Zitto Kabwe awasilisha bungeni hoja ya kuundwa Kamati Teule kumchunguza DPP kusamehe watuhumiwa baada ya kulipa faini

Acha ujuha, kwa Mamlaka alizonazo DPP anawezaje kuamua adhabu ya mtuhumiwa, kwani unajua hata tofauti Kati ya DPP na Hakimu au Judge, unajua Mamlaka zao. Au naongea na Popoma ambaye hata neno DPP ndio umelisikia Leo. Ingekuwa DPP anawaondolea Mashtaka baada ya kuwafikisha Mahakamani hapa hoja ya Zitto ingekuwa na Mashiko. Lakini watu wamekiri kutenda Makosa wanashtakiwa nalo, na mtuhumiwa akishakiri makosa hapo mpira unabaki kwa Mahakama( Hakimu/Judge). Sasa DPP anaigiaje.
Kumbe hata hujui lolote masikini wa mungu!!
 
Kumbe hata hujui lolote masikini wa mungu!!
Naona mwenzako amekimbia wewe umepokea kijiti. Wasi wasi wanting nawe ni popoma Kama mwenzako, hebu eleza hicho unachokijua wewe, maana mimi nimetoa mtazamo wangu. Hebu na wewe jitutumue tukuone, au baada ya kustretch ubongo wako that is the best you can deliver!
 
Naona mwenzako amekimbia wewe umepokea kijiti. Wasi wasi wanting nawe ni popoma Kama mwenzako, hebu eleza hicho unachokijua wewe, maana mimi nimetoa mtazamo wangu. Hebu na wewe jitutumue tukuone, au baada ya kustretch ubongo wako that is the best you can deliver!
Bwana mdogo nchi haiendeshwi kwa mitazamo binafsi iliyojaa unyang'anyi , inaendeshwa kwa Katiba ya nchi .
 
Bwana mdogo nchi haiendeshwi kwa mitazamo binafsi iliyojaa unyang'anyi , inaendeshwa kwa Katiba ya nchi .
Wewe unayeijua Katiba tueleze basi Majukumuu ya DPP after all kama hata unajua DPP ni nani. And, tueleze ni wapi hiyo katiba imesema DPP anamamlaka ya kuamua adhabu ya mshtakiwa aliyekutwa na hatia au aliyekiri kutenda kosa mbele ya Mahakama. Ukinionyesha hiyo basi ndio tuendelee kuongea, kama huwezi kueleza hicho basi nawe ni popoma kama wengine, japokuwa I know wewe na wenzako Salary Slip na Mwanahabari huru ni moja kati ya watu mnaoongoza kwa kuwa na uwezo mdogo sana wa uelewa wa mambo hapa jamvini!
 
halafu hizo hela zinaingia mfuko gani ?
mkuu wasiwasi wangu sio kwamba hizo hela zinaingia mfuko gan wasiwasi ni kwamba wanapojadili huyo DPP na anayemtuma wanpata kiasi gani cha kwao? ni sawa na ile case ya kumuita mtengeneza ndege / bombedier ikulu ati raisi anatoa specification ya ndege pale alipata nn kama magufuli? sheria zipo kudhibiti matendo ya watu waovu kama hawa kina magufuli
 
Zipo taarifa kwamba kitendo cha DPP kuwasamehe watuhumiwa wa Uhujumu uchumi na watakatisha pesa , baada ya kukaa nao gizani na kulipa kinachoitwa faini ni kinyume cha utaratibu maana ndani ya katiba ya Nchi hakuna kipengere hicho.

Mh Zitto ameamua kulitumia bunge ili kuchunguza kama kweli Ujira huo wa Mwiha ni halali , na kama DPP anao uwezo wa kupiga faini watuhumiwa bila kuwepo sheria yoyote .

asieafiki ameshinda☻☻☻

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom