Zitto Kabwe, Kashilila alikuelewa

kitoromondo

Member
Mar 26, 2017
64
75
Ni muda mrefu sasa, tangia kamati ya bunge na maadili, kumtaka Zitto Kabwe ahojiwe, ndugu Zitto alitimiza wajibu wake kwa kamati ya Bunge, kwa kuwasilisha utetezi wake, tuhuma zilijibiwa kwa hoja zenye nguvu na mashiko na mifano halisi.

Ukimya huu wa kamati ni dhahiri hoja za ndugu Zitto zilikua na ukweli kuwa bunge limeshindwa kuisimamia na spika amepwaya. Mimi ni mpiga kura nakuomba Zitto uliamshe tena hii kamati ikuite tena kwa hoja zilezile na tuhuma zilezile kwani hawajataka kubadilika, paza sauti Zitto ipo siku watakuelewa.
 
Ni muda mrefu sasa,tangia kamati ya bunge na maadili,kumtaka Zitto Kabwe ahojiwe,ndugu Zitto alitimiza wajibu wake kwa kamati ya Bunge,kwa kuwasilisha utetezi wake,tuhuma zilijibiwa kwa hoja zenye nguvu na mashiko,na mifano halisi .ukimya huu wa kamati ni dhahiri hoja za ndugu Zitto zilikua na ukweli kuwa bunge limeshindwa kuisimamia ......na spika amepw.Mimi ni mpiga kura nakuomba Zitto uliamshe tena hii kamati ikuite tena kwa hoja zilezile na tuhuma zilezile kwani hawajataka kubasilika,paza sauti Zitto ipo siku watakuelewa
Hoja za Zittto dhidi ya spika na Bunge lake ndio zimemshitua Ndugai kuwa alikuwa analiua Bunge na ndio maana mkutano ulioisha jana angalau Ndugai na Bunge lake waliamka.

Vv
 
Lissu nae alishawahi kupeleka utetezi wa Rais anateua Majaji wasiokuwa na sifa.

Hoja zake zilikuwa nzito hata kwenye mzani hazikai. Aliambatanisha na barua na nyaraka mbalimbali. Mpaka Bunge la Bi Kiroboto linaisha kimyaaa. Nakumbuka mara ya mwisho Bi Kiroboto akamwambia wasamehane ya nyuma wayaache wagange yajayo

Zitto & Lissu is the best for Tanzania political
 
Nimefika mahali naona sifa za ubunge sio KK.
Kujenga hoja kama wanazojenga hao jamaa ni hatari aiseh!!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom