citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,559
- 764
Malawi na Moshi ni mbali mno. Ungesema ataitwa mkamba wa Taveta Kenya au MgiriamaNamuunga mkono Zitto Kabwe.
Haya mambo yakienda hivi hata Mbowe mtasema siyo mtanzania ni mmalawi!
Malawi na Moshi ni mbali mno. Ungesema ataitwa mkamba wa Taveta Kenya au MgiriamaNamuunga mkono Zitto Kabwe.
Haya mambo yakienda hivi hata Mbowe mtasema siyo mtanzania ni mmalawi!
Kwahiyo unataka kumpinga Zito auTena manyovu!! mpaka unao tenganisha Manyovu na Burundi ni kijito kinacho tiririka maji safi kidogo kuliko mto ng'ombe pale kjtnyma DSM kipindi cha kiangazi! Wakazi wa hapo wanalima Burundi na hujipatia mahitaji yao huko.
Wanaoleana na kuzikana na kisaidiana mahitaji mbali mbali na wala mpaka huo haulindwi.
Swali, utawezaje kuwatofautisha watu hao kwa sura na tamaduni zao?
Aliwatetea kwa namna nyingi tu labda hujafuatilia kazi zake za kisiasaHana USAHIHI wowote ni MNAFIKI TU kama anapigania hill Mbona Kabendera na Yule ASKOFU walipoambiwa Sio RAIA hakuibuka Kuwatetea?
Kwao ni mbambabay!Malawi na Moshi ni mbali mno. Ungesema ataitwa mkamba wa Taveta Kenya au Mgiriama
Du!? Hilo neno. Hivi mbona kweli siku zote wanaotishiwa uraia ni Kigoma na Karagwe tu?Mbona Kilimanjaro na Mara huwa hatufanyiwi hivyo?
Kigoma kuna tatizo kubwa basiDu!? Hilo neno. Hivi mbona kweli siku zote wanaotishiwa uraia ni Kigoma na Karagwe tu?
Zitto kabila gani? MAjina ya akina KAbwe tunajua ni nchi jilani.Kigoma kuna Makabila mengi, Kuna Waha ambao ndiyo kabila kubwa lakini pia kuna Wabembe, Wabwali, Wagoma, Walagarasi na wasukuma (pembezoni)
Oh!! Kule mipakani wanasiasa Kama ...wanawekeza katika kuwasababishia misukosuko yakiuraia kupitia watendaji na maafisa wengine...Kwahiyo unataka kumpinga Zito au
Hapo kwenye WAHA WA KIRUNDI wewe mwenyewe umejipambanua kwa ubaguzi wako. Mwalimu Nyerere aliwaita watu kama wewe MAKABURU TU!!!Hivi kwanini Watusi wa Tanzania huwa wanaonekana sio raia ukilinganisha na Wahutu au Waha wa kirundi?
Wote hawa si victims wa mipaka ya mzungu?
Na hao hao tunaowaita mabeberu bado tunakumbatia ubaguzi waliotusababishia kwa mipaka waliyotuwekea iliyogawa jamii moja vipande vipande!! Kama hatujielewi vile!!!Africa ilikuwa moja sema majambazi ndo yalikuja kutugawa tu nashangaa sana muafrica kusema muafrica mwenzie sio wa nchi frani kisa mipaka ya majambazi mabeberu.
Hao watu wana roho mbaya usiombe
Huoni wanauana wenyeww kwa wenyewe pamoja na uchache wao kila leo
Nadhani wanawaogopa zaidi watu wa maeneo hayo. Jenerali Ulimwengu, Karagwe. Askofu NiweMugizi, Karagwe. Askofu Kakobe, Kigoma. Padre Sabas, Kigoma.Kigoma kuna tatizo kubwa basi
Zitto mbona yeye ni kutoka Congo hatusemi.Namuunga mkono Zitto Kabwe.
Haya mambo yakienda hivi hata Mbowe mtasema siyo mtanzania ni mmalawi!