Zitto Kabwe azungumza ukweli kuhusu uhuru wa vyombo vya habari na katiba mpya

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,213
24,076
26 Aug 2017
ZITTO KABWE AZUNGUMZA UKWELI KUHUSU UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA KATIBA MPYA

Maswali na majibu ya waandishi wa habari kwa Mh. Zitto Kabwe kuhusu muswada wa habari na kufungiwa kwa magazeti unafanana na wa kule Urusi chini ya Vladimir Vladimirovich Putin, CCM wame-kopi na kupesti toka Urusi.

Jukwaa huru la vyombo la habari liendelee kupaza sauti ili uhuru wa kusambaza na kujadiliana masuala ya nchi usipunguzwe.

Demokrasia ni maendeleo bila demokrasia hakuna maendeleo.

Tukemee viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao na siyo kuwashangilia kuwa ni ''mashujaa''.

Sheria kandamizi arobaini zilizoainishwa na Jaji Francis Nyalali mfano ''katiba kumpa madaraka makubwa'' mkuu wa nchi kufanya lolote, mamlaka ya mkuu wa Mkoa(RC) na Mkuu wa Wilaya (DC) n.k

Source: John Mussa
 
Haya mambo yanatakiwa watu kujitoa mhanga!! Lakini kwa aina ya WaTz waswahili na wanafki, sioni wa kupigania badala yake watataka viongozi wa upinzani wafanye kwa niaba yao!!!
 
Back
Top Bottom