Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ningekuwa mimi ni Zito Kabwe ningeanzia hapa, kwamba iweje pmj na umaarufu wangu wote nilionao, pmj na sifa zangu zote nilizo nazo iweje nianzishe Chama halafu Watz wanipe Mbunge mmoja tu ambaye ni mimi peke yangu?
Hivi mimi kweli niko hivyo jinsi ninavyofikili niko au ninajidanganya tu yaani yoote niliyoyaamini siku zote khs uhusiano na Watz siyo ya kweli?
Hii Wazungu wanaita Self reflection au kikwetu kujitathmini, sasa kwa watu wenye akili baada ya kujitathmini huja na majibu na hivyo hubadilisha muelekeo ya maisha yao jinsi wanavyofanya mambo!
Lakini kwa Zito Kabwe inavyoelekea hajafanya hiyo tathimini na hivyo anaishi na illusion kwamba yeye ni muhimu hapa TanZania kwamba yeye ana uwezo wa kuiyumbisha Serikali ya TanZania, kwamba yeye ana uwezo wa kusema lolote lile kwa kupotoosha kwa makusudi kabisa na WatanZania kwa kuwa ni vilaza basi watamuamini, sasa hiyo Wazungu wanaita self delusion au kwa kikwetu kujidanganya, Zito Kabwe asichotambua ni kwamba Raisi Magufuli ni makini na mtu makini huchagua watu makini sana mtu kama Waziri wa fedha Mpango(PhD) weledi wake na mambo ya Kiuchumi Zito Kabwe haingii hata sehemu tu, hakuna mahali Dunia hii Zito Kabwe anaweza kuomba kazi kwa kutuma CV yake na akapata lkn Waziri Mpango (PhD) anaweza kuomba kazi leo hii Benki ya Dunia akachukuliwa, Waziri Mpango (PhD) anaweza kuomba kazi leo hii Goldmann Sachs akapata Zito Kabwe hata CRDB hawawezi kumchukuwa lkn ndiyo anajifnya mtaalamu wa fedha Tanzania hiyo ni self delusion na hakuna anayekuamini wala kukufuata kwani kama angekuwepo ungekuwa na Wabunge zaidi ya 20 Bungeni lkn hauna hata mmoja isipokuwa wewe mwenyewe, sasa ni kwa nini wakati wote uliwakampenia? Hiyo ni self delusion Zito Kabwe wewe siyo kitu TanZania...
Ulianzisha vita kubwa na Waziri Muhongo na kumuenezea uongo mkubwa wewe pmj na wenzako mpaka Waziri Muhongo ilibidi aondolewe yote hii kwa ajili tu ya unafiki na uongo kutaka kuiaminisha jamii kwamba wewe ni muhimu kwa kuwa tu umefanya kikozi cha miezi mitatu cha mafuta na Gesi basi wewe ndiyo unataka uwe mtaalamu wa Gesi TZ unataka kujilinganisha na Waziri Muhongo (PhD) ambaye ni member na cheo huko Afrika Geological Survey, Waziri Muhongo (PhD) ameshakuwa shortlisted kuwa Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, wewe Zito Kabwe niambie kuacha Ubunge wa Kigoma ulishawahi kuomba kazi wapi Dunia hii hata ukapigiwa simu tu achilia mbali hata kujibiwa?
Waziri Muhongo ni moja kati ya hazina kubwa nchi yetu haijawahi kupata kwenye Wizara ya Nishati na Madini, siajabu hakuna Waziri aliyewahi kuiongoza hii Wizara ya Nishati na Madini vizuri kama Waziri Muhongo lkn wewe ukafanya kile ambacho siku zote una uwezo nacho mkubwa siajabu kuliko vyote, Majungu ukaanzisha majungu na vilaza wenzako akina Kafulila mpaka Waziri Muhongo akaondolewa, ona sasa Kafulila anaanzisha vita na Waziri Muhongo, hivi kafulila anajua nini? leo Kafulila yuko wapi?
Fanya self reflection man wewe siyo kitu TanZania ...