Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Same to SGR mkataba aliyoacha JK kujega km moja ya SGR ilikuwa cheap kuliko huo wa kwake. Lakini hakuna hata anayehoji hilo toka team ya kupraise.Umenena vyema!
Wote tumeshuhudia ukatili na ubabe wa Magufuli. Nani angethubutu kuchallenge uamuzi wake? Nani angethubutu kusema alitudanganya?
Walikuwa sahihi kunyamaza. Kama walivyonyamaza kwenye kila suala alilolitolea maamuzi kama suala la kukataa watoto wa kike wanaopata mimba wasirudi shule kuendelea na masomo!
Kwa kuwa sasa Mungu ameturudishia uhuru wa nchi yetu tena,ni jambo la heri tuwe na mjadala wa wazi kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo kama huu mradi. Tuujue ukweli. Tuliyoambiwa na upande mmoja tu wa Magufuli hatuwezi kuyaamini! Alitudanganya ATCL inapata faida kumbe ni hasara tupu. Alikuwa haiaminiki! Hata kwenye hili,anaweza kuwa alitudanganya kwa sababu ambazo alizijua mwenyewe.
Mambo mengine ngoja tukae kimya Lusinde asije hamasisha