Sisi kama wananchi wa mbeya tunaojitambua tunaomba mh.zitto utembee nchi nzima kueleza ukweli kuhusu tuhuma juu yako tupo tayari kusikia toka kwako mwenyewe usidanganywe na matamko ya watu ni yao wao sisi wanachama hatujaulizwa maoni yetu juu ya sakata lako ila tunajiuliza kwanini lije leo wakati wewe uko kusaka fedha walizoficha uswisi na ulaya kwa ujumla na ile propaganda ya wewe na fedha za ccm walishindwa kunasa meseji hata moja ya m.pesa au copy ya risti benki ninavyomjua @#$%^%^ wa chadema hasa kuhusu epa alikuwa analeta hadi barua za siri mbona kwa hili hakuna tuachane na hilo labda bado ziko stationary zinafanyiwa editing.ila karibu mbeya wafanya biashara wa hapa mjini tuko tayari kukuandalia mkutano mkubwa kabisa kama uko tayari basi nitumie kameseji au mwenye mawasiliano na mh.zitto jameni tupeni iwe email aunamba ya simu wadau nipeni basi hapa chini kwa herini karibuni hapa chini wa buku saba,wahadhidina na waleberal wote ila leteni hoja soi matusi matusi ni dalili ya kuishiwa sera af samahani keybodi ya haina nukta