Zitto Kabwe, Hashim Rungwe na Kafulila Waanzisha Chama Kipya cha Siasa - CHAUMA

Status
Not open for further replies.
tujaribu kua na akili huru kiasi.
thread nyingine ni propaganda tu za kisiasa ili kuleta ka tension, kuvuruga ichwa vya watu n.k.
thread kama hii wala haina aukweli wowote.
 
mmmmhhhhhh! Ya kwel hayo? Sasa nani atakuwa mwenyekit,manake wote wa3 wanapenda uboss

Vigezo vya kuwa boss Kama vifuatavyo vitatumika:-
Kutunga uongo zaidi ya wengine
Kutokana aibu hata kama utasema uongo
Kuwa hide Watz kuwajengea Nyumba za ghorofa zinazoelea hewani na kupeperushwa na upepo
N.k. Mwingine aongezee tafadhali
 
Upuuzi kama huu pelekeni kwenye magazeti ya shigongo huko unafaa sana muda huu watu wanafikiria kujenga sio kubomoa
 
Mi hainishangazi kabisa Zitto na Kafulila wakaanzisha chama kwani tabia na mwenendo wao unafanana ktk UROHO WA KUSAKA MADARAKA na KUENDEKEZA SIASA ZA MAKUNDI, Hofu yangu nani atakubali kuongozwa na mwenzie!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom