Kabwe kwenye upinzani hapa Tanzania, tujifunze kufikiri kwa makini kabla ya kusema jambo lolote.
 
Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!
kuna watu humu wangekua na uwezo wangeomba kuolewa na zitto.... they are abusing zitto in the name of forum

nasikitika sana magessa, jina la heshima hilo umelishushia hadhi.... aliyesaliti ni wewew, usiyeelewa role ya upinzani ni nini... kumbuka hata slaa kyela alimsapoti mwakyembe

zitto has done alot to support chadema labda urudi kwenu musoma ukajue, pia zitto alikua anagombea ubunge na si urais so his support to others come as a he extends his humanity to others

NASIKITIKA SANA, KAULI KAMA HIZI ZINATOKA WAKATI MGUMU KWA UPINZANI KAMA HUU... NA NALAZIMIKA KUSEMA KWAMBA WEWE UMETUMWA... KAMA SIO NA CCM BASI NA SHETANI
 
i am very confident na zitto kabwe,
kwanza kama jimbo limeng'oka ccm na kupelekwa upinzani hilo ni la kushangilia.
Demokrasia siyo kuhodhi bali kushirikisha.
Inaonesha mtoa hoja kaathiriwa na siasa za ccm
mkuu zitto ana modern opposition, lakini watu kama magessa kwao upinzani ni hata kumchoma moto mtu

tumuonee huruma magessa
 
Kigoma ndio wanapenda maendeleo, wameamka na sio majirani zao tabora ambao bado wanaogopa kuchagua wapinzani. Suala la muhimu ni kuchagua kichwa kitachowatumikia, ndio hivyo wamefanya bila kujali itikadi za kisiasa wala majungu. Heko wanakigoma. Inabidi waamke sasa hivi. Tutawaelimisha kupitia kigoma kuwa upinzani ni ushindani na sio blahblah. Kazi tunayo lakini tunasonga mbele taratibu.
 
Jamani najiuliza maswali sipati jibu.hivi umaarufu wa zitto kigoma,ameshindwa kuisaidia CHADEMA kunyakua majimbo zaidi?kwa nini imekuwa NCCR MAGEUZI kinara huko?ina maana Zitto hakufanya jitihada zozote??mnijuze wana JF!
KURA NI UTASHI WA WAPIGA KURA, ACHA UMBEA KABLA SIJAKUITA GEA HABIBU WA CLOUDS!!!!!!!!!!!:tape::tape:
 
Mwanzilishi wa post hii si mkweli na inaonekana ana chuki na Zitto Kabwe. Ni ukweli usiofichika kuwa NCCR ina nguvu sana Kigoma hasa Kasulu na Nguruka. Dada Agripina Zai wa Kasulu vijijini si mpambanaji wa leo amekuwepo tangu changuzi za nyuma ila uchakachuaji ndiyo ilikuwa issue kubwa. Hivi wewe uliyeanzisha post hii unaijua Kigoma na politics zake? I doubt. NCCR ilikuwa na nguvu hata kabla Nsanzugwanko hajaihama na kuingia sisiemu.
 
sisi wana wa kigoma tunachagua mtu mwenye uwezo na sio kwa sababu ati zitto kasema.....................umeona jimboni kwake walivyoshikana mashati na yule jamaa wa ccm.....na kama si kuchakachua basi alley wa chadema angeshinda kigoma mjini.
 
Adui wa watanzania ni CCM. Kwa hiyo anapoondoka mbunge wa hao mashetani basi ujue ni hatua moja ya maendeleo.Hoja yoyote ya kumlaumu Zitto ni muflis na UCHOCHEZI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom