Zitto Kabwe: Hatuwezi Kushinda Vita Hii Kwa Kutishana Na Kuogopa Kushitakiwa Na Wawekezaji

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
2017-06-03 19.21.03.png
 
Team Lissu ni vigumu sana kuwaelewa wazalendo kama Zitto
Uzalendo gani? Wa hiyo tweet yake au!! Tuache kujikosha kwa maneno mepesi, eti leo tukubali kuwamilikisha rasilimali wananchi, halafu tuungane tuwe wamoja, alietutenganisha ni nani? Sielewi kumbe mwanzo rasilimali zilikuwa za nani? Vijana wa Lumumba mkiona mtu kaandika kama yuko upande wa mkulu ndio mnamuita mzalendo, kama uzalendo ndio huo basi hauna maana.
 
Zitto anatafuta uwaziri ulioachwa n muhongo. Tusubiri kdg mtasikia lzm aungane n Anna n Mkumbo. Jamaa ni kichwa lkn hatabiriki. Hakuna kutishana nikuelezana ukweli yatakatokea . Lissu hatishi mtu. Hivi sakata la samaki tunalipa bado tuongeze n hili tna?
 
Kwich kwich..... Sijaelewa anasimama wapi hapo....
kukaa katikati kama popo kumeua chama chake.

not so soon, chama kitabaki historia kama cha kina Mrema...

Hivi mbona hawa jamaa hawajifunzi?
 
Zitto anatafuta uwaziri ulioachwa n muhongo. Tusubiri kdg mtasikia lzm aungane n Anna n Mkumbo. Jamaa ni kichwa lkn hatabiriki. Hakuna kutishana nikuelezana ukweli yatakatokea . Lissu hatishi mtu. Hivi sakata la samaki tunalipa bado tuongeze n hili tna?
Mtachonga Sana lakini ukweli ni kwamba JPM anachoangalia siyo chama bali watu wenye uzalendo na utayari wa kulitumikia taifa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom