Zitto Kabwe: Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2019

Pamoja na kisoma vitabu vingi lakini mbona kimaarifa ipo chini sana na hata hoka zako za siku hizi nyingi ni nyepesi sana na uko biased sana.
Naomi mzuri pia lazima awe mchambizi mzuri bila kupendelea au kuonea upande wowote.

Tofa
 
Mh. inambidi sasa anadilishe approach
Badala ya kuja na ORODHA ya title za vita alivyosoma aje na kutuonesha ni kwa namna gani vitabu alivyosoma vimeisaidia jamii yake au hata ye mwenyewe ikibidi. Hii ni kwa sababu, maarifa yasiyotumika ni sawa na Maarifa yasiyosikiwa.
Mwenzetu inatakiwa akusaidie maana hayo MAARIFA ameshayasikia sasa anayatumiaje???
Ingawa na mimi itanisaidia kujifunza tabia ya kusoma vitabu ila mi nasomaga biblia tu vingine naonaga longolongo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom