Zitto Kabwe hili linatia aiibu jimboni kwako


Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
2,296
Likes
1,446
Points
280
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
2,296 1,446 280
Zitto Kabwe Akiwa Dsm anasema uchumi umeshuka, hali ya biashara ni mbaya,Mzunguko mdogo wa fedha katika uchumi

Lakini katika Manispaa anayoongoza ambayo Madiwani wa chama chake ndio wengi wameongeza kodi za Pango kwa zaidi ya 200%

Sijajua zitto kasomea uchumi wa namna gani

Hivi ikiwa ni kweli hali ya uchumi ni mbaya na hali ya biashara ni mbaya sana kama anavyotangaza yeye sasa unapaswa kushusha au kupandisha kodi?
Kuongeza kodi ni kumuongezea mfanyabiashara mzigo wa gharama na kupunguza faida yake

The best way of profit maximization is to minimize cost
zitto-jpg.622386
 

Forum statistics

Threads 1,213,231
Members 462,001
Posts 28,470,619