Mkuu jamaa ni mnafiki na mchumia tumbo mkubwa. Details za mkataba huo na Wachina zikiwekwa hadharani Watanzania tutaukataa.
Naomba ili kumaliza utata, mkataba huu uwekwe hadharani hapa tuelewe nani yuko upande wa nchi na nani ni adui wa nchi yetu.
Mkuu jamaa ni mnafiki na mchumia tumbo mkubwa. Details za mkataba huo na Wachina zikiwekwa hadharani Watanzania tutaukataa.
Hyo ya ridhwani kukamatwa china huwa nashangaa mtu smart kuamini hyo story km ni kweli.Usichanganye mada hapa, Magufuli alijichafua mwenyewe. Alikuwa na nafasi ya kuwa Rais bora kabisa lakini akachagua kuwa Dikteta. Mimi simkubali na sitamkubali kwa namna yake ya kuendesha nchi kama familia yake, lakini bado sikubaliani na mradi wowote ulioasisiwa na Kikwete baada ya Ridhiwan kukamatwa China.
Huwezi kuamini kwa sababu wewe ni sumati.Hyo ya ridhwani kukamatwa china huwa nashangaa mtu smart kuamini hyo story km ni kweli.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Una jua ukiangalia kwa jicho pana sana unaona upande wa mwendazake kuwa na yeye alikuwa mpindisha mambo muongo muongo yaani!Huu mkataba ni wa Kinyonyaji kwa mujibu wa Kakoko.
wewe wasemaKama Zitto Mchumi Mbobezi amesema hivyo mimi ni nani ngumbaru wa MATEJOO nikatae? JIWE alidanganywa.
Tena mkuu nataka kuongezea kwenye Afya ya Mwafrika,iwapo hao wafadhili wakiacha kufadhili Dawa za maradhi ya Ukimwi tumekwishaUna jua ukiangalia kwa jicho pana sana unaona upande wa mwendazake kuwa na yeye alikuwa mpindisha mambo muongo muongo yaani!
Kila jambo alitaka kufanya yeye!
Angekuwa muwazi na kubadili sheria za mikataba kuwa wazi!
Ata leo tungekuwa na nguvu kubwa sana ya kusema na kuandamana tunataka mikataba huru kama mwendazake alivyokuwa ana fanya!
Lakini mambo ya Kusomewa na kakoko maandishi ambayo hatujui kama ni ya kweli ama uwongo wa mwendazake!
Tukubali Afrika tuna bahati mbaya!
Ukiangia kiwango cha kuishi kina pungua sana kwa Afrika wenye maradhi hatari wana ongezeka sana kwa kasi!
Hatujui pengine ata baada ya miaka 40 tu ijayo tukaanza kuwa Manamba kwenye mashamba yao!
Wao wana mahesabu mengi kuliko sisi hatu wawezi kamwe!
Sababu viongozi wetu ndivyo walivyo amua tuwe watumwa apo baadae tena!
Mtu aliamini katika kupandikiza ukabila sio mtu wa kumuamini kabisa!
Ukabila ni sumu kubwa sana kuliko faida na hasara za iyo bandari!
Naona kama jamaa anatumika kuwa spika..inatoa kelele tu.Sijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo.
halafu unajiita malcom lumumba..shameAfrica is always the victim, nothing is ever our fault. Yaani kila muwekezaji ni mbaya na anataka kutuibia.
Hatari sana mkuu yani sisi bila wao tunaondoka mapema sana!Tena mkuu nataka kuongezea kwenye Afya ya Mwafrika,iwapo hao wafadhili wakiacha kufadhili Dawa za maradhi ya Ukimwi tumekwisha
Wazo la huo mradi ni zuri la lenye manufaa makubwa kwa nchi, hilo tunakubaliana wote kabisa.Kwa gharama ipi , ya kuuza hiyo Bandari kwa wawekezaji.
Kumbe bado hujafahamu shida ipo wapi,Bandari gani unauza Bagamoyo? mwekezaji maana yake nini? Mbona sijawahi kusikia wakaweka mikataba mingine waliyoingia hadharani tukaona ila huu wa Bagamoyo unatafuta vifungu viwili witatu kupiga propaganda.
Bandari ijengwe kubwa, viwanda vitafuata, ajira kibao hata tukipata hasara( kama tukipata maana hatuweki pesa yetu) ila kwa miaka ijayo kizazi kijacho watanufaika nayo kwa kuwa itakuwa Bandari imechajipa umaarufu mkubwa.
Bandari ya Dar ni ya kizamani sana huko mbele itakuwa kama ile bandari bubu ya Bagamoyo lazima tuinvest kwa future sio bla bla za TRA tutakosa kodi.
Mwekazaji yoyote ataweka pesa ili arudishe na faida ili wewe uje kufaidikia baadae. Mbona ATCL ukisema hasara wanakumwambia mwanzo hasara kawaida tu na ndege zinachochea uchumi sehemu zingine na Bandari the same itachochea uchumi sehemu zingine.
Watuwekee mkataba wananchi wote tuusome.Lakn kama kuna kipengele chochote cha mchina kuendesha bandari yetu huo mkataba haufai.Labda kama anatupenda atujengee bure,kisha sisi watz tuindeshe hiyo bandari.Yeye tunamrejeshea hela yake aliyotumia kidogo kidogtherwise kubinafsha sekta ya bandari ni upumbavu.Hii inshu watu wanaikomalia sana ,kama watu wamekula hela ya mchina mrudishieni.Mkataba wake umeuona?
Watuwekee mkataba wananchi wote tuusome.Lakn kama kuna kipengele chochote cha mchina kuendesha bandari yetu huo mkataba haufai.Labda kama anatupenda atujengee bure,kisha sisi watz tuindeshe hiyo bandari.Yeye tunamrejeshea hela yake aliyotumia kidogo kidogtherwise kubinafsha sekta ya bandari ni upumbavu.Hii inshu watu wanaikomalia sana ,kama watu wamekula hela ya mchina mrudishieni.
Sijawahi muamini zzk pia namuona mjanjamjanjaSijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo.
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sanaMkuu jamaa ni mnafiki na mchumia tumbo mkubwa. Details za mkataba huo na Wachina zikiwekwa hadharani Watanzania tutaukataa.
Nimeuliza maswali wewe shangazi sijasema ninajua. Au na wewe ndio wale wale Hoya hoya