Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana.

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto.

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake.

Ni matako ya sufuria au kitako cha sufuria? sitara ya grammar inakaaje?

Members should strive to make JF Linguistic Centre of Excellence.

Wole Soyinka.
 
Zitto sijawahi kumuamini na kumsadiki, lakini mwendazake hakufaa kuwa kiongozi . Mbinafsi anayejipenda na chato yake. Mwenye visasi hata kwa wale aliogombea nao kawaida. Mkabila na asiyefuata katiba .

Ukishaona kiongozi anamuweka mtoto wa dada kuwa mlipaji mkuu , jitatafakari
"Schools of though need not necessarily balance"
"Perspectives are much stronger than reality"

Awinjoyi Ratego.
 
Mbona Lisu aliongea Magufuli akiwa hai na mkampiga risasi.Ben saanane kaongea mkamuuwa? Acheni unafiki wenu. MAGUFULI ALIKUWA MUUWAJI HILO LIKO WAZI.
Zitto mwenyewe alisha wahi kumzushia huyo Ben Saanane wenu kuwa alitaka kumlisha sumu.Naona Wewe ni mgeni sana ktk mambo ya siasa
Waongeee tu ila kuna siku watakaa na kukiri kua tangu tupate marais ukimtoa baba wa taifa ni Jembe Magufuli ..tinga tinga yule jamaa achana nae kabisa ameitengeneza tanzania kwa miaka sita ikapendeza kwa miladi kibao ww ulipo huko ni shahidi ila kwa kua binadam hatuna shukrani tumejaa hila na kuhesabu mabaya tu.Namuombea sana Mungu ampunguzie adhabu za kaburi
Sio mbali juzi tu Samia kaisha kili kuwa hawezi kuvaa viatu vya Magufuri ni vikubwa sana,ila kuna kundi la vipofu ambao ata ukiwaonyesha kazi hawataki kuona,
 
Hivi watu bado wanamsikiliza huyu dogo? Ukiwa mjinga na kumfuatilia Zitto basi umekwisha kiakili, huyu ni wa kuachana naye tu na ndiyo maana Salama alikuwa anacheka kama hataki vile. Kwa lugha nyepesi ni kwamba alimdharau tu dogo.
 
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana.

Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.

Zitto alifika mbali zaidi na kusema baada ya Lissu kupigwa risasi Dodoma mwaka 2017 ndipo alipoona kuwa Magufuli hana hekima hapendi kupingwa, hivyo Zitto akaongeza kumpinga hapo ndipo chuki ya Magufuli ilipozidi kwa Zitto.

Yaani hiki kipindi cha leo, Zitto kamsagia sana kunguni Mwendazake.

Shujaa wa Africa 😆😆..Huyu ni shujaa au mgambo wa Africa? 👇

2952362_Q0f.jpg

2952061_JamiiForums569115795.jpg
 
Zitto sijawahi kumuamini na kumsadiki, lakini mwendazake hakufaa kuwa kiongozi . Mbinafsi anayejipenda na chato yake. Mwenye visasi hata kwa wale aliogombea nao kawaida. Mkabila na asiyefuata katiba .

Ukishaona kiongozi anamuweka mtoto wa dada kuwa mlipaji mkuu , jitatafakari
Tafuta top ten ya viongozi wa juu hapo chadema kabla haijasambaratika 2020 uone na kwa msingi huo hiyo chadema haifai hata kuongoza mtaa!

Wanaolalamika kwamba Magu ni mkabila ni wachaga tu, ila sisi wa mikoa mingine wala hatuoni hilo.

Na hii yote inatokana na kwamba ajira za vimemo toka kwa mjomba zilikoma kipindi chake ndio wachaga wakaanza kuona jamaa ni mkabila.
 
ndio uanamume huo, sasa mnataka urahisi urahisi tu....hata hela yenyewe tunaitafuta kwa mateso balaaa...Hakuna haki inayokuja kirahisi duniani au kwa kutegemea huruma ya huyo unayepambana naye....
Mbona unaongea kirahisi sana mkuu? Hivi jiwe unamjua kweli? Jiwe alikuwa jiwe kweli kweli... Ukiingia anga zake umeisha.
 
Hivi watu bado wanamsikiliza huyu dogo? Ukiwa mjinga na kumfuatilia Zitto basi umekwisha kiakili, huyu ni wa kuachana naye tu na ndiyo maana Salama alikuwa anacheka kama hataki vile. Kwa lugha nyepesi ni kwamba alimdharau tu dogo.
Huyu mdini na mla rushwa fala sana...JPM was a real deal....huyu aonyeshe hata kitu kimoja alichoifanyia nchi zaidi ya umbea umbea tu...huyu na tumbili walewale...
 
NI

Ni Rais yupi kuanzia Nyerere mpaka Samia ambaye ameisha toa uwanja sawa kwa wapinzani Wake?
Hata kama haukuwa uwanja sawa lakini walikuwa walau wanatoa zaidi ya nusu ya usawa huo. Tueleze ni nani kati yao aliyeapa na akajaribu bila mafanikio kuua upinzani?
 
Nimejiuliza hivi Salama na Zitto wote walijiamini nini? Kipindi cha leo Salama katoa airtime ya kutosha kwa Zitto kumsema Shujaa

Zitto anasema kama kuna Rais aliongoza kwa kujenga barabara basi ni Kikwete na sio Magufuli, hivyo watu waache kupotosha

Anasema Nyerere anakumbukwa kwa falsafa alizoziacha na sio miradi aliyojenga. Yaani leo Zitto kachafukwa mno
Kumbe hata Zitto anaamini kuwa anayejenga barabara huwa ni RAIS?
Duh! kumbe wanaohitaji ELIMU tz ni wengi sana!
 
Zitto unasumbuliwa na udini tu.

Angejifunza kwa Shehe Ponda kusimamia ukweli

Kuliko kuwa mtu wa kuuma na kupuliza

Tunawaambia kila siku Achaneni na Mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Lakini kutwa kucha Magufuli Magufuli, Zitto ndio maana hata Kigoma hana ushawishi kabisa.
Zito ni shetani lenye ujazo wa kidini ndiomaana halikosoi kwa samia na liliishi kwa hisani za udini awamu ya nne. Uislamu utumwa na Ukristo Ukoloni.
 
Back
Top Bottom