Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Tena manyovu!! mpaka unao tenganisha Manyovu na Burundi ni kijito kinacho tiririka maji safi kidogo kuliko mto ng'ombe pale kjtnyma DSM kipindi cha kiangazi! Wakazi wa hapo wanalima Burundi na hujipatia mahitaji yao huko.

Wanaoleana na kuzikana na kisaidiana mahitaji mbali mbali na wala mpaka huo haulindwi.

Swali, utawezaje kuwatofautisha watu hao kwa sura na tamaduni zao?
Kwahiyo unataka kumpinga Zito au
 
Kigoma kuna Makabila mengi, Kuna Waha ambao ndiyo kabila kubwa lakini pia kuna Wabembe, Wabwali, Wagoma, Walagarasi na wasukuma (pembezoni)
Zitto kabila gani? MAjina ya akina KAbwe tunajua ni nchi jilani.
 
Kwahiyo unataka kumpinga Zito au
Oh!! Kule mipakani wanasiasa Kama ...wanawekeza katika kuwasababishia misukosuko yakiuraia kupitia watendaji na maafisa wengine...
kisha anajitokeza mwanasiasa fulani diwani au mbunge anaenda kutatua mgogoro

Then anaonekana yeye ndo mfalme wao. Anakosaje kura!!!?

Hicho unachokiona kwa huyo nduguyako anafanya self- Branding.

Anyway ni kautaratibu kazuri kwani huwa kanawakeeep wale wenye uraia wakitilia shaka wawe Checked.

Ninakalinganisha na haka ka utaratibu ketu ka matraffic Kaku ombamba nanihii.....huwa kanatufanya tunakua makini barabarani.
 
Hivi kwanini Watusi wa Tanzania huwa wanaonekana sio raia ukilinganisha na Wahutu au Waha wa kirundi?

Wote hawa si victims wa mipaka ya mzungu?
Hapo kwenye WAHA WA KIRUNDI wewe mwenyewe umejipambanua kwa ubaguzi wako. Mwalimu Nyerere aliwaita watu kama wewe MAKABURU TU!!!
 
Africa ilikuwa moja sema majambazi ndo yalikuja kutugawa tu nashangaa sana muafrica kusema muafrica mwenzie sio wa nchi frani kisa mipaka ya majambazi mabeberu.
Na hao hao tunaowaita mabeberu bado tunakumbatia ubaguzi waliotusababishia kwa mipaka waliyotuwekea iliyogawa jamii moja vipande vipande!! Kama hatujielewi vile!!!
 
Hao watu wana roho mbaya usiombe
Huoni wanauana wenyeww kwa wenyewe pamoja na uchache wao kila leo

Yaani umetumia kigezo cha tabia ya mtu binafsi na kusema ndio tabia ya jamii flani na cha kushangaza zaidi Kigoma hakuna historia ya machafuko(mauaji) .
Nenda Sirali watu panga mkononi nenda na kwengine kupigwa visu ni jambo la kawaida.
Hebu njoo na hoja za msingi kwanini watu wa eneo hili hatuwatendei kama watu wa mipaka mingine.
Nilienda Newala yaani hata kulima watu wanalima Tanzania kule Kagera wengine hata kusoma wanasoma Tanzania
 
Kigoma kuna tatizo kubwa basi
Nadhani wanawaogopa zaidi watu wa maeneo hayo. Jenerali Ulimwengu, Karagwe. Askofu NiweMugizi, Karagwe. Askofu Kakobe, Kigoma. Padre Sabas, Kigoma.

Lema, Kilimanjaro vipi? Mbowe Kilimanjaro vipi? Ila Lissu angekuwa Kilimanjaro au Mara, angesemwa Mkenya.
 
Kuna watanzania wapumbavu sana sijawahi kuona.yani kwa sababu amekuwa makamo wa Rais ndiyo mnaanza kusema ni mrundi? Kipindi akiwa waziri wa fedha kwa nini hamkusema ni mrundi? Kuna watu mnatia kinyaa kama Mavi.sijui mnataka nini. Mmemsakama Hayati JPM ,nahisi amekufa kwa sababu ya stress iliyosababishwa na watu Mavi kama nyie.
 
Kigogo2014 mpuuzi sana anapenda kujadili vitu vya kijinga! Hajui kama Waha na Warundi wana undugu wa damu hivyo majina kufanana siyo habari tena!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom